Alwatan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 409
- 129
Nape muda mwingianautumia kupiga maneno na kuleta matatizo katika taifa letu na tusipoangalia kauli zake zinaweza kuliingiza taifa letu kwenye vita hivyo basi watanzania tumvumilie tu kwani hajui alitendalo kwani ni kilaza tu
Inaelekea Nape ni jembe hasa, ndio maana pro-Chadema JF hamuishi kumuota na kumzungumzia. Mbona livyokua bwana usingizi Chiligati kwenye nafasi ileile hakuwa anajadiliwa sana.