Mumwi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 592
- 122
Ndugu yangu Makupa ulikuwa juu sana kuchangia siku hizi hizi hupati mgao au? Maana umekuwa kimyaaaa!!!Nape ni kichuguu lowasa ni mlima kilimanjaro mkiwafananisha hamumtrndei nape haki
Ndugu yangu Makupa ulikuwa juu sana kuchangia siku hizi hizi hupati mgao au? Maana umekuwa kimyaaaa!!!Nape ni kichuguu lowasa ni mlima kilimanjaro mkiwafananisha hamumtrndei nape haki
Lowasa amerudi toka Nigeria juzi juzi tu' siraha alizonazo Nape atajisalimisha mwenyewe.Lowasa ataondoka madarakan iwapo wananchi wakiamua na sio ccm.Kumbuka sasa hv n Mwenyekiti wa kamati ya bunge,mambo ya nje ulinzi na usalama!
yule dogo ana siku 11
Msigano huu ni mgumu sana na utaendelea kuwa mgumu,lakini mwisho wa siku chama kitagawanyika makundi mawili!!
Nape ni kichuguu lowasa ni mlima kilimanjaro mkiwafananisha hamumtrndei nape haki
nappe mtoto mdogo sana, huwezi hata kidogo kumlinganisha na lowassa, never ever, huwezi kumlinganisha kimawazo, kielimu, kisiasa, kiumri na kifedha. bado hatujagusa swala la kimafia, siajabu kila siku usiku kuna watu wanambaka huyu nepe, acheni utani kabisa wa kujaribu kusema nape vs lowasa, labda mseme JK vs LOWASA au ROSTAM vs LOWASA, au NAPE vs JANUARY MAKAMBA.
Lowasa ananguvu kwenye chama chao,msimwone yupo kimya
sure thingya ngoswe tumwachie ngoswe mwenyewe
Hata hao wakubwa walizaliwa, wakakua na sasa wanaitwa wakubwa. Kama unaona na kuamini kuwa Nape anaweza kuwa anabakwa, then, atakayekuwa anafanya hivyo ni Lowassa na kundi lake, na kama hivyo ndivyo, hebu tujiulize, hivi ni kweli tunahitaji Rais mbakaji?[/QUOTE]
never ever
Ndugu yangu kazi ni nyingi mno ndio maaana hujanisikia muda ila punde tu nitarejea kwa kasi kubwa mnoNdugu yangu Makupa ulikuwa juu sana kuchangia siku hizi hizi hupati mgao au? Maana umekuwa kimyaaaa!!!
lakini kuwa katika kamati ya ulinzi na usalama ni moja ya sehemu nyeti ya nchi kwani yeye hufanya kazi kwa karibu na taasisi nyingi pia historia ya utendaji inaweza kusababisha mtu akawa na nguvu au ikikuangusha ..Nape ni kijana mwenye wadhifa mkubwa lakini bado haonekani kumudu nafasi hii na imefika wakati anadhani yeye ni spika wa chamaKati ya Lowassa na Nape ni nani aliyopo ktk nafasi ya maamuzi? Lowassa ni Mbunge (CCM) wa Monduli na ni Mwenyekiti wa Kamati ya Nje, Ulinzi na Usalama. Nape ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na pia ni Mjumbe wa Secretariat ya CCM.
Secretariat inapendekezwa na Kamati Kuu ya Chama na Kuridhiwa na Halmashauri Kuu ya Chama. Inafanya kazi za Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM. Mbunge anateuliwa na wananchi jimboni kwake kwa kazi za maendeleo ya jimbo. Kamati zote za Bunge zipo kwa mujibu wa KANUNI tu. Kazi yao kubwa ni KUSHAURI tu.
Inawezekana ana nguvu za giza kweli. Maana ametoka Nigeria hivi karibuni. Endeleeni kushabikia ujinga ktk nchi yetu, ipo siku watu watalia na kusaga meno kwa ujinga huu. Mafisadi sio watu wa kuwachekea hata kidogo, hata kama ni baba yako.
Kama serikali kupitia Pinda watamka wazi kuwa mafisadi yana nguvu itakuwa Nape...