Nape Nnauye hana ugonjwa wa kisaikolojia, Daudi Bashite hana mwisho mzuri

Well said bashite hana mwisho mzuri, halafu Kwa nini cheti chake cha form four ni ishu yake ya kubadili jina Inakuwa kama taboo serikalini.
Hivi ni kweli Serikali imeamua kufumbia macho tuhuma hizi kubwa ambazo Serikali inaweza kabisa kuichunguza na kuitolea ufafanuzi.
Namna hii Serikali inajichafulia
Rais amesema anasubiri ripoti ya mabashite amesema yako zaidi ya 9000
 
Muda si mrefu itakuwa "vidumu vyama vya mapinduzi" tutagawana shuka,ccm hatuna utamaduni wa kubebeana bastola.
 
Nape aliteuliwa kuwa Waziri bila ya kuulizwa yoyote yule na ametenguliwa Uwaziri wake pia, sasa tatizo liko wapi hapo?
watu wanahoji ukakasi uliopo katka utenguzi wake na wanao hoji wote wanahaki kikatiba kabisa na nilazima wapewe majibu mujarabu
 
wtu wanahoji ukakasi uliopo katka utenguzi wake na wanao hoji wote wanahaki kikatiba kabisa na nilazima wapewe majibu mujarabu

Wapewe majibu na nani? Hakuna mahali kwenye Katiba yetu panapomtaka Raisi wa JMTZ atoe sababu za kuteua au kutengua nafasi ya Uwaziri, sasa hayo majibu mnataka nani ayatowe?
 
Its better katika hili mimi na mmakonde mwenzangu nape tusiwe na akili mara mia then wewe na msukuma mwenzako juma poor manager na hawara yako daudi bashite muwe na akili mara elfu moja.

Better iwe hivyo...mwenye akili hata siku moja hawez kuwa kwenye boat moja na kihiyo daudi bashite

Mwenye Akili siku zote hutumua muda na nguvu zake kwenye jambo ambalo liko ndani ya uwezo wake na kwamba ana uwezo wa kulibadilisha!
 
Wapewe majibu na nani? Hakuna mahali kwenye Katiba yetu panapomtaka Raisi wa JMTZ atoe sababu za kuteua au kutengua nafasi ya Uwaziri, sasa hayo majibu mnataka nani ayatowe?
kwakuwa mmejifunza kupindua pindua kila kitu hata katiba nayo mnataka kuipindua mtakavyo,kumbuka hiyo katiba ya 1977 mnayotumia kama ngao imempa madaraka haya raia kwakuwa ni haki yae kuhoji kwa watawala na kupewa majibu stahiki kwa mujibu wa sheria
 
Kama ni haki yake kuwa Waziri kwa nini hamuendi naye Mahakamani? Huko ndiyo haki inakotafutwa!
 
Kwani huyo poor Juma Manager atakwenda tena kuomba kura uraiani au kama North Korea tu? Atawaambia lugha gani wamakonde this time?
 
Wapewe majibu na nani? Hakuna mahali kwenye Katiba yetu panapomtaka Raisi wa JMTZ atoe sababu za kuteua au kutengua nafasi ya Uwaziri, sasa hayo majibu mnataka nani ayatowe?

Kwaiyo hata kama hakuna sehem kwenye katiba imesema hivyo ndivyo aaachwe tuh aweke machiz kwenye utawala na tuwalipe sisi kwa kodi za jasho letu kisa tuh ni wasukuma wenzake?

Kama ni hivyo alikuwa ana haja gan ya kuteua baraza la mawazir?

Kuna haja gan ya kufanya vetting?hivi wewe una umri gan kwanza?

Mbona akili yako ni ya kitoto sana?

Au unatetea sababu ni wasukuma wenzako nin
 
kuna wakati ukweli lazima usemwe whether you like it or not

Lkn inakusaidia nini kama hauna uwezo wa kubadilisha chochote? Hivi unafikiri Watu waliokaa kimya wao hawana cha kusema? Ni mjinga tuu ambaye huwekeza muda wake kwenye asiyo na uwezo wa kuyabadilisha, na wewe na Nape ni mmoja wa hao watu wajinga!
 
Kwaiyo hata kama hakuna sehem kwenye katiba imesema hivyo ndivyo aaachwe tuh aweke machiz kwenye utawala na tuwalipe sisi kwa kodi za jasho letu kisa tuh ni wasukuma wenzake?

Kama ni hivyo alikuwa ana haja gan ya kuteua baraza la mawazir?

Kuna haja gan ya kufanya vetting?hivi wewe una umri gan kwanza?

Mbona akili yako ni ya kitoto sana?

Au unatetea sababu ni wasukuma wenzako nin

Wewe na Nape wako ndiyo mna akili za kitoto, kwa maana mnapoteza muda kwenye mambo ambayo hamna uwezo wa kuyabadilisha!

Raisi wa JMTZ ndiyo keshamfukza Nape wako kazi, sasa amueni cha kufanya tuone, tumechoka na porojo kila siku!
 
Kuna member mwenzetu humu JF aliandika uzi ambao uliegemea kwenye maudhui kuwa Nape Nnauye ana matatizo ya kisaikolojia kias cha kumpelekea mheshimiwa huyo kila mara kuonekana akikumbuka mambo mbali mbali hususan yanayohusiana na juhud zake ambazo amekuwa akizifanya katika kukipigania chama,hadi kilipomuingiza Juma Poor Manager madarakan hadi kwa yeye kuchukua nafasi ya uwaziri na baadae kuondolewa kwa hila kutokana na kumshikia bango Daudi Bashite katika suala la Uvamiz wa Clouds media group hali iliyopelekea taharuki na hasira kali kwa wananchi na Tasnia ya habari kwa ujumla.

Mimi nachoweza kusema ni kwamba Nape hana tatzo la kisaikolojia...

Kwa sisi wamakonde tunaweza kusema kwamba hana Ntimanyongo..ila kitu kinachomzonga akilini mwake ni kwamba kuna kosa gan ambalo amewahi kulifanya hapo awali dhidi ya Juma Poor Manager hadi afikie hatua ya kumtafutia sababu ya hovyo kabisa ya kumwondoa kwenye position ambayo yeye ameihudumu kwa weledi wa hali ya juu sana i.e ya uwazir wa habari mpaka hatua ya mwisho kabisa katika position hiyo?

Kwanza,ameihudumu ofisi hiyo katika hali ya utiifu sana kwa upande wa serikali hii naweza kutolea mfano kwa tukio la yeye nape hadi kufikia hatua ya kutukwaza sisi wananchi kwa kusimamia ajenda ya kuzuia bunge lisioneshwe live ili mradi tuh amfurahishe Juma Poor Manager hata kama akijua kwamba mamillion ya watanzania hawamuungi mkono.

Pili alisimama kidete kwa wahanga wa sakata la daudi bashite i.e wamiliki wa vyombo vya habari na kuhakikisha anaipigania haki yao na kuhakikisha pia image ya serikali na Rais wake asie msikivu inalindwa na kuweka hali ya hewa kuwa sawia..

Lakin pamoja na juhud zake hizo bado akaonekana ni mtu asiefaa na ambae anatakiwa kuondolewa mara moja ili hali daudi bashite ambae hakuwa na haki ya kubakia hata kwa sekunde moja kwenye nafasi aliyopo amee delea kuwepo tena kwa kusifiwa na yule yule aliemtengua yeye katika nafas ambayo kiukweli amefanya kadir ya uwezo wake woote kuthibitisha kuwa hakupewa nafas ile kama ahsante bali amedeserve na ameonesha viwango vilivyostahili...

Hali hii kibinadam yeyote yule lazima ingemsumbua kama inavyomsumbua nape na kumweka katika mabano kwamba kuna nin?kuna kipi ambacho amekikosea na amefichwa kuelezwa?

Maana kwa mantiki ya kawaida kwa alichokifanya hata yeye Juma Poor Manager moyoni mwake anajua fika kuwa ni sahihi na hata daudi bashite anafaham fika kuwa kama kuzingua basi kazingua na kupitiliza.

Lakin kwa vyovyote vile iwavyo..Daudi bashite achukuliwe hatua leo au hata aachwe hatakuwa na mwisho mzuri ndan ya utawala wake alionao hiv sasa pia hatakuwa na mwisho mzuri kwa jamii anayoiongoza vile vile.

Ametengeneza taharuki kwa viongoz wengine waliobakia kuanzia kwa makamu wa rais,waziri mkuu na hata mawazir wengine mfano tumeona hata mwakyembe akifyata mkia.

Pia ametengeneza taharuki kwa wamiliki wa vyombo vya habari ambao hivi sasa wao na yeye ni kama panya na paka katika mahusiano yao ya kila siku.

Nape Nnauye kikubwa yeye afaham kwamba kipo kilichomuondoa tuh ukiachilia mbali hili la daudi bashite

Kwa kuwa hili alilifanya nape kwa daudi bashite hata Juma Poor Manager anafaham kabisa kuwa yupo sahihi.

Muda Utaeleza wenyewe...Daudi Bashite hauna mwisho mzuri.
Samahani MKUU ww ni mmakonde ati?
 
THE BIG SHOW Leo umetoka na point ya kueleweka sana,Hongera
 
Back
Top Bottom