Asango
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 234
- 25
itabidi tuongee na admstr abadilishe mfumo wa kujiunga na jf.maana tumeingiliwa,m2 anajisikia kupost anachojisikia hakina mashiko dah! Tunapoteza ladha ya jf,sasa inabidi wa2 wajiunge kwa kuattach cv na kuscan veti vyao itapunguza mambumbumbu humu.mwingime juz kaibuka tu sita ajivua gamba kwnz atuombe radhi kwa kutuongopea.tutofautishe jf na fcbuk.