Nape Nnauye hana ugonjwa wa kisaikolojia, Daudi Bashite hana mwisho mzuri

Nape aliteuliwa kuwa Waziri bila ya kuulizwa yoyote yule na ametenguliwa Uwaziri wake pia, sasa tatizo liko wapi hapo?

Let me ask you.

Make assumption that wewe ni nape na umechukua hatua baada ya Jambaz Daudi bashite kuvamia kituo cha habari ambacho wewe ni wazir mwenye sekta husika

Then Mkuu wako anakuondoa wewe na kumuacha bashite ungejiskiaje?

Hebu weka mahaba yako na bashite pembeni kwanza

Juma poor manager is trying to R.I.P this issue but he will not
 
Vyovyote vile ambavyo ningejisikia ningekubali mamuzi ya aliyeniajiri na kunitengua na kumove on!
 
Wewe na Nape wote hamna Akili, Uwaziri ni nafasi ya kuteuliwa na anayekuteua halazimishwi kukuteua na vile vile anaweza kutengua nafasi yako muda wowote ule kwa jinsi anavyoona inafaa, sasa kinachowaliza ni kipi?

Kama umempenda sana huyo Nape na anakuuma kiivyo basi kamtambushe kwa Wazazi, ndugu na Jamaa zako!
Nimeshangaa umewezaje kuandika utumbo wa samaki uliioza,
Yaani unajaribu kutetea nini juu kila kinachoonekana?
Sasa hv nina hakika hata mtoto wa darasa la tatu anajua kuwa Tz inapitia kipindi kigumu cha kuwa na viongoz wa hovyo kuwahi kutokea ( viongoz ambao UKWELI ndio Batili na UONGO ndio haki,
Vipi wewe ambae una acc ya JF bado upo kizani?
Aisee kweli naelekea kukubaliana U.S PRESIDENT kuwa tunahitaji miaka mingine ya kutawaliwa.
 
Hata wewe ni kama Nape, hauna Akili!
 
Mimi nawaza tu.

Una baba, mtoto unaemtegemea au jitu somi kabisa lakini siku moja unafuatilia nyendo zake mitandaoni unakuta komenti kama "hahahahaha Mange we kiboko, Juma Pondamali Maharage, Bashiteee, utaisomaaa " kwanza jua huyo mtu ana element za ushoga au usagaji na tapu tapu hajielewi, umasikini mpaka takoni anahimili hela ya bando tu. Mtu yuko MTWARA au MOSHI huko na yeye halali kakomaa BASHITE, BASHITE , VYETI VYETI - Ninyi mbona vyeti vyenu hamviweki wazi mitandaoni mkaonesha mfano au WAULIZE WAZAZI WAKO na wao wakuoneshe VYETI VYAO Kwanza ndo uulize vya WANAMUME KUTOKA LAKE ZONE

Je unajitofautishaje??? Nawaza kwa sauti
 
Kwanza,ameihudumu ofisi hiyo katika hali ya utiifu sana kwa upande wa serikali hii naweza kutolea mfano kwa tukio la yeye nape hadi kufikia hatua ya kutukwaza sisi wananchi kwa kusimamia ajenda ya kuzuia bunge lisioneshwe live ili mradi tuh amfurahishe Juma Poor Manager hata kama akijua kwamba mamillion ya watanzania hawamuungi mkono.
Ni hasara kwa atakayejibiidisha kuvunja nguvu za vyombo vya habari na kuua upinzani hapa nchini, kwani kuna muda utafika atatamani sana kupata sapoti ya vyombo hivyo. Angalieni Nape anavyohangika sasa, hata huko bungeni hatujui anajenga hoja gani, kwani hatumsikii. Goli la mkono alilofunga linaweza kusababisha akapotea ili kupoteza ushahidi. Bado kitambo kidogo, atakuwa hasikiki tena. Poor Nape.
 
Hilo Jina la Juma Poor Manager limeongeza siku zangu za kuishi. Hii inaonyesha dhahiri kuwa binadamu mwenye akili timamu ni vigumu kumpelekesha utakavyo. Kwa kadri unavyoendelea kumbana ndivyo na yeye anavyoendelea ku - update mbinu zake.
~The big show man kabadili upepo? Tunasubiri akina Barbarosa na motochini wapone dementia waangalie kwa jicho la leo siyo la miaka kumi iliyopita. cc cocobeach or bitch or cocowhat?, na wengine.
 
Hivi kwanini nyinyi mna tabia kujikomba sana?

Wewe na Nape wote hamna Akili, Uwaziri ni nafasi ya kuteuliwa na anayekuteua halazimishwi kukuteua na vile vile anaweza kutengua nafasi yako muda wowote ule kwa jinsi anavyoona inafaa, sasa kinachowaliza ni kipi?

Kama umempenda sana huyo Nape na anakuuma kiivyo basi kamtambushe kwa Wazazi, ndugu na Jamaa zako!
 
Mimi nawaza tu.

Una baba, mtoto unaemtegemea au jitu somi kabisa lakini siku moja unafuatilia nyendo zake mitandaoni unakuta komenti kama "hahahahaha Mange we kiboko, Juma Pondamali Maharage, Bashiteee, utaisomaaa " kwanza jua huyo mtu ana element za ushoga au usagaji na tapu tapu hajielewi, umasikini mpaka takoni anahimili hela ya bando tu. Mtu yuko MTWARA au MOSHI huko na yeye halali kakomaa BASHITE, BASHITE , VYETI VYETI - Ninyi mbona vyeti vyenu hamviweki wazi mitandaoni mkaonesha mfano au WAULIZE WAZAZI WAKO na wao wakuoneshe VYETI VYAO Kwanza ndo uulize vya WANAMUME KUTOKA LAKE ZONE
Msifia mvua imemnyea :D:D:DUmeufafanua ushoga kwa namna dhahiri wewe ni muathirika :D:D
 
Acha vitisho vya kipuuzi.Mwambie aliyekutuma akae kimya,aache kutapatapa.UWAZIRI siyo haki,ni favour.Kama anaona uwaziri ni haki basi apeleke shauri CMA for unfair termination of UWAZIRI.
Kuna member mwenzetu humu JF aliandika uzi ambao uliegemea kwenye maudhui kuwa Nape Nnauye ana matatizo ya kisaikolojia kias cha kumpelekea mheshimiwa huyo kila mara kuonekana akikumbuka mambo mbali mbali hususan yanayohusiana na juhud zake ambazo amekuwa akizifanya katika kukipigania chama,hadi kilipomuingiza Juma Poor Manager madarakan hadi kwa yeye kuchukua nafasi ya uwaziri na baadae kuondolewa kwa hila kutokana na kumshikia bango Daudi Bashite katika suala la Uvamiz wa Clouds media group hali iliyopelekea taharuki na hasira kali kwa wananchi na Tasnia ya habari kwa ujumla.

Mimi nachoweza kusema ni kwamba Nape hana tatzo la kisaikolojia...

Kwa sisi wamakonde tunaweza kusema kwamba hana Ntimanyongo..ila kitu kinachomzonga akilini mwake ni kwamba kuna kosa gan ambalo amewahi kulifanya hapo awali dhidi ya Juma Poor Manager hadi afikie hatua ya kumtafutia sababu ya hovyo kabisa ya kumwondoa kwenye position ambayo yeye ameihudumu kwa weledi wa hali ya juu sana i.e ya uwazir wa habari mpaka hatua ya mwisho kabisa katika position hiyo?

Kwanza,ameihudumu ofisi hiyo katika hali ya utiifu sana kwa upande wa serikali hii naweza kutolea mfano kwa tukio la yeye nape hadi kufikia hatua ya kutukwaza sisi wananchi kwa kusimamia ajenda ya kuzuia bunge lisioneshwe live ili mradi tuh amfurahishe Juma Poor Manager hata kama akijua kwamba mamillion ya watanzania hawamuungi mkono.

Pili alisimama kidete kwa wahanga wa sakata la daudi bashite i.e wamiliki wa vyombo vya habari na kuhakikisha anaipigania haki yao na kuhakikisha pia image ya serikali na Rais wake asie msikivu inalindwa na kuweka hali ya hewa kuwa sawia..

Lakin pamoja na juhud zake hizo bado akaonekana ni mtu asiefaa na ambae anatakiwa kuondolewa mara moja ili hali daudi bashite ambae hakuwa na haki ya kubakia hata kwa sekunde moja kwenye nafasi aliyopo amee delea kuwepo tena kwa kusifiwa na yule yule aliemtengua yeye katika nafas ambayo kiukweli amefanya kadir ya uwezo wake woote kuthibitisha kuwa hakupewa nafas ile kama ahsante bali amedeserve na ameonesha viwango vilivyostahili...

Hali hii kibinadam yeyote yule lazima ingemsumbua kama inavyomsumbua nape na kumweka katika mabano kwamba kuna nin?kuna kipi ambacho amekikosea na amefichwa kuelezwa?

Maana kwa mantiki ya kawaida kwa alichokifanya hata yeye Juma Poor Manager moyoni mwake anajua fika kuwa ni sahihi na hata daudi bashite anafaham fika kuwa kama kuzingua basi kazingua na kupitiliza.

Lakin kwa vyovyote vile iwavyo..Daudi bashite achukuliwe hatua leo au hata aachwe hatakuwa na mwisho mzuri ndan ya utawala wake alionao hiv sasa pia hatakuwa na mwisho mzuri kwa jamii anayoiongoza vile vile.

Ametengeneza taharuki kwa viongoz wengine waliobakia kuanzia kwa makamu wa rais,waziri mkuu na hata mawazir wengine mfano tumeona hata mwakyembe akifyata mkia.

Pia ametengeneza taharuki kwa wamiliki wa vyombo vya habari ambao hivi sasa wao na yeye ni kama panya na paka katika mahusiano yao ya kila siku.

Nape Nnauye kikubwa yeye afaham kwamba kipo kilichomuondoa tuh ukiachilia mbali hili la daudi bashite

Kwa kuwa hili alilifanya nape kwa daudi bashite hata Juma Poor Manager anafaham kabisa kuwa yupo sahihi.

Muda Utaeleza wenyewe...Daudi Bashite hauna mwisho mzuri.
 
Nendeni Mahakamani basi ili wamrudishie Uwaziri!

I am real telling you.

We aint gona keep quite with this hata iweje.

Daudi Bashite hawez vamia kituo cha habar kwa mitutu ya bunduki then akaachwa hiv hiv eti kwa kuwa ana protection ya Juma Poor Manager...no one is above the law.

Daudi bashite hawez kuachwa anadunda na madaraka ya kulevya town hapa huku akila kiyoyoz cha jasho la kodi yetu huku wengine wakiondolewa kwa kufoji vyeti hivyo hivyo alivyofoji daudi bashite hilo hatutaliacha hivi hivi

Daudi bashite hata akijifanya kutafuta sympathy kwa kutumia mgongo wa madawa ya kulevya kwa sasa haitawezekanika tena

Hatuhitaj tena double standards katika hilo

Kaa ukijua na kama kakutuma umtetee nenda kamfikishie salaam
 
Back
Top Bottom