THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,922
- 13,494
Kuna member mwenzetu humu JF aliandika uzi ambao uliegemea kwenye maudhui kuwa Nape Nnauye ana matatizo ya kisaikolojia kias cha kumpelekea mheshimiwa huyo kila mara kuonekana akikumbuka mambo mbali mbali hususan yanayohusiana na juhud zake ambazo amekuwa akizifanya katika kukipigania chama,hadi kilipomuingiza Juma Poor Manager madarakan hadi kwa yeye kuchukua nafasi ya uwaziri na baadae kuondolewa kwa hila kutokana na kumshikia bango Daudi Bashite katika suala la Uvamiz wa Clouds media group hali iliyopelekea taharuki na hasira kali kwa wananchi na Tasnia ya habari kwa ujumla.
Mimi nachoweza kusema ni kwamba Nape hana tatzo la kisaikolojia...
Kwa sisi wamakonde tunaweza kusema kwamba hana Ntimanyongo..ila kitu kinachomzonga akilini mwake ni kwamba kuna kosa gan ambalo amewahi kulifanya hapo awali dhidi ya Juma Poor Manager hadi afikie hatua ya kumtafutia sababu ya hovyo kabisa ya kumwondoa kwenye position ambayo yeye ameihudumu kwa weledi wa hali ya juu sana i.e ya uwazir wa habari mpaka hatua ya mwisho kabisa katika position hiyo?
Kwanza,ameihudumu ofisi hiyo katika hali ya utiifu sana kwa upande wa serikali hii naweza kutolea mfano kwa tukio la yeye nape hadi kufikia hatua ya kutukwaza sisi wananchi kwa kusimamia ajenda ya kuzuia bunge lisioneshwe live ili mradi tuh amfurahishe Juma Poor Manager hata kama akijua kwamba mamillion ya watanzania hawamuungi mkono.
Pili alisimama kidete kwa wahanga wa sakata la daudi bashite i.e wamiliki wa vyombo vya habari na kuhakikisha anaipigania haki yao na kuhakikisha pia image ya serikali na Rais wake asie msikivu inalindwa na kuweka hali ya hewa kuwa sawia..
Lakin pamoja na juhud zake hizo bado akaonekana ni mtu asiefaa na ambae anatakiwa kuondolewa mara moja ili hali daudi bashite ambae hakuwa na haki ya kubakia hata kwa sekunde moja kwenye nafasi aliyopo amee delea kuwepo tena kwa kusifiwa na yule yule aliemtengua yeye katika nafas ambayo kiukweli amefanya kadir ya uwezo wake woote kuthibitisha kuwa hakupewa nafas ile kama ahsante bali amedeserve na ameonesha viwango vilivyostahili...
Hali hii kibinadam yeyote yule lazima ingemsumbua kama inavyomsumbua nape na kumweka katika mabano kwamba kuna nin?kuna kipi ambacho amekikosea na amefichwa kuelezwa?
Maana kwa mantiki ya kawaida kwa alichokifanya hata yeye Juma Poor Manager moyoni mwake anajua fika kuwa ni sahihi na hata daudi bashite anafaham fika kuwa kama kuzingua basi kazingua na kupitiliza.
Lakin kwa vyovyote vile iwavyo..Daudi bashite achukuliwe hatua leo au hata aachwe hatakuwa na mwisho mzuri ndan ya utawala wake alionao hiv sasa pia hatakuwa na mwisho mzuri kwa jamii anayoiongoza vile vile.
Ametengeneza taharuki kwa viongoz wengine waliobakia kuanzia kwa makamu wa rais,waziri mkuu na hata mawazir wengine mfano tumeona hata mwakyembe akifyata mkia.
Pia ametengeneza taharuki kwa wamiliki wa vyombo vya habari ambao hivi sasa wao na yeye ni kama panya na paka katika mahusiano yao ya kila siku.
Nape Nnauye kikubwa yeye afaham kwamba kipo kilichomuondoa tuh ukiachilia mbali hili la daudi bashite
Kwa kuwa hili alilifanya nape kwa daudi bashite hata Juma Poor Manager anafaham kabisa kuwa yupo sahihi.
Muda Utaeleza wenyewe...Daudi Bashite hauna mwisho mzuri.