Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
dah unapenda pala!!!!!!!
salamu za upendo na haki zifikie deutsche vell radio, pande za germany! au bado tupo haiti?? cc snowhite, Fixed Point, mwaJ, Asprin na mumeo kipenzi Kaizer!
na wewe mpana wewe??
huyo unaye mwita aliniona niliponyoa............
Hahahahaha sawa kila mtu apendavyo.......ila kipara kizuri kwa kupiga makonzi icho akikukera lol
kuja pande za mama kamche japo nikutie machoni leo! Jiwe Linaloishi can we meet there na gfsonwin! i hav missed u guys!
vazi la mwanamke la kwanza ni nywele.....
ULIONA EEEEEEEEEE! CJUI WALE WATU WALITOKEA WAPI :frusty: :frusty:, NITAKUSHTUA MIDA MIDA!atakae kataa mwaliko kama huu lazima atakuwa chizi tu, utanikuta nakusubiri rafiki maana juzi ilikuwa..........:A S-confused1:
hebu nipigie sasa hivi uone kama sitapokea! Mimi na wewe ni kama jua na mwezi, kila muda kimoja hutumika! Watuwacheeeeeee.............!jamani my swthrt mzima wewe?? Siku hizi sikupend manake u dont even pick my phone.
Ila ujue kabisa you are my true friend ambaye i cant afford missing you.
Awe ananyoa hivyo kote au kichwani tu?
funguka.
mii zangu ziko ziko chini kidogoo ya hapa kiasi kwamba zimelala. napendeza sana na hizi ukizingata mwili nao umepungua kidogo basi nimekuwa kama mwanafunzi wa form3A.
huyu yuko poa
1. atakuwa hana muda wa kupiga umbeya saloon
2, gharama za ku maintain kipara ni ndogo kuliko marasta na mawigi
3. anakuwa hatoi harufu ya madawa ya nywele ambayo ni alergic
4, ni msafi sana kila eneo lenye nywele
5. anatumia muda mwingi kuwaza maendeleo kuliko kuwaza saloon
Noma....shurti uchezee nywele kichwani, kuna raha yake bana.