Nape Nnauye hana ugonjwa wa kisaikolojia, Daudi Bashite hana mwisho mzuri

Issue ya Clouds ni "aftermath"...
U bring me fire, I bring to u a hell....thus whasup..KILAZA MKUBWA

Akili za bashite ni kama hizo

Zero in brain huwez jua hata mantik ya unachokiandika

Sasa kama ishu ya kuvamia clouds ni baada ya kutokea hilo la vyeti so what?

Inatoa justification?bashite huna pa kuchomokea na haijalish nan anakupa kinga ya kuendelea kuwepo hapo ulipo

Ila huna pa kuchomokea
 
Stupidy.

Ni watu wajinga tuh ndiyo wanaweza ongea hivyo.

Tena wenye thinking capacity kama ya bashite mwenyewe.
haya bhana wewe ndio big thinking. lakini unahitaji darasa kuhusu maana ya uvamizi. naona wewe ni big head tu hamna kitu.
 
Wewe na Nape wote hamna Akili, Uwaziri ni nafasi ya kuteuliwa na anayekuteua halazimishwi kukuteua na vile vile anaweza kutengua nafasi yako muda wowote ule kwa jinsi anavyoona inafaa, sasa kinachowaliza ni kipi?

Kama umempenda sana huyo Nape na anakuuma kiivyo basi kamtambushe kwa Wazazi, ndugu na Jamaa zako!

Hivi kuna maana gani ya ku quote lithread lizima ili iweje kuonyesha unajua au? Hebu taja kinagaubaga makosa ya Nape ni nini hasa?
 
Back
Top Bottom