Nape Nnauye hana ugonjwa wa kisaikolojia, Daudi Bashite hana mwisho mzuri

Wewe na Nape wote hamna Akili, Uwaziri ni nafasi ya kuteuliwa na anayekuteua halazimishwi kukuteua na vile vile anaweza kutengua nafasi yako muda wowote ule kwa jinsi anavyoona inafaa, sasa kinachowaliza ni kipi?

Kama umempenda sana huyo Nape na anakuuma kiivyo basi kamtambushe kwa Wazazi, ndugu na Jamaa zako!
Wewe ndio sifuri kabisa huna akili ni sawa na nguchiro
 
Cheti cha daudi bashite kina nin hadi kiwe gumzo kias hicho?

Suala la uvamiz wa clouds media ule ushahid wa camera za cctv hautoshelez kwa mwakyembe kuchua hatua?
Mkuu , Mwaky ameacha utaaluma sasa ni mwanasiasa kama mwingine.

Ukisikia anajibu maswali utajiuliza ana elimu ya kiwango gani.

Mwaky hawezi kabisa kusimama katika ukweli, in short amepoteza credibility kwa society na ni mmoja wa wanaozungumza hakuna anayesikiliza

Kuhusu vyeti, inashangaza hakuna anayejitokeza kusema si kweli, au ukweli ni huu

Ukimya una ukweli,hakuna aliye tayari kucheza na Daud, au ajuaye kina cha madaraka

Hakuna ajuaye nani anafuata baada ya Nzee. Je ni mama? mwana wa Nyangao au Daud wa Bethlehem? Hakuna aliyetayari kujaribu kuchelea gharama kubwa

Kumfukuza Napp ni kupeleka ujumbe kwa watakao kucheza na Daud mwana wa mfalme. Kwamba kauli ya David ni kubwa kuliko wanavyodhani, wasicheze na Daud

Kuhusu Nappy, kinachomuumiza kwa uhalisia si kwanini ameondolewa.
Kinachomuumiza ni jitihada za kulinda heshima ya serikali alizofanya akahukumiwa nazo

Kisaikolojia pia ni kweli. Nappy alisimama kidete akijitoa mhanga kwa bao la mkono kuhakikisha Josiah Mwangi anakalia kiti. Wakati anavunja viwiko, David hakuwa na habari

Leo Dauda anabofoa , wanaojaribu kutengeneza wanaadhibiwa, kwa gharama za Daud. Real!

Suala kubwa hapa si Nappy anafikiri nini, bali kuna uhusiano gani mzito kati ya David wa Bethlehem na kiti cha enzi? Kuna kitu gani nyuma ya hili?
 
Wewe na Nape wote hamna Akili, Uwaziri ni nafasi ya kuteuliwa na anayekuteua halazimishwi kukuteua na vile vile anaweza kutengua nafasi yako muda wowote ule kwa jinsi anavyoona inafaa, sasa kinachowaliza ni kipi?

Kama umempenda sana huyo Nape na anakuuma kiivyo basi kamtambushe kwa Wazazi, ndugu na Jamaa zako!
Tunasubiri sakata la vyeti
 
RC Makonda kesho asubuhi saa 2 tbc1

Huyo uliyemtaja hatumjui sisi tunamjua Kiongozi jembe kwa majina yake anayotumia.
 
Kwani mpaka umwambie HANA AKILI?
Hebu PUNGUZA UFEDHULI
 
Mkuu Nguruvi3.

Habari za siku nyingi.

Wallahi nimeisoma hii post yako kwa mawani mujarabu ya kiwango cha high definition nimepata burdan ya moyo sana.

Hususan hapo kwenye matumiz yako ya lugha ya picha na sanaa ya viwakilsh

Kwa kweli hili swali lina ukakasi mkubwa sana

Kuna nin hapa baina ya Juma Poor Manager na Daudi Bashite?

Na hiko cheti cha daudi bashite kisichoooneshwa kina nin hasaa?
Mkuu , Mwakyembe ameacha utaaluma sasa ni mwanasiasa kama mwingine.

Ukisikia anajibu maswali utajiuliza ana elimu ya kiwango gani.

Mwakyembe hawezi kabisa kusimama katika ukweli, in short hana credibility kwa society na ni mmoja wa watu wanaozungumza hakuna anayesikiliza tena

Kuhusu vyeti, inashangaza hakuna anayejitokeza kusema si kweli, au ukweli ni huu
Baraza la mitihani kimya, waziri kimya , wahakiki wa kila nyaraka kimya, David kimya

Ukimya una ukweli,hakuna aliye tayari kucheza na Daud, au ajuaye kina cha madaraka

Hakuna ajuaye nani anafuata baada ya Nzee. Je ni mama? au mwana wa Nyangao au Daud wa Bethlehem? Hakuna aliyetayari kujaribu kuchelea gharama kubwa

Kumfukuza MwanaNauye ni kupeleka ujumbe kwa watakao kucheza na Daud mwana wa mfalme. Kwamba kauli ya David ni kubwa kuliko wanavyodhani, wasicheze na Daud

Kuhusu MwanaNnauye, kinachomuumiza kwa uhalisia si kwanini ameondolewa.
Kinachomuumiza ni jitihada za kulinda heshima ya serikali alizofanya akahukumiwa nazo

Kisaikolojia pia ni kweli. MwanaNnauye alisimama kidete akijitoa mhanga hata kutamaka bao la mkono kuhakikisha Josiah Mwangi anakalia kiti cha enzi.
Wakati anavunja viwiko kuimarisha chama, David hakuwa na habari

Leo Dauda anabofoa , wanaojaribu kutengeneza na waliohangaika kutengeneza wanaadhibiwa, kwa gharama za Daud. Real!

Suala kubwa hapa si MwanaNauye anafikiri nini, bali kuna uhusiano gani mzito kati ya David wa Bethlehem na Josiah Petro Mwangi? Kuna kitu gani nyuma ya hili?
 
RC Makonda kesho asubuhi saa 2 tbc1

Huyo uliyemtaja hatumjui sisi tunamjua Kiongozi jembe kwa majina yake anayotumia.

Huyo Makonda unamjua wewe mwenye mume..!

Sisi tunamjua daudi albert bashite wa kolomije.

Hata kama ni chungu na inauma vumilien tuh...

Kama.angeona tabu si angesoma?ya nin kwenda kuiba cheti cha mtu na kusonga nacho kwa fojali?
 
Nape aliteuliwa kuwa Waziri bila ya kuulizwa yoyote yule na ametenguliwa Uwaziri wake pia, sasa tatizo liko wapi hapo?
Mkuu serikali nzr ni ile inayojali Ushauri na kuwa na weledi wa hali ya juu.. Ili kupata kuungwa mkono na wananchi ambao ndo waliokupigia kura na kukufikisha hapo ulipo! In short hao ndo waajiri wako.. Hivyo mahusiano Kati ya mwajiri na mwajiriwa yanatakiwa kuwa mazuri hasa mwajiriwa kufuata matakwa ya mwajiri... Unapoleta Kiburi na kukurupuka katika maamuzi yako italeta picha mbaya kwa mwajiri wako! Suala la Nape na Bashite kwa mtu yeyote mwenye weledi asingemchomoa Nape akamwacha Bashite.. Hata ungekuwa wewe mkuu.. Tuwe wakweli tu katika hili! Mkulu kachemsha tena sana tu!
 
Back
Top Bottom