Nape Nnauye hana ugonjwa wa kisaikolojia, Daudi Bashite hana mwisho mzuri

Mkuu serikali nzr ni ile inayojali Ushauri na kuwa na weledi wa hali ya juu.. Ili kupata kuungwa mkono na wananchi ambao ndo waliokupigia kura na kukufikisha hapo ulipo! In short hao ndo waajiri wako.. Hivyo mahusiano Kati ya mwajiri na mwajiriwa yanatakiwa kuwa mazuri hasa mwajiriwa kufuata matakwa ya mwajiri... Unapoleta Kiburi na kukurupuka katika maamuzi yako italeta picha mbaya kwa mwajiri wako! Suala la Nape na Bashite kwa mtu yeyote mwenye weledi asingemchomoa Nape akamwacha Bashite.. Hata ungekuwa wewe mkuu.. Tuwe wakweli tu katika hili! Mkulu kachemsha tena sana tu!

Kama hamjapendezwa, 2020 mna muda wa kubadilisha Serikali, na kumuweka Nape wenu au yoyote mnayemtaka, sasa kelele za nini?
 
Nepe na Bashite wote ni pimbi waishio katika msitu mmoja bali wanapishana tarehe za kuzaliwa tu.Waacheni wafu wazikane.
 
Kama hamjapendezwa, 2020 mna muda wa kubadilisha Serikali, na kumuweka Nape wenu au yoyote mnayemtaka, sasa kelele za nini?

2020 ya nin

Kama wewe unanufaika na bashite kwenye hizo deals zenu za kuwatisha watu na kuchukua pesa kwa mgongo wa dawa za kulevya hiyo ni juu yenu

Huwez kutupangia..nchi hii walipa kodi ni sisi na tunayo saut ya kusema pale jamaa zenu wanapofanya madudu

Kwan we ni msukuma wa wapi..mbona akili zako finyu sana
 
Hopeless!! Wewe na Nepi wako hamna cha kumfanya JPM na atakuwepo mpaka 2025!
 
Mimi nawaza tu.

Una baba, mtoto unaemtegemea au jitu somi kabisa lakini siku moja unafuatilia nyendo zake mitandaoni unakuta komenti kama "hahahahaha Mange we kiboko, Juma Pondamali Maharage, Bashiteee, utaisomaaa " kwanza jua huyo mtu ana element za ushoga au usagaji na tapu tapu hajielewi, umasikini mpaka takoni anahimili hela ya bando tu. Mtu yuko MTWARA au MOSHI huko na yeye halali kakomaa BASHITE, BASHITE , VYETI VYETI - Ninyi mbona vyeti vyenu hamviweki wazi mitandaoni mkaonesha mfano au WAULIZE WAZAZI WAKO na wao wakuoneshe VYETI VYAO Kwanza ndo uulize vya WANAMUME KUTOKA LAKE ZONE

Yani uneonyesha busara ya chini kuliko hata huyo bashite unayemkingia sijui nini, ila una haki ya kutoa yaliyo kichwani mwako. Eti na wewe ni Mtanzania mleta maendeleo
 
Kuna member mwenzetu humu JF aliandika uzi ambao uliegemea kwenye maudhui kuwa Nape Nnauye ana matatizo ya kisaikolojia kias cha kumpelekea mheshimiwa huyo kila mara kuonekana akikumbuka mambo mbali mbali hususan yanayohusiana na juhud zake ambazo amekuwa akizifanya katika kukipigania chama,hadi kilipomuingiza Juma Poor Manager madarakan hadi kwa yeye kuchukua nafasi ya uwaziri na baadae kuondolewa kwa hila kutokana na kumshikia bango Daudi Bashite katika suala la Uvamiz wa Clouds media group hali iliyopelekea taharuki na hasira kali kwa wananchi na Tasnia ya habari kwa ujumla.

Mimi nachoweza kusema ni kwamba Nape hana tatzo la kisaikolojia...

Kwa sisi wamakonde tunaweza kusema kwamba hana Ntimanyongo..ila kitu kinachomzonga akilini mwake ni kwamba kuna kosa gan ambalo amewahi kulifanya hapo awali dhidi ya Juma Poor Manager hadi afikie hatua ya kumtafutia sababu ya hovyo kabisa ya kumwondoa kwenye position ambayo yeye ameihudumu kwa weledi wa hali ya juu sana i.e ya uwazir wa habari mpaka hatua ya mwisho kabisa katika position hiyo?

Kwanza,ameihudumu ofisi hiyo katika hali ya utiifu sana kwa upande wa serikali hii naweza kutolea mfano kwa tukio la yeye nape hadi kufikia hatua ya kutukwaza sisi wananchi kwa kusimamia ajenda ya kuzuia bunge lisioneshwe live ili mradi tuh amfurahishe Juma Poor Manager hata kama akijua kwamba mamillion ya watanzania hawamuungi mkono.

Pili alisimama kidete kwa wahanga wa sakata la daudi bashite i.e wamiliki wa vyombo vya habari na kuhakikisha anaipigania haki yao na kuhakikisha pia image ya serikali na Rais wake asie msikivu inalindwa na kuweka hali ya hewa kuwa sawia..

Lakin pamoja na juhud zake hizo bado akaonekana ni mtu asiefaa na ambae anatakiwa kuondolewa mara moja ili hali daudi bashite ambae hakuwa na haki ya kubakia hata kwa sekunde moja kwenye nafasi aliyopo amee delea kuwepo tena kwa kusifiwa na yule yule aliemtengua yeye katika nafas ambayo kiukweli amefanya kadir ya uwezo wake woote kuthibitisha kuwa hakupewa nafas ile kama ahsante bali amedeserve na ameonesha viwango vilivyostahili...

Hali hii kibinadam yeyote yule lazima ingemsumbua kama inavyomsumbua nape na kumweka katika mabano kwamba kuna nin?kuna kipi ambacho amekikosea na amefichwa kuelezwa?

Maana kwa mantiki ya kawaida kwa alichokifanya hata yeye Juma Poor Manager moyoni mwake anajua fika kuwa ni sahihi na hata daudi bashite anafaham fika kuwa kama kuzingua basi kazingua na kupitiliza.

Lakin kwa vyovyote vile iwavyo..Daudi bashite achukuliwe hatua leo au hata aachwe hatakuwa na mwisho mzuri ndan ya utawala wake alionao hiv sasa pia hatakuwa na mwisho mzuri kwa jamii anayoiongoza vile vile.

Ametengeneza taharuki kwa viongoz wengine waliobakia kuanzia kwa makamu wa rais,waziri mkuu na hata mawazir wengine mfano tumeona hata mwakyembe akifyata mkia.

Pia ametengeneza taharuki kwa wamiliki wa vyombo vya habari ambao hivi sasa wao na yeye ni kama panya na paka katika mahusiano yao ya kila siku.

Nape Nnauye kikubwa yeye afaham kwamba kipo kilichomuondoa tuh ukiachilia mbali hili la daudi bashite

Kwa kuwa hili alilifanya nape kwa daudi bashite hata Juma Poor Manager anafaham kabisa kuwa yupo sahihi.

Muda Utaeleza wenyewe...Daudi Bashite hauna mwisho mzuri.

wewe huyo ulikuwa unamwita Nape vuvuzela

wewe hayo hautaki kukubali alikosea

"kilichotokea kwa Nape sio habari ya kuwa right or wrong...simply ni kutofautiana na bosi wake"

wala haihitaji essay kujua kuwa lazima angetumbuliwa"
be careful maana utaja umbuku humu

Nape atakuruka....leo kasema alijua kuwa ataondolewa
 
Yani uneonyesha busara ya chini kuliko hata huyo bashite unayemkingia sijui nini, ila una haki ya kutoa yaliyo kichwani mwako. Eti na wewe ni Mtanzania mleta maendeleo
Utakuwa mangi wewe. Nawajua tu
 
I am real telling you.

We aint gona keep quite with this hata iweje.

Daudi Bashite hawez vamia kituo cha habar kwa mitutu ya bunduki then akaachwa hiv hiv eti kwa kuwa ana protection ya Juma Poor Manager...no one is above the law.

Daudi bashite hawez kuachwa anadunda na madaraka ya kulevya town hapa huku akila kiyoyoz cha jasho la kodi yetu huku wengine wakiondolewa kwa kufoji vyeti hivyo hivyo alivyofoji daudi bashite hilo hatutaliacha hivi hivi

Daudi bashite hata akijifanya kutafuta sympathy kwa kutumia mgongo wa madawa ya kulevya kwa sasa haitawezekanika tena

Hatuhitaj tena double standards katika hilo

Kaa ukijua na kama kakutuma umtetee nenda kamfikishie salaam
Sasa unasubiri nini kuchukua hatua dhidi ya unayemuita bashite kelele humu hazikusaidii, Kama una cha kufanya fanya siyo kupiga kelele humu hutafanikiwa watu wanataka matokeo ya kazi yake tu siyo vyeti vyake, nyinyi wenye vyeti safi mmefanya nini? Si mmeishia kuwa wezi tu
 
Kwani vip mkuu

Imekuwa ugomvi?

Kipi kinachokufanya ushikie bango kuwa watu wapo hapa kwa nia ya kumpigania nape au kumfariji?

What happened to nape has already happened..

Na hicho hakituzuiii sisi kuendelea kudiscuss na kubainisha what was wrong and what was right

Kutumbuliwa kwa. Nape mwenye maamuz ni juma poor manager

Uhalali wa makonda wa kuendelea kukaa hapo alipo hautokan na whether juma poor manager anapenda au hapendi ni kwamba uhalali wa kuendelea kukaa pale haupo

Na huyo Juma Poor manager hamlipi bashite kwa pesa yake ya mfukon la hasha anamlipa kwa kodi zetu

Na tuna haki ya kulisema hilo.

Sasa point yako hasa ni ipi?

Kwamba bashite alipovamia clouds media na bunduki iachwe hiv hiv?

Bashite amefoji vyeti iachwe hiv hiv?

Why iachwe hivyo na wengine wakifukuzwa kazi?

Double standards za nin

Watu wengine mnatumia nin kufikiri

Masaburi au?

wewe huyo ulikuwa unamwita Nape vuvuzela

wewe hayo hautaki kukubali alikosea

"kilichotokea kwa Nape sio habari ya kuwa right or wrong...simply ni kutofautiana na bosi wake"

wala haihitaji essay kujua kuwa lazima angetumbuliwa"
be careful maana utaja umbuku humu

Nape atakuruka....leo kasema alijua kuwa ataondolewa
 
Sasa unasubiri nini kuchukua hatua dhidi ya unayemuita bashite kelele humu hazikusaidii, Kama una cha kufanya fanya siyo kupiga kelele humu hutafanikiwa watu wanataka matokeo ya kazi yake tu siyo vyeti vyake, nyinyi wenye vyeti safi mmefanya nini? Si mmeishia kuwa wezi tu

Kelele siku zote tunapiga humu humu hata kwa watumishi wengine wa umma na hatua zinachukuliwa labda kama wewe hujui.

Kelele tunazopiga humu hao hao jamaa zako wanasoma na wengine wanasema kwamba tunaandika mambo ya hovyo kweri kweri lakin wanasoma

Kelele tunazopiga humu ndizo zinazowanyima raha hadi kufikia waasisi na wamiliki wa mitandao kama hii kupelekwa mahakaman au keko kwa kugoma kutoa privacy zetu.

Ni whistle blowers

Wewe usione raha tuh kucomment humu na kutukana watu wamepambana na kusacrifice ili wewe uweze kuongea huo ushuzi wako.

Lione kwanza.

Sasa kama mnasema hamna haja ya vyeti vya mtu na mnachojari ni kazi tuh hao wengine elfu tisa mnaosema ni mabashite na mnasubiri report ili muifanyie kazi ni kazi gan hiyo?

Kwann msiwaachie?na kama kweli mnamaanisha mnachosema why msianze na huyo bashite wa daresalama
 
Kwani vip mkuu

Imekuwa ugomvi?

Kipi kinachokufanya ushikie bango kuwa watu wapo hapa kwa nia ya kumpigania nape au kumfariji?

What happened to nape has already happened..

Na hicho hakituzuiii sisi kuendelea kudiscuss na kubainisha what was wrong and what was right

Kutumbuliwa kwa. Nape mwenye maamuz ni juma poor manager

Uhalali wa makonda wa kuendelea kukaa hapo alipo hautokan na whether juma poor manager anapenda au hapendi ni kwamba uhalali wa kuendelea kukaa pale haupo

Na huyo Juma Poor manager hamlipi bashite kwa pesa yake ya mfukon la hasha anamlipa kwa kodi zetu

Na tuna haki ya kulisema hilo.

Sasa point yako hasa ni ipi?

Kwamba bashite alipovamia clouds media na bunduki iachwe hiv hiv?

Bashite amefoji vyeti iachwe hiv hiv?

Why iachwe hivyo na wengine wakifukuzwa kazi?

Double standards za nin

Watu wengine mnatumia nin kufikiri

Masaburi au?

ulimshindwa lowassa ukaja kumkumbatia utaweza ya bashite

big picture ni kuiondoa CCM

nashangaa nguvu zako kwa bashite

umekata tamaa? ya kuiondoa CCM??
 
Back
Top Bottom