Nape Nnauye anatafakari kuhamia CHADEMA any time | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Nnauye anatafakari kuhamia CHADEMA any time

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by msambaru, Apr 23, 2012.

 1. m

  msambaru JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Habari kutoka watu wa karibu na MC shupavu wa ccm aka nape mkuu wa wilaya, anajuta kuwasema vibaya Makamanda wa CDM ili hali anataka kuhamia CDM, Hali hio imekuja wakati akionekana kukosa pozi la kuzima kasi ya M4C kila kona nchini. Ushauri wangu Bora debe la kokoto kuliko huu mzigo wa samadi.
   
 2. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hivi operesheni sangara iliishiaga wapi mana naona sasa hizi mna album mpya m4c sokoni
   
 3. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  Ivi JF siku hizi kuna nini?
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  siasa ni mbinu! na mbinu zinabadilika kulingana na adui unayepambana naye, operation sangara ilikuwa ku introduce chama kwa wananchi, matokeo si umeona idadi ya wabunge walioongezeka bungeni ukiachilia mbali uchakakchuaji pia si unajua bila usalama wa taifa, na tume ya uchaguzi cdm ilikuwa inaingia ikulu? sasaa hii M4C ni kuamsha awareness ya wananchi, kuwaomyesha matatizo ya magamnba na kuwaandaa kwa 2015! si unaona cdm ilishakomba Arumeru mashariki? si unaona watu wanavomiminika kujiunga na jeshi la ukombozi??
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Kuna waliokosa credit za kuendelea na high school ndio wanatusumbuwa humu, halafu kile kitufe cha share Facebook ndio kiini cha tatizo hili.
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hii tetesi au nini?
   
 7. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  wabunge 48 kati ya .... kweli si haba lakini
   
 8. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chadema ni kitivo cha fikra pevu! Hatudumishi fikra za mwenyekiti wa chama kama ccm! M4C imezaliwa arusha kama azimio la arusha!
   
 9. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Moto ni moto tu hata uubadirishe jina lakini bado utaendelea kuchoma
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,612
  Trophy Points: 280
  Mode, this is not fair kwa jf!, angalau iwekee question mark na alama ya kushangaa ili ionekane wazi ni swali na uzushi!.
  Kuiacha ilivyo, inaonekana ni definite kitu ambacho sii kweli!.

  Ninavyoamini mimi, waganga njaa wa CCM walioko kwenye ulaji, hawawezi kuhamia CDM kwa sababu huko watakufa njaa!.
   
 11. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  *****.....
   
 12. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
   
 13. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kinachonifurahisha ni kwamba, wewe ni mshabiki na mpezni wa Albam zetu... Still wait soon as itaingia Bongo na kopi utaipata.. Rejao , Nape pia wanayo unaweza azima ukaisikia....
   
 14. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,659
  Trophy Points: 280
  Huna kazi mpaka unaanza kuota asubuhi namna hii, ondoa upuuzi huu!
   
 15. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Kwakuwa akihamia CDM kibarua chake kitakuwa kimeota nyasi, asipate shaka, tutampa kazi ya kufua magwanda ya makamanda, mshahara nitamlipa mimi
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  wewe mwenye kazi mbona umekoment? Ungekaa kimya tujue una kazi
   
 17. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  vp maisha bora kwa kila mtanzania ilishia wapi hadi mkaanza mmethubutu, mmeweza na mnasonga mbele
   
 18. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
   
 19. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Pasco! Dah
   
 20. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mbumbumbu kama huyu hawezi kuja chadema, maana atakosa cha kufanya. Mwacheni Nepi aizike ccm yake kwanza
   
Loading...