Nape Nnauye hana ugonjwa wa kisaikolojia, Daudi Bashite hana mwisho mzuri | Page 6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Nnauye hana ugonjwa wa kisaikolojia, Daudi Bashite hana mwisho mzuri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THE BIG SHOW, Apr 21, 2017.

 1. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,946
  Likes Received: 1,910
  Trophy Points: 280
  Kuna member mwenzetu humu JF aliandika uzi ambao uliegemea kwenye maudhui kuwa Nape Nnauye ana matatizo ya kisaikolojia kias cha kumpelekea mheshimiwa huyo kila mara kuonekana akikumbuka mambo mbali mbali hususan yanayohusiana na juhud zake ambazo amekuwa akizifanya katika kukipigania chama,hadi kilipomuingiza Juma Poor Manager madarakan hadi kwa yeye kuchukua nafasi ya uwaziri na baadae kuondolewa kwa hila kutokana na kumshikia bango Daudi Bashite katika suala la Uvamiz wa Clouds media group hali iliyopelekea taharuki na hasira kali kwa wananchi na Tasnia ya habari kwa ujumla.

  Mimi nachoweza kusema ni kwamba Nape hana tatzo la kisaikolojia...

  Kwa sisi wamakonde tunaweza kusema kwamba hana Ntimanyongo..ila kitu kinachomzonga akilini mwake ni kwamba kuna kosa gan ambalo amewahi kulifanya hapo awali dhidi ya Juma Poor Manager hadi afikie hatua ya kumtafutia sababu ya hovyo kabisa ya kumwondoa kwenye position ambayo yeye ameihudumu kwa weledi wa hali ya juu sana i.e ya uwazir wa habari mpaka hatua ya mwisho kabisa katika position hiyo?

  Kwanza,ameihudumu ofisi hiyo katika hali ya utiifu sana kwa upande wa serikali hii naweza kutolea mfano kwa tukio la yeye nape hadi kufikia hatua ya kutukwaza sisi wananchi kwa kusimamia ajenda ya kuzuia bunge lisioneshwe live ili mradi tuh amfurahishe Juma Poor Manager hata kama akijua kwamba mamillion ya watanzania hawamuungi mkono.

  Pili alisimama kidete kwa wahanga wa sakata la daudi bashite i.e wamiliki wa vyombo vya habari na kuhakikisha anaipigania haki yao na kuhakikisha pia image ya serikali na Rais wake asie msikivu inalindwa na kuweka hali ya hewa kuwa sawia..

  Lakin pamoja na juhud zake hizo bado akaonekana ni mtu asiefaa na ambae anatakiwa kuondolewa mara moja ili hali daudi bashite ambae hakuwa na haki ya kubakia hata kwa sekunde moja kwenye nafasi aliyopo amee delea kuwepo tena kwa kusifiwa na yule yule aliemtengua yeye katika nafas ambayo kiukweli amefanya kadir ya uwezo wake woote kuthibitisha kuwa hakupewa nafas ile kama ahsante bali amedeserve na ameonesha viwango vilivyostahili...

  Hali hii kibinadam yeyote yule lazima ingemsumbua kama inavyomsumbua nape na kumweka katika mabano kwamba kuna nin?kuna kipi ambacho amekikosea na amefichwa kuelezwa?

  Maana kwa mantiki ya kawaida kwa alichokifanya hata yeye Juma Poor Manager moyoni mwake anajua fika kuwa ni sahihi na hata daudi bashite anafaham fika kuwa kama kuzingua basi kazingua na kupitiliza.

  Lakin kwa vyovyote vile iwavyo..Daudi bashite achukuliwe hatua leo au hata aachwe hatakuwa na mwisho mzuri ndan ya utawala wake alionao hiv sasa pia hatakuwa na mwisho mzuri kwa jamii anayoiongoza vile vile.

  Ametengeneza taharuki kwa viongoz wengine waliobakia kuanzia kwa makamu wa rais,waziri mkuu na hata mawazir wengine mfano tumeona hata mwakyembe akifyata mkia.

  Pia ametengeneza taharuki kwa wamiliki wa vyombo vya habari ambao hivi sasa wao na yeye ni kama panya na paka katika mahusiano yao ya kila siku.

  Nape Nnauye kikubwa yeye afaham kwamba kipo kilichomuondoa tuh ukiachilia mbali hili la daudi bashite

  Kwa kuwa hili alilifanya nape kwa daudi bashite hata Juma Poor Manager anafaham kabisa kuwa yupo sahihi.

  Muda Utaeleza wenyewe...Daudi Bashite hauna mwisho mzuri.
   
 2. c

  chikundi JF-Expert Member

  #101
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,214
  Likes Received: 2,251
  Trophy Points: 280
  Hiyo inajulikana hakuna atakayefanya kazi fulani milele.
   
 3. c

  chikundi JF-Expert Member

  #102
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,214
  Likes Received: 2,251
  Trophy Points: 280
  Hata ajisikiaje anatakiwa avumilie tu kwani kupiga vijembe na kulalamika kumtarudisha madarakani? Sana sana anatuonyesha kwamba anaamini yeye ni waziri bora kuliko wote hivyo hastahili kuondolewa. Nimemshuhudia akijisifia kuwa yeye ni waziri wa wajanja wote nchini hiyo kauli inamtafuna wajanja wake wanamuuliza kulikoni.
   
 4. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #103
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 7,937
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Mkuu wanafuatilia maana wana ndugu zao ambao wametimuliwa maofisini owa kosa la vyeti feki so wanashangaa iweje ndugu zao wanaowategemea wanatimuliwa alafu bashite aachwe???? Kma uhakiki usingekuwepo watu wanaomzonga bashite maybe ungekuwa na hoja ya kupinga wao kufuatilia suala lake

  Ila kwakuwa magu alianzisha uhakiki then huna haja ya kulaumu watanzania kufuatilia cheti cha viongozi wao
   
 5. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #104
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 9,107
  Likes Received: 5,680
  Trophy Points: 280
  Hao ndugu zao waliweka vyeti vyao mitandaoni au walimwonesha mwajiri wao ?
  Huyo bashite yuko wapi ? Yuko wapi Makonda ? Hivyo vyeti vyake feki unavyo ?

  Akili nyingine uzuzu mtupu
   
 6. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #105
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 19,614
  Likes Received: 61,065
  Trophy Points: 280
  Kwani aliaga kuwa kaacha kutumia TBC1, haujui kuwa TBC imeboreshwa na inakuja juu kwa kasi?

  Kwani alikuwa na mkataba na clouds au?
   
 7. k

  kabombe JF-Expert Member

  #106
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 16,788
  Likes Received: 9,651
  Trophy Points: 280
  Acha ramli chonganishi na kashfa wewe.
  Yaani Makonda amtishe mama Samia au Majaliwa???!!!Uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana
   
 8. imhotep

  imhotep JF-Expert Member

  #107
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 7,548
  Likes Received: 5,478
  Trophy Points: 280
  Aaaa!!!!wapi!! Nyie munaojifanya wacha mungu ndo wanafiki wa kwanza,
   
 9. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #108
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 19,614
  Likes Received: 61,065
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa wapi miaka yote kumbambikia hilo jina lenu?

  Kiongozi shupavu, Mh. Paul Makonda

  Mnajua anapendwa na wananchi wengi nchini, lasoro wanaomuonea wivu na wavunja sheria.

  Makonda Oyeeeee
   
 10. Allency

  Allency JF-Expert Member

  #109
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 837
  Trophy Points: 280
  Kula like, leo uko vizuri mpaka umejua kumbe ni majina anayotumia ila si yake, uko vizuri kada, naagiza kesho upewe buku 7++
  Sipangiwi mimi
   
 11. imhotep

  imhotep JF-Expert Member

  #110
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 7,548
  Likes Received: 5,478
  Trophy Points: 280
  "House of cards"bila sisi wana ccm imara.
   
 12. M

  Msororo69 JF-Expert Member

  #111
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 27, 2016
  Messages: 2,146
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Mcha Mungu mnafiki!!! Tena tumefunzwa kuandika jina la Mungu kwa Kuanza na herufi kubwa. Wewe kwa kudhihirisha ni zao la shetani umejiandikia tu bila hofu. Amakweli waliokulea wamelitia hasara taifa hili kwa kuaccha kiumbe kisichokuwa na hofu ya Mungu na kuwa mithili ya mnyama pori anawaza shari tu.
   
 13. M

  Mlanga JF-Expert Member

  #112
  Apr 21, 2017
  Joined: Jun 7, 2014
  Messages: 1,025
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Mkuu hapo umesema neno.
  Sheria ni msumeno
   
 14. C

  CHAZA JF-Expert Member

  #113
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 6,752
  Likes Received: 2,231
  Trophy Points: 280
  Kwa Muislam,ukiona mambo mabaya kemea,chukia na ukiweza chukua hatua. So nadhan nadharia ya kukemea hata kama hawana uwezo nayo ndo wanachofanya at least conveyance of message!
   
 15. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #114
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 7,937
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Issue ni kwamba walitimuliwa kwa vyeti feki na makonda beyond reasonable doubt hana vyeti wwe tetea tu ila ukweli ndio huo its just a matter of time........ ila kma hana madoa kwenye vyeti mbona nape mwigulu na mnyika walijitokeza kujibu tuhuma za kufoji vyeti????? Why yeye anajificha jificha na anajua ukweli ni kuwa hana vyeti si atoe statement yaishe??? Na kma hana vyeti why magu hamtumbui wakati kuna watanzania kibao hta hao 9,000 watatolewa kwa issue ya vyeti huyo makonda ni nani hasa nchi hii??*
   
 16. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #115
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,946
  Likes Received: 1,910
  Trophy Points: 280
  Thank you.

  Well Said
   
 17. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #116
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 9,107
  Likes Received: 5,680
  Trophy Points: 280
  Kanywe mbege mangi ukalale
   
 18. kmbwembwe

  kmbwembwe JF-Expert Member

  #117
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,434
  Likes Received: 1,402
  Trophy Points: 280
  the big show pale ushahidi hakuna. ujue clouds wenyewe wamesema jamaa alikua rafiki yao na anakuja saa zozote wanamkaribisha. ile clip hakuna chochote kuonyesha ni uvamizi. wale walinzi tumeshaambiwa ni wakumlinda jamaa amepewa na ofisi ya rais kwa hofu ya wauza ngada. inaelekea clouds walimsaliti huyo unamuita bashite.
   
 19. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #118
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,946
  Likes Received: 1,910
  Trophy Points: 280
  You dont know me man

  You dont know me.

  Dont you act like you know

  Sikuwahi kuwa mshabiki wa lowasa up to this very moment...

  Lakin kwa madudu ya Juma Poor Manager its better lowasa angekuwa na managerial skills za kueleweka kuliko huyu.

  After all mbona unaonekana kama umerukwa na akili?

  Kama una akili timamu wewe utawezaje kumshangilia bashite?

  Umekuwa Jackline wolper au?
   
 20. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #119
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,946
  Likes Received: 1,910
  Trophy Points: 280
  Mbona unaongea pumba?

  Aoneshe tuh vyetiii

  Kwani uchi hivyo vyeti hadi afikie hatua ya kuficha ficha.

  Au wewe ukitaka yeye suala la kuvamia clouds media liachwe hivi hivi.?
   
 21. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #120
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,946
  Likes Received: 1,910
  Trophy Points: 280
  Stupidy.

  Ni watu wajinga tuh ndiyo wanaweza ongea hivyo.

  Tena wenye thinking capacity kama ya bashite mwenyewe.
   
Loading...