Napenda mwanamke anaenyoa hivi...

Napenda mwanamke anaenyoa hivi...

Mwanamke ywele nywele ati!!!!!! Ila za kule hapana ni lazima atumiw kamkasi (si wembe) kuweka kabustani vizuri.
 
But it feels so good kunyoa upara. Ukioga maji unayasikia kabisaaaaa, upepo swafiiiiiii. I miss that kwa kweli.
 
makofi ya mahaba na makonzi ya mahaba ni vitu viwili tofauti banaaaa...bado nakuna kichwa kwenye makonzi ya mahaba, lakini makofi ya mahaba nayajua tena sanaaaa 🙂🙂

Aaah mbishi huyu🙁😡
 
salamu za upendo na haki zifikie deutsche vell radio, pande za germany! au bado tupo haiti?? cc snowhite, Fixed Point, mwaJ, Asprin na mumeo kipenzi Kaizer!

Mke wa ujana wangu upo? Ndo nini kuamshana mausiku?

Huyo gfsonwin shemeji yangu kwa hommie Kaizer sina hamu naye. Kanitukana jukwaa la siasa kule utadhani hatujawahi kaa meza moja Kingstaa tukapiga mitungi.
 
Last edited by a moderator:
Mke wa ujana wangu upo? Ndo nini kuamshana mausiku?

Huyo gfsonwin shemeji yangu kwa hommie Kaizer sina hamu naye. Kanitukana jukwaa la siasa kule utadhani hatujawahi kaa meza moja Kingstaa tukapiga mitungi.
msamehe hubby, ilikuwa mitaa ya wapi vile?? serena au?? unajua mtu akienda siasani huwa fahamu zinatoka kidogo, labda msiri wangu alipitiwa tu, msamehe wangu!
 
usimpake mafuta kwa mgongo wa chupa.
Unafki nao kipaji na si kila mtu anacho.
 
ikitokea hapa bongo watasema ooooo Fulani kaanza uhuni
 
Mke wa ujana wangu upo? Ndo nini kuamshana mausiku?

Huyo gfsonwin shemeji yangu kwa hommie Kaizer sina hamu naye. Kanitukana jukwaa la siasa kule utadhani hatujawahi kaa meza moja Kingstaa tukapiga mitungi.

Hommie hebu nipe link.....:A S-confused1:
 
rudi tena kule kuna jingine utalikuta.
...............................................

Aaa wapi. Haendi mtu. Kubishana na maCCM ni bora ukajichukulie kimeo chako kona baa uponde raha.

Endelea na mamburura menzio huko. Mi ni alwatan wa MMU, stress free zone.
 
Back
Top Bottom