Nape vs Lowassa

Nape vs Lowassa

Status
Not open for further replies.
Mkuu kama wewe ni mtanzania unaweza kufahamu wazi kuwa wanasiasa waliowengi wakisema hili hawamaanishi wanalolisema, so kujivua gamba ni kuwageresha tu wananchi. hakuna kitakachofanyika na kitakachobadilika.

Mkuu,si unakumbuka ile story ya "Political road map" iliyotolewa na mheshimiwa msekwa,the gamba issue is merely like usanii.Lets wait and see.
 
Kauli ya lowassa akimtumia ujumbe mwita gachuma

Hakuna mwenye uwezo wa kunitoa CCM iwe mwenyekiti au ndege wake, na kama wakileta mchezo basi mambo yataisha
 
watwambie ukweyii, kama mbwayi mbwayi siyo kuturusha rohoo tu!
 
NApe ni kama Mbwa mlinzi akiambiwa kamata, weka mkia ndani, toka, na ufyate vyote anatekeleza
 
Je nini matokeo ya mnyukano kati ya LOWASSA na NAPE katika chama cha magamba? je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama
........mmm yetu macho, Nape yeye ni kisemeo tu, nilichojifunza ni kwamba JK tayari ameshaanza kuwatosa marafiki zake ambao hakukutana nao barabarani (Luhanjo na Jairo), angalia taarifa ile ya bunge iliyowaacha uchi, nahisi roho kakomaa sasa, anayefuata ni Lowassa,. du, Lowassa unakubali hiv hiv!!!!!?
 
Lowasa ni sawa na chemical Ali wa Iraq, Nape asubiri mraba wake kama alioupata Mwakyembe
 
A quote from Lowasa; Wakimwaga mboga basi na mimi namwaga ugali. Hakuna wakumgusa Edo NEC nzima, tusubiri
 
Kauli ya lowassa akimtumia ujumbe mwita gachuma

Hakuna mwenye uwezo wa kunitoa CCM iwe mwenyekiti au ndege wake, na kama wakileta mchezo basi mambo yataisha
.........haya ndiyo maamuzi magumu, maamuzi ya mwanaume.... simamia msimamao wako, kama noma na iwe noma
 
kwaeli dogo Nepi ulichokoza nyuki wakati una helmeti ya kichwa na ****** sasa wang'atwa kila kona
 
kama nyie ni wafuatiliaji wazuri wa maneno ya Lowasa mtaungana nimi kwamba there is no way Lowasa akastep out kwani ana siri kubwa ambayo inamnyima JK usingizi na mbaya zaidi hana nguvu ya kumfanya lolote kwani wengi wa walio upande wake ndani ya CCM wanajua.

Alishawahi kusema sikukutana na JK mtaani na tunajuana zaidi ya vile ambavyo nyinyi mnaweza kufikiri. Juzi juzi tu hapa kwenye hotuba yake mondhuli alirudia tena kusema kuna mambo mengine siwezi kuyasema hapa nitayasema huko. Kumbuka ana ushahidi mkubwa juuya JK na richmond
 
Natamanı nıwaone magamba wakımvulısha Lowassa kıkwelkwel make ıtakuwa rahsı kwetu wanamabadılıko kupumua vızurı.
Vıta vya panzı wawılı furaha ya Kunguru!
Tupenı radha hıı make tushapandwa na mıdadı tayalı!
 
hatimae lowassa ametoa ujumbe kuwa hajawahi kuchukua ata senti moja ya richmond na mradi huo ni wa baba na mwanae mkuu wa nchi
 
​kazi kweli kweli naona Nape kanyamazishwa
 
Hivi mwananchi wa kawaida ana uwezo wa kumzuia EL asiwe prezidaa
 
Nape umeomba nguvu toka kwa familia ya malecela>>>ha ha ha kweli vichekesho vinaendelea...... waambie warudishe mali za IRAN walizoficha marekani ili waje kupigania nchi wakiwa wasafi
 
Nape ameunda genge la majangiri ili kushambulia Viongozi wa CCM wanaopingana nae, lakini katika hali ya kumshangaza wamemtumia mkakati wake wa Toka mwanzo na mpaka alivyofikia na inasemekana amelazwa kwenye hospital moja mashuhuru akisumbuliwa na presha
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom