Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 259
- 515
Wadau napenda kuuliza kama Mwanamke anakupenda unawezaje kutambua ishara amabzo zinathibitisha kuwa anapekupenda ?
Naomba usaidizi kwa hilo.
Naomba usaidizi kwa hilo.
Hehe! Fafanua hayo mambo mawiliHapo kuna mambo haya ✌️
Dalili za kukupenda ukiwa na hela
Dalili za kukupenda ukiwa huna hela
Binadamu hatufanani we muamini.Mwanamke kama ANAKUPENDA isharayake ili uajuwe atafanyaj
Hizi dalili mkuu hua zinaonekana kwenye uchumba sana, ila mkianza ndoa zinaanza kushuka.Atatamani kuwa karibu na wew, atakujali, atakuhurumia, atakuwa na wivu ukiwa karbu na wanawake wengine, atakuwa anakuagalia kiwiziwizi, atakuulza maswali unampenz/mke.
Kuna wapumbavu bado mko huku?Mwanamke kama ANAKUPENDA isharayake ili uajuwe atafanyaj
😁 Au siyoAtatamani kuwa karibu na wew, atakujali, atakuhurumia, atakuwa na wivu ukiwa karbu na wanawake wengine, atakuwa anakuagalia kiwiziwizi, atakuulza maswali unampenz/mke.
Miaka mitatu hajwahi kuniomba hela(ila namtumia kwa kujishtukia) na nikimtumia ananiambia haina haja kusanya nguvu tufunge ndoa.Mwanamke kama ANAKUPENDA isharayake ili uajuwe atafanyaj
Atalala nekediMwanamke kama ANAKUPENDA isharayake ili uajuwe atafanyaj