Napenda kuifahamu Tanganyika Law Society(TLS)

Ujinga ujinga... Tu.... Muda mwingine memory card ya Kichwa inatakiwa iwe na free space Kwa ajili ya kujaza vitu vya... Msingi..

Chagadema mtambue hiyo TLS ni sawa tu na chama cha makuli Tanzania au Chama cha wakulima wa korosho Tanzania sasa msitupigie kelele Kwa vitu visivyo na Msingi Mbona umoja wa Makuli ukifanya uchaguzi wao hampigi kelele....
 
Kamwambie Bosi wako sasa kuwa mwisho wake wa kuwaonea Wadanganyika umefika kikomo kwani Mwanamume Tundu Antipas Lissu amekalia Kiti na sasa tutaheshimiana tu Kisheria. Narudia tena kukuambia na hadi nakuhakikishia kuwa 75% ya Wanasheria na Mawakili waliompigia Kura za kutosha Lissu wanatoka Chama Tawala cha CCM je umeshajua ni kwanini na wao wamechoka na leo wakaamua kufanya maauzi magumu ila mazuri na yenye maslahi kwa Watanzania wengi wanyonge?
Achaneni Uongoo nyie wapinzani mshazoeleka mkipa cha kuongea mtaongea kila siku Kwani Lissu yupo Bongo toka Lini acheni Uhunii Majaji hawaoni hayo unayo yasema ila wakili ndio anaona? Mwananchi kaonewa kipi kisheria na Magufuli? Nani kakwambia Mawakili wapo CCM?
 
Hakina faida yoyote! Kinadai kipo kwa ajili ya kumtetea mtanzania kwa issue za kisheria. Cha ajabu kuna wakili anasota Kisongo kwa kesi ya kutakatisha pesa (ambayo ina dhamana).na kesi nyingi tu za watanzania zenye dhamana au kuhitaji msaada wa kisheria..sasa hapo pata picha mwanachama katelekezwa je wewe mwananchi wa kijijini Gezaulole kitakusaidia nini
Jambo lingine la aibu halikuweza hata peleka muwakilishi ktk bunge la katiba kujadili rasimu ya katiba...walishindwa na chama cha waganga wa kienyeji walipeleka muwakilishi.
Kwa mtazamo wangu naona akina manufaaa kipo kunufaisha viongozi kwa ada wanazokusanya toka kwa wanachama wote Tz(ofisi za uwakili)...na kula posho za makongamano na semina basii!
Lissu ni mwanachama kutwa anashinda mahakamani kwa kesi za ovyo. Tatizo halikuwa tls bali uongozi ulitekwa na serikalli. Huyo wakili si ajitete kama lissu kwenye kesi zake. Subiri uone moto wa lissu sass.
 
TlS ifutwe haina faida kwa Taifa

Lisu ataipeleka kisiasa TLS
Mnaoshabikia watawala nawashangaa na hoja zenu nyepesi nyepesi!! Hivi hawa wote Rais, mawaziri, wabunge, wateule wa bwana mkubwa ktk taasisi za umma kabla ya kushika nafasi hizo si wametumia jukwaa la kisiasa ??!!. Je leo tuwakatae kwa sababu wao ni zao la kisiasa ?!

Je hizi taasisi hizi zinapoongozwa na wale wenye itikadi za ki ccm ndiyo siyo siasa ??!!. MTz msomi na mzalendo kama Lisu ana haki kugombea nafasi yoyote ilimradi amefuata utaratibu.

Kama ina wauma sana mpambanisheni na Werema, Tulia, AG au hata waziri wa sheria Mwakyembe bado wanasheria watamchagua Lisu kwa sababu ya ueledi wake na si uanasiasa wake.
 
Wenye akili na uelewa wanajua nini maana n.a. muhimu wake.Usipougua huwezi kujua maana n.a. muhimu wa daktari!
 
Mnaoshabikia watawala nawashangaa na hoja zenu nyepesi nyepesi!! Hivi hawa wote Rais, mawaziri, wabunge, wateule wa bwana mkubwa ktk taasisi za umma kabla ya kushika nafasi hizo si wametumia jukwaa la kisiasa ??!!. Je leo tuwakatae kwa sababu wao ni zao la kisiasa ?!

Je hizi taasisi hizi zinapoongozwa na wale wenye itikadi za ki ccm ndiyo siyo siasa ??!!. MTz msomi na mzalendo kama Lisu ana haki kugombea nafasi yoyote ilimradi amefuata utaratibu.

Kama ina wauma sana mpambanisheni na Werema, Tulia, AG au hata waziri wa sheria Mwakyembe bado wanasheria watamchagua Lisu kwa sababu ya ueledi wake na si uanasiasa wake.
So umepanic braza?
 
Faida za Wakili ndizo faida za TLS. TLS ni forum tu ya Mawakili. Propaganda zenu zimekufa kifo cha mende. Bure kabisa!
 
Achaneni Uongoo nyie wapinzani mshazoeleka mkipa cha kuongea mtaongea kila siku Kwani Lissu yupo Bongo toka Lini acheni Uhunii Majaji hawaoni hayo unayo yasema ila wakili ndio anaona? Mwananchi kaonewa kipi kisheria na Magufuli? Nani kakwambia Mawakili wapo CCM?
Si umesema hauna chama? Acha utapeli na usanii
 
Kwanza Hayo siyo Maswali Kuntu! Tukianza na swali lako la Kwanza! Kazi ya Polisi ni kulinda amani na usalama wala Raia wake! Kumbuka Polisi sio mahakama wala sio majaji! Kazi ya polisi ni kuwafikisha watuhumiwa kule wanakotakiwa Mambo ya Ana haki au hana haki huja baadae hii ni kwa nchi zote dunianiii!! Ndio maana kukawa na Mahakama Sidhani kama wewe Ukimkuta Mwizi nyumbani kwako polisi wakija utataka waanze kuhukumu Kesi kama kaiba kweli au hajaiba....watakacho fanya ni kumfikisha Katika vyombo vya sheria vinavyo takiwaaa!!!

Swali lako la pili.....Serikali haiongozwi na instagram Tuhuma zote mnazo zitoa hazina Ushahidi hata kidogoooooooooo......Kama mnatuma ambazo zina ushahidi si dhani kama Instagram na Kanisani ni mahali sahihi pakuoneshaaa tuhuma zenu na kusubiri majibu!! Leteni ushahidi tuanze na wewe ushahidi uliona nao ni upii toa ushahidi! Mfano ukisema fulani ana Vyeti feki toa ushahidiii ni simplee tuuu Haiana haja ya kubishana mfano Kuna mtu alisema ana Vyeti vyake ni kwanini asiviweke kuonesha huo ushahidi? Kwanini msiendee mahakamani?

Nilishawahi kuandika hapaa kuhusu hilo na ninashukuru meya wa Dar alinisikiliza na Amesema J4 anaenda mahakamani means huyo ana Ushahidiiii na huyo ndio msomi tunae mtaka kama Akishindwa kesii na Akiambiwa amlipe Fidia mtuhumiwa Msisite kumsaidia!

Lakini kuendelea kulia kwenye Insta sio solution?

Tuendelee na mjadala wetu Nipe Faida za TLS
dah mkuu nimependa jibu lako,kula big tano huko uliko
 
Ccm wote wamenuna kutokana kuchaguliwa kwa lisu mpa mwenyekit wao taifa hana amani maana sasa kapata fimbo ya kumchapa hapa utoto hakuna tena
 
Kwanza Hayo siyo Maswali Kuntu! Tukianza na swali lako la Kwanza! Kazi ya Polisi ni kulinda amani na usalama wala Raia wake! Kumbuka Polisi sio mahakama wala sio majaji! Kazi ya polisi ni kuwafikisha watuhumiwa kule wanakotakiwa Mambo ya Ana haki au hana haki huja baadae hii ni kwa nchi zote dunianiii!! Ndio maana kukawa na Mahakama Sidhani kama wewe Ukimkuta Mwizi nyumbani kwako polisi wakija utataka waanze kuhukumu Kesi kama kaiba kweli au hajaiba....watakacho fanya ni kumfikisha Katika vyombo vya sheria vinavyo takiwaaa!!!

Swali lako la pili.....Serikali haiongozwi na instagram Tuhuma zote mnazo zitoa hazina Ushahidi hata kidogoooooooooo......Kama mnatuma ambazo zina ushahidi si dhani kama Instagram na Kanisani ni mahali sahihi pakuoneshaaa tuhuma zenu na kusubiri majibu!! Leteni ushahidi tuanze na wewe ushahidi uliona nao ni upii toa ushahidi! Mfano ukisema fulani ana Vyeti feki toa ushahidiii ni simplee tuuu Haiana haja ya kubishana mfano Kuna mtu alisema ana Vyeti vyake ni kwanini asiviweke kuonesha huo ushahidi? Kwanini msiendee mahakamani?

Nilishawahi kuandika hapaa kuhusu hilo na ninashukuru meya wa Dar alinisikiliza na Amesema J4 anaenda mahakamani means huyo ana Ushahidiiii na huyo ndio msomi tunae mtaka kama Akishindwa kesii na Akiambiwa amlipe Fidia mtuhumiwa Msisite kumsaidia!

Lakini kuendelea kulia kwenye Insta sio solution?

Tuendelee na mjadala wetu Nipe Faida za TLS
Isingekuwa n.a. muhimu Pombe ssingeongelea ushahidi wa viongozi wa TLS.Pia hoja ya polish kukamata bila halali n.a. kutesa watuhumiwa ni dosari ambaye inatakiwa kudhibitiwa n.a. magwiji wa sheria.TLS Imara ndiyo jibu.
 
"Na upinzani kazi yao ni kukuza mambo" Sijui kama wewe ulikuwa Tanzania ktk kipindi cha mwezi mmoja miwili iliyopita. Waliokuwa TLS ni JPM na Mwakyembe wake. Siyo wapinzani kama unavyosema
 
Isingekuwa n.a. muhimu Pombe ssingeongelea ushahidi wa viongozi wa TLS.Pia hoja ya polish kukamata bila halali n.a. kutesa watuhumiwa ni dosari ambaye inatakiwa kudhibitiwa n.a. magwiji wa sheria.TLS Imara ndiyo jibu.
Wapi Magufulia Aliongea! Ila upinzani ni Kawaida hata umeya huwa hivi hivi
 
Nianze kwa kusema Tuu kuwa Mimi si Mwanachama Wa Chama Chochote hapa Tanzania! Lakini ni mfuatiliaji wa karibu wa mambo yanayo husu siasa na Jamii kwa Ujumla!

TLS ni kitu ambacho hakisikiki sanaa na Labda kwa mwaka huu kimeweza kusikika kwa Ajili ya Uchaguzi huu na ni vile tuu Mpinzani kagombea na upinzani kazi yao ni kukuza mambo!

Mimi najiuliza Faida za TLS kwa Watanzania ni zipi? TLS imefanya makubwa yapi ambayo watanzania wanaweza Kujivunia? TLS ina Impact gani katika Serikali zaidi ya Bunge? Najiuliza hivi kwasababu nashangaa kuona ni uchaguzi unao ongelewa vibaya Mno kama Vile kuna kitu kipya kinakuja Tanzania

Oky Lissu kashinda lakini najiuliza katika TLS Lissu kawa Mwanachama Tokea lini na Kipi alikifanya Katika TLS?

Nielewesheni Faida za TLS katika Jamii......
Majukumu ya kuanzisha kwa TLS ni hayo yafuatayo kwa hapa Tanzania:
  • To maintain and improve the standards of conduct and learning of the legal profession in Tanzania;
  • To facilitate the acquisition of legal knowledge by members of the legal profession and others;
  • To assist the Government and the Courts in all matters affecting legislation and administration and practice of the law in Tanzania;
  • To represent, protect and assist members of the legal profession in Tanzania as regards to conditions of practice and otherwise;
  • To protect and assist the public in Tanzania in all matters touching, ancillary or incidental to the law.
Sidhani kama kuna mengine zaidi ya hayo
 
Ujinga ujinga... Tu.... Muda mwingine memory card ya Kichwa inatakiwa iwe na free space Kwa ajili ya kujaza vitu vya... Msingi..

Chagadema mtambue hiyo TLS ni sawa tu na chama cha makuli Tanzania au Chama cha wakulima wa korosho Tanzania sasa msitupigie kelele Kwa vitu visivyo na Msingi Mbona umoja wa Makuli ukifanya uchaguzi wao hampigi kelele....
Muulize Pombe kwa nini hazungumzii chaguzi kama za TFF
 
Back
Top Bottom