Nape: Vyombo vya Dola visipojali UTU, CCM itang'oka!

Nape: Vyombo vya Dola visipojali UTU, CCM itang'oka!

Kosa si kosa kosa kurudia kosa,, CCM na magenge ya wahuni waliojivika joho la Polisi wasirudie ya tar 29 okt '25
Ww nae fala tuu, kwamba kuua wengi kwa siku moja ndio kosa ila kuua mmoja mmoja sio kosa?
 
Ameanza kuiva ninamfundisha kwa muda mrefu.
Nikiongea Kingereza kimya kimya nina sound Kama Obama .

Nimeanza kujifunza muda nikaanza na kusoma magezeti , majarida na short stories sasa napiga mpaka Kitabu page 1,000 vizuri sana ila kuongea kipengele sababu sina mtu wa kuongea nae sasa nimejiunga app ya kijamii ya lugha nafanya conservation na watu wa mambele kupata uzoefu.
 
Eti anasema anayeweza kuidhibiti serikali ni chama. Na mahakama je? Kmmk!
 
It's the opposite, ccm wakianza kutumia utu kuiongoza nchi, kesho asubuhi kwenye sanduku la kura watashangaa wenyewe.

People are fed up, miaka 49 wengine hata hatujazaliwa inatosha kabisa, unazailiwa unaikuta ccm, unazeeka ccm ipo madarakani tena kwa mabavu. Its enough!!
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema ni vyema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuisimamia kauimbiu yake ya 'kazi na utu tunasonga mbele' huku utu ukizingatiwa zaidi kila mahali kwani isipokuwa hivyo chama hicho kitang'olewa madarakani.

Ameyasema hayo leo Februari 05, 2026 bungeni na kueleza kuwa utu huo unapaswa kuoneakana kwenye maeneo ikiwemo kwenye vyombo vya dola.

"Tunapoanza mipango ya utekelezaji wa dira hili suala la utu liwe wazi tulione moja kwa moja kwenye mipango ya serikali...tukienda kwenye machinga tuone utu, tukienda kwa wakulima tuone utu, tukienda kwenye matendo ya vyombo vya dola tuone utu" amesema Nape.

Huyu Nape akitumbuliwaga anakuwaga na akili kidogo
Ila ni mnafiki aliyekubuhu Kwa ajili ya tumbo lake lijae TU

Nashauri Ccm wamfukize Kwa hiyo kauli maana ukweli ni kwamba Ccm imeshikiliwa na polisi na jeshi
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema ni vyema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuisimamia kauimbiu yake ya 'kazi na utu tunasonga mbele' huku utu ukizingatiwa zaidi kila mahali kwani isipokuwa hivyo chama hicho kitang'olewa madarakani.

Ameyasema hayo leo Februari 05, 2026 bungeni na kueleza kuwa utu huo unapaswa kuoneakana kwenye maeneo ikiwemo kwenye vyombo vya dola.

"Tunapoanza mipango ya utekelezaji wa dira hili suala la utu liwe wazi tulione moja kwa moja kwenye mipango ya serikali...tukienda kwenye machinga tuone utu, tukienda kwa wakulima tuone utu, tukienda kwenye matendo ya vyombo vya dola tuone utu" amesema Nape.

Sio lahis kusema kua sis tumekosea Kwa sababu sku ZOTE mzazi Huwa anajiona akosei
 
Back
Top Bottom