The only survivor ya Nape ni kuacha kiherehere na visasi visivyo na maana,Hebu angalieni ufisadi unaofanywa na watu walio karibu na dola,lakini kwenye majukwaa wanamhubiri Lowasa ndiyo fisadi,at the end of a day Nape atajkuta ameachwa peke yake na kujimaliza angali na umri mdogo sana,ikiwa wanachikifanya wao ni wasafi kabisa hakika watafanikiwa lakini kama kuna madudu yao na wao wameyaficha hakika Mungu atawaumbua kwa kuwa ni unafiki mkubwa sana.by the way mimi kwangu Lowwasa ni kiongozi shupavu pamoja na mapungufu kama binadamu wengine