Nape vs Lowassa

Status
Not open for further replies.
huwa tunasema vita vya panzi ni furaha kwa kunguru, mi naona nape ni gamba jipya na lowassa ni gamba la zamani, sasa cjui vita hii ya hawa magamba(ccm) mshindi nani, waalah! Chadema ndio tutaendela kuwa washindi
 
jamani hamjui kuwa CCM ni GAMBA na LOWASA ni GUGAMBA na NAPE ni KAGAMBA kwa hiyo mwangalie wenyewe kati ya gamba na gugamba nani zaidi?
 
CCM ni chama cha ajabu sana yani ukiangalia mikakati ya leo kwenye sekta ya Nishati na madini(majenerator ya kukodi)
yote yalikuwa ni kumshambulia lowassa lakini ukiangalia kwa leo ni yale yale aliyofanya wakati ule nadhani bunge likijipanga kipindi kijacho Bunge likae kumuondoa pinda kwenye kiti hicho kama ilivyofanya kwa lowassa kwa tuhuma.
 
nape nayeye anamiliki shell ndio maana amenyamaza kwenye mambo ya mafuta na ukodishwaji wa mitambo ya kufua umeme
 
Ccm wakimtosa lowasa wamekwisha hakuna wa kumnyooshea kidole akiondoka anaondoka na chama kuna swali moja gumu linawasumbua kwa kosa gani alilofanya kama ni richmond mbona rais aliridhia wa kuondoka nani kawaida hata kwenye kazi huwa anayewajibishwa ni kiongozi sasa kwa ishu yake aliyepaswa kuwajibishwa ni kiongozi wake ambaye ni rais ugumu uko nani wa kumwajibisha ndo maana wimbo wa kuvua magamba kila siku unapata remix mpya na itakuwa hivyo hadi 2015!
 
n4003442_30580367_9938.jpg
 
Sounds like everybody in Magamba party is going. We should wish them all a good journey.

yah lakini ni wakati wa tanzania kujipanga na kuwa na mfumo wa vyama viwili vyenye nguvu sio chama kimoja ndio maana matatizo mengi yanatokea
 
lowassa: wananchi wanaweza kumuondoa rais maneno aliyoyasema TBC , haya wapambe wa rais jibuni
 
Nape muda mwingianautumia kupiga maneno na kuleta matatizo katika taifa letu na tusipoangalia kauli zake zinaweza kuliingiza taifa letu kwenye vita hivyo basi watanzania tumvumilie tu kwani hajui alitendalo kwani ni kilaza tu
 
huwa tunasema vita vya panzi ni furaha kwa kunguru, mi naona nape ni gamba jipya na lowassa ni gamba la zamani, sasa cjui vita hii ya hawa magamba(ccm) mshindi nani, waalah! Chadema ndio tutaendela kuwa washindi
<br />
<br />
kwa hyo tunaweza kuwaita Lowasa a.k.a gamba la zaman na Nape a.k.a gamba jipya.
 
Nape fisadi wa elimu lazima aondoke kwenye chama chetu kabla ya kuanza maandamano ya kumpinga
 
ni kufananisha usingizi na kifo,vitu viwili tofauti..wakati ccm wanafikiria jinsi ya kumvua gamba,yeye alishafahamu hilo haliwezekani na alishaanza kampeni za kuelekea ikulu..juzi alikuwa kkkt usharika wa mwenge kwaajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa,anachukua credits tu
 
Nape na chama chake wamepoteza uelekeo kwani wanawaita watu magamba lakini ikifika muda mgumu wanawaita jamani njooni mtusaidie kuokoa jahazi kweli gamba linawezaje kukusaidia wewe mpambanaji.....

tazama igunga chama kimemwangukia na kumuomba Rostam msamaha ili ashiriki katika kulikomboa jimbo la igunga huu ni unafiki CCM wanaoufanya wanaimba hivi wakati wanacheza vile
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom