Nape: Vyombo vya Dola visipojali UTU, CCM itang'oka!

Hili bunge ni kama chumba cha wanafunzi wa darasa la tatu!
 
Ccm ilishangoka kitambo..
Police,Tiss na Jw ndio wanaiweka pale..sio wananchi!
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema ni vyema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuisimamia kauimbiu yake ya 'kazi na utu tunasonga mbele' huku utu ukizingatiwa zaidi kila mahali kwani isipokuwa hivyo chama hicho kitang'olewa madarakani.

Ameyasema hayo leo Februari 05, 2026 bungeni na kueleza kuwa utu huo unapaswa kuoneakana kwenye maeneo ikiwemo kwenye vyombo vya dola.

"Tunapoanza mipango ya utekelezaji wa dira hili suala la utu liwe wazi tulione moja kwa moja kwenye mipango ya serikali...tukienda kwenye machinga tuone utu, tukienda kwa wakulima tuone utu, tukienda kwenye matendo ya vyombo vya dola tuone utu" amesema Nape.

Siku vyombo vya dola vikianza kuwa na "utu" nyie mmeondoka.Police state
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema ni vyema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuisimamia kauimbiu yake ya 'kazi na utu tunasonga mbele' huku utu ukizingatiwa zaidi kila mahali kwani isipokuwa hivyo chama hicho kitang'olewa madarakani.

Ameyasema hayo leo Februari 05, 2026 bungeni na kueleza kuwa utu huo unapaswa kuoneakana kwenye maeneo ikiwemo kwenye vyombo vya dola.

"Tunapoanza mipango ya utekelezaji wa dira hili suala la utu liwe wazi tulione moja kwa moja kwenye mipango ya serikali...tukienda kwenye machinga tuone utu, tukienda kwa wakulima tuone utu, tukienda kwenye matendo ya vyombo vya dola tuone utu" amesema Nape.

Kawekwa benchi katika Baraza la Mawaziri, keshaanza kupayuka, huyu Afisa Kipenyo Mwandamizi ana shida sana
 
Ni mnafiki na ameshasoma alama za nyakati. Watu wamekufa na tumeingia uwoga lakini unadhani watu hawata toka tena? Ni jambo la mda tu na siku watu wakitoka tena kutakua kubaya zaidi sababu watu wameshajeruhiwa na wanajua kama wakifanya kosa ccm ispotoka damu zitamwagika zaidi.. ni jambo la muda tu ila ccm must go.
 
Na tukifanikiwa kibadili katiba wote wacheza na mfumo lazima wachukuliwe sheria… hakuna ujinga ujinga wa kuwekeana kinga kwa maslai yao
 
Hiyo ni michango inayoweza kuaminiwa navwatoto wachanga.
Ikifika 2929, 2030 hixo kauliv hazisikiki.
Ogopa sana mtu anayekukata, akijua ataomba msamaha ili hali anmeficha panga na tupa
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema ni vyema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuisimamia kauimbiu yake ya 'kazi na utu tunasonga mbele' huku utu ukizingatiwa zaidi kila mahali kwani isipokuwa hivyo chama hicho kitang'olewa madarakani.

Ameyasema hayo leo Februari 05, 2026 bungeni na kueleza kuwa utu huo unapaswa kuoneakana kwenye maeneo ikiwemo kwenye vyombo vya dola.

"Tunapoanza mipango ya utekelezaji wa dira hili suala la utu liwe wazi tulione moja kwa moja kwenye mipango ya serikali...tukienda kwenye machinga tuone utu, tukienda kwa wakulima tuone utu, tukienda kwenye matendo ya vyombo vya dola tuone utu" amesema Nape.

Tatizo la Nape ni kwamba akishatupwa nje ya mfumo huwa anatia huruma. Lakini akipata upenyo anakuwa kama Makonda na Mwigulu
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema ni vyema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuisimamia kauimbiu yake ya 'kazi na utu tunasonga mbele' huku utu ukizingatiwa zaidi kila mahali kwani isipokuwa hivyo chama hicho kitang'olewa madarakani.

Ameyasema hayo leo Februari 05, 2026 bungeni na kueleza kuwa utu huo unapaswa kuoneakana kwenye maeneo ikiwemo kwenye vyombo vya dola.

"Tunapoanza mipango ya utekelezaji wa dira hili suala la utu liwe wazi tulione moja kwa moja kwenye mipango ya serikali...tukienda kwenye machinga tuone utu, tukienda kwa wakulima tuone utu, tukienda kwenye matendo ya vyombo vya dola tuone utu" amesema Nape.

Mnafiq tu mchumiatumbo mkubwa! Mbona hajawahi kukemea mauji aliyofanya Samuya MO29. Na mbona hajawahi kuhoji kuhusu maiti za MO29 zilizotekerezwa kwenye tanuru la Wazo Hill? Msengerema mkubwa!
 
Back
Top Bottom