NAPE NNAUYE tunaomba MAJIBU

NAPE NNAUYE tunaomba MAJIBU

Naweza kuamani kuwa jamaa kufungwa mdomo

Kuna mtu aliniambia kuwa jamaa kaamiwa hatakiwi ccm na mama yake kaenda kupigwa mkwara

Huu ndo utakuwa mwisho wa nape kuongelea mambo ya ROstam Lowass na chenge

Ndo mana sasa hivi kimya kama ananawa
 
Hapo sijui kama nape:director: atakuja na jibu sahii au itaikana ID yake ya JF?😛oa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom