Nape ana PhD bwashee kaipatia India.nape ni kiongozi maslahi asie jitambua,Magu akiwabeba na kuwagalagaza kama anaenyanyua vitoto vya paka,miccm haina elimu zaidi ya vyeti feki sasa hata wakiwekewa bastola za kichwa wataitikia hewala bana.maana wana vyeti feki.
😂Ndio maana amejisalimisha kwa Kherry.......hahahaaaa!
Bwashee mnakaribishwa CCM!ni jambo jema kutoa ushauri, ila kweli maisha yanakwenda kwa kasi sana huyu huyu Nape mzee wa kuonyeshwa bastola leo anaongea kwa uhuru hivi !!
swali zuri mno, tuwaulize hao waliosema kwamba kufikia 2020 CDM itakuwa ishafutika kwenye ulingo wa siasa za Tanzania.Hivi Chadema bado ipo ?
Imebaki kiwiliwili tu!swali zuri mno, tuwaulize hao waliosema kwamba kufikia 2020 CDM itakuwa ishafutika kwenye ulingo wa siasa za Tanzania.
Ccm ni wakala wa shetani!Vyama vyote vina unafiki!
sasa mbona mnaweweseka weweseka na hicho kiwiliwili bwa shee!! wakati hakiwezi hata kuongea.Imebaki kiwiliwili tu!
Nape anahangaika sana kujisafisha siku hizi!!
Hawezi kuj7funza kwa waiba kura itakuwa wendawazimuMbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.
Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.
Kazi Iendelee
Kwanini sio CUF na ACT, Kujenga ni ngumu sana na inachukua muda mrefu sana ila kubomoa ni rahisi sanaMbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.
Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.
Kazi Iendelee
Wakajifunze kulindwa na dola?Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.
Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.
Kazi Iendelee
CCM kumejaa mashetanijohnthebaptist
Yaani huyu huyu Khery James aliyetoa hotuba ya chuki kubwa nyuma, kuwa watawapiga sindano ya sumu Chadema, ili wawamalize, ndiyo kweli huyo Nape, anasema kuwa Bavicha ndiyo waende kuiga siasa zao kwake??
Ama kweli siasa za unafiki hazitaisha huko CCM!