Napenda kuifahamu Tanganyika Law Society(TLS)

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,130
2,000
Habari zenu wadau, nilikuwa na ombi kwa wadau ambao wanafahamu hasa Tanzania law society waje hapa watudadalie kazi za hiki chombo na mamlaka yake kisheria ni yepi

Vile vile watueleze kwanini watawala hawataki chombo hiki kiongozwe na mtu kutoka chama cha siasa cha upinzani.
 

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,130
2,000
OTE="Otorong'ong'o, post: 20205395, member: 51902"]Ngoja kwanza Rais apatikane...[/QUOTE]
Haya ngoja tusubilie
 
Feb 27, 2017
83
125
Nmebaki najiuliza kuhusu powers za Rais wa TLS katika Nchi yetu hii pendwa, sipati jibu, pamoja na majukumu mbali mbali ya TLS na pamoja na influence ya Rais wa TLS katika masuala ya kisheria hapa nchini lakini bado sijawahi kuona wala kusikia uchaguzi wa TLS uliofuatiliwa na watanania wengi kiaasi hiki!

Nilichokiona Serikali yenyewe imefanya kosa ambalo hawakulijua la kumpaisha Lisu both kisiasa na as a person. Maana zile kauli za kutaka kufuta TLS mara kuwa Fulani asichaguliwe zilichochea wengi kutaka huyo mtu achaguliwe, and in the other hand kumpaisha jamaa. Hivyo Serikali bila kujua ilifanya kumpigia kampeni jamaa na akapeta kiulaini.

Hongera Lissu.

Lets call a spade a spade, not a big spoon.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom