Nape Nnauye hana ugonjwa wa kisaikolojia, Daudi Bashite hana mwisho mzuri | Page 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Nnauye hana ugonjwa wa kisaikolojia, Daudi Bashite hana mwisho mzuri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THE BIG SHOW, Apr 21, 2017.

 1. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,945
  Likes Received: 1,910
  Trophy Points: 280
  Kuna member mwenzetu humu JF aliandika uzi ambao uliegemea kwenye maudhui kuwa Nape Nnauye ana matatizo ya kisaikolojia kias cha kumpelekea mheshimiwa huyo kila mara kuonekana akikumbuka mambo mbali mbali hususan yanayohusiana na juhud zake ambazo amekuwa akizifanya katika kukipigania chama,hadi kilipomuingiza Juma Poor Manager madarakan hadi kwa yeye kuchukua nafasi ya uwaziri na baadae kuondolewa kwa hila kutokana na kumshikia bango Daudi Bashite katika suala la Uvamiz wa Clouds media group hali iliyopelekea taharuki na hasira kali kwa wananchi na Tasnia ya habari kwa ujumla.

  Mimi nachoweza kusema ni kwamba Nape hana tatzo la kisaikolojia...

  Kwa sisi wamakonde tunaweza kusema kwamba hana Ntimanyongo..ila kitu kinachomzonga akilini mwake ni kwamba kuna kosa gan ambalo amewahi kulifanya hapo awali dhidi ya Juma Poor Manager hadi afikie hatua ya kumtafutia sababu ya hovyo kabisa ya kumwondoa kwenye position ambayo yeye ameihudumu kwa weledi wa hali ya juu sana i.e ya uwazir wa habari mpaka hatua ya mwisho kabisa katika position hiyo?

  Kwanza,ameihudumu ofisi hiyo katika hali ya utiifu sana kwa upande wa serikali hii naweza kutolea mfano kwa tukio la yeye nape hadi kufikia hatua ya kutukwaza sisi wananchi kwa kusimamia ajenda ya kuzuia bunge lisioneshwe live ili mradi tuh amfurahishe Juma Poor Manager hata kama akijua kwamba mamillion ya watanzania hawamuungi mkono.

  Pili alisimama kidete kwa wahanga wa sakata la daudi bashite i.e wamiliki wa vyombo vya habari na kuhakikisha anaipigania haki yao na kuhakikisha pia image ya serikali na Rais wake asie msikivu inalindwa na kuweka hali ya hewa kuwa sawia..

  Lakin pamoja na juhud zake hizo bado akaonekana ni mtu asiefaa na ambae anatakiwa kuondolewa mara moja ili hali daudi bashite ambae hakuwa na haki ya kubakia hata kwa sekunde moja kwenye nafasi aliyopo amee delea kuwepo tena kwa kusifiwa na yule yule aliemtengua yeye katika nafas ambayo kiukweli amefanya kadir ya uwezo wake woote kuthibitisha kuwa hakupewa nafas ile kama ahsante bali amedeserve na ameonesha viwango vilivyostahili...

  Hali hii kibinadam yeyote yule lazima ingemsumbua kama inavyomsumbua nape na kumweka katika mabano kwamba kuna nin?kuna kipi ambacho amekikosea na amefichwa kuelezwa?

  Maana kwa mantiki ya kawaida kwa alichokifanya hata yeye Juma Poor Manager moyoni mwake anajua fika kuwa ni sahihi na hata daudi bashite anafaham fika kuwa kama kuzingua basi kazingua na kupitiliza.

  Lakin kwa vyovyote vile iwavyo..Daudi bashite achukuliwe hatua leo au hata aachwe hatakuwa na mwisho mzuri ndan ya utawala wake alionao hiv sasa pia hatakuwa na mwisho mzuri kwa jamii anayoiongoza vile vile.

  Ametengeneza taharuki kwa viongoz wengine waliobakia kuanzia kwa makamu wa rais,waziri mkuu na hata mawazir wengine mfano tumeona hata mwakyembe akifyata mkia.

  Pia ametengeneza taharuki kwa wamiliki wa vyombo vya habari ambao hivi sasa wao na yeye ni kama panya na paka katika mahusiano yao ya kila siku.

  Nape Nnauye kikubwa yeye afaham kwamba kipo kilichomuondoa tuh ukiachilia mbali hili la daudi bashite

  Kwa kuwa hili alilifanya nape kwa daudi bashite hata Juma Poor Manager anafaham kabisa kuwa yupo sahihi.

  Muda Utaeleza wenyewe...Daudi Bashite hauna mwisho mzuri.
   
 2. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #121
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 8,323
  Likes Received: 7,010
  Trophy Points: 280
  Mkuu mie kwetu ni nyarubanda wilaya ya manyovu mkoani kigoma ssa huo umangi na issue ya vyeti vya bashite wapi na wapi??
   
 3. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #122
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 8,323
  Likes Received: 7,010
  Trophy Points: 280
  Hahahaha mkuu achana nao hao eti anasema wale askari walimsindikiza tu clouds?? Kinachochekesha makonda hajawahi kanusha kilichotokea clouds na vilevile hta tume ilioundwa hakujitokeza then hawa watetezi ndio wanajifanya kujua kilichotokea zaidi ya hata makonda mwenyewe??? Does it make sense!!!
   
 4. m

  mangatara JF-Expert Member

  #123
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 10,674
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Mkaruka;
  Waongera bwakisii?? Kweli nyani hani kundule. Ukajiona umeandikaaa yaani mpaka ma GT wa jf wakanyamaza. Utumbo huu ndio tunajiuliza, hivi mwanao angelikufuma una bonyeza kile kitufe cha "send" angeli kuelewa?? Nadhani mwenye hizo element ni weye kwani mabwabwa wengi wametokea huko Lake Zone kwenu. Sema tu mkuu kuwa umeibiwa huyo mme.
   
 5. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #124
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 9,227
  Likes Received: 5,985
  Trophy Points: 280
  Mdomo kama kitimoto
   
 6. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #125
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 9,227
  Likes Received: 5,985
  Trophy Points: 280
  Kama Clouds wamevamiwa waambie waende Polisi
   
 7. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #126
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 9,227
  Likes Received: 5,985
  Trophy Points: 280
  Ushakula jiwe la utosi Mangi
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #127
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 7,294
  Likes Received: 4,258
  Trophy Points: 280
  Aliyeanza kudai vyeti vya hao WANAUME Ni huyo huyo pumba maharage!! Au hukusikia akitaka uhakiki wa vyeti vya watu?(wafanyakazi) au naye kawa shoga! Yaani mtu ukitilia mashaka elimu ya kanjanja flani unaitwa shoga? We utakua ni shoga si bure
   
 9. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #128
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 8,323
  Likes Received: 7,010
  Trophy Points: 280
  Eti eeh!! Ila tundu lisu akiongea neno la "uchochezi" anakamatwa na sirro but sisi raia ni mpaka turipoti???

  Kwa hyo wale majambazi kuua watu kule vikindu ilihitaji taarifa ya polisi ndio hatua zichukuliwe?? na kma haikuhitaji what is so hard kwa sirro kushughulikia swala hili
   
 10. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #129
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 9,227
  Likes Received: 5,985
  Trophy Points: 280
  Yeye ni haki yake kudai vyeti vyao maana ndie mwajiri wao, sasa wewe unaedai vyeti vya Makonda umekuwa mke wake ?
   
 11. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #130
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 9,227
  Likes Received: 5,985
  Trophy Points: 280
  Hujielewi mangi, kunywa kisusio ukalale
   
 12. m

  mangatara JF-Expert Member

  #131
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 10,674
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kweli naamini si bure. Utakuwa umechanganya oil na maji ndo maana kichwa yaani Slenda hedi ime kreki.
   
 13. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #132
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 7,294
  Likes Received: 4,258
  Trophy Points: 280
  Sasa sisi tunamkumbusha kuwa katika hao waajiriiwa wenzake kuna mmoja kafoji cheti!! Kuna ubaya gani? Wewe utakuwa ni mke wa bashite!! Huwezi kumtetea mume wa mwenzako hivi!! Au wewe ni mchepuko wake!
   
 14. E

  Eja One JF-Expert Member

  #133
  Apr 21, 2017
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,063
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Mimi nina akili timamu na nina mkingia kifua Paul C.Makonda.

  Na sababu ni moja tu...Vita yenu ya kashfa dhidi yake imeanza baada ya vita yake dhidi ya madawa ya kulevya. Mngekuwa nyinyi ndio mlianza kumpiga vita ya vyeti then yeye akawasingizia mnauza madawa ningesimama pa1 nanyi..

  Ila for now till the end nyie ni wauza na watumia madawa tu
   
 15. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #134
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 9,227
  Likes Received: 5,985
  Trophy Points: 280
  Visusio vimewaharibu akili hebu badilikeni mangi
   
 16. M

  Mugabe one JF-Expert Member

  #135
  Apr 21, 2017
  Joined: Nov 15, 2016
  Messages: 1,376
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Nenda chooni pale Machame, ukirudi akili zako zitatulia!
   
 17. Kisuntee

  Kisuntee Senior Member

  #136
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 18, 2017
  Messages: 114
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nape uspende kutaja kabira yako. Inamanisha
  ww nimkabira sana. Sio utamaduni wetu tz.
   
 18. j

  jimama26 JF-Expert Member

  #137
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 30, 2013
  Messages: 893
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 80
   
 19. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #138
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,999
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa, inawezekana sina akili

  ila jua kila kitu kina pande mbili
   
 20. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #139
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,999
  Likes Received: 4,401
  Trophy Points: 280
  bigshow huyo
   
 21. J

  Jakamoko Senior Member

  #140
  Apr 21, 2017
  Joined: Mar 14, 2017
  Messages: 157
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Hawezi hakyanani, hahahaha, akiweza mimi mwenyewe najiuzuru wadhifa wangu kwenye familia yangu!!!!!!!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...