Ukweli hapa ni usanii hakuna wakuthubutu kuwafukuza hao three guys mtikisiko ndani ya chama ni mkubwa sana endapo watafanya hivyo!
Ndo maana nasema kwamba kuna watu bado kongwa la utumwa halijawatoka. Kama wao wangekuwa wakubwa kuliko chama wangekuwa na moyo wa uthubutu kwa kujiondoa na hapo wangethibitisha umwamba wao. Hawa ni paper tigers, hawana lolote.