Nape Nnauye ampongeza Kheri James na UVCCM, awataka watani wao (Chadema) wakajifunze siasa CCM

Mean watani wakaifunze kuteka,matusi,kudhalilisha wapinzani Nape haupo seriously
 
nape ni kiongozi maslahi asie jitambua,Magu akiwabeba na kuwagalagaza kama anaenyanyua vitoto vya paka,miccm haina elimu zaidi ya vyeti feki sasa hata wakiwekewa bastola za kichwa wataitikia hewala bana.maana wana vyeti feki.
 
Nape ana PhD bwashee kaipatia India.

Dr Nape Nnauye!
 
ni jambo jema kutoa ushauri, ila kweli maisha yanakwenda kwa kasi sana huyu huyu Nape mzee wa kuonyeshwa bastola leo anaongea kwa uhuru hivi !!
 
Alisikika akisema "Jamaa Mshamba sana"

Akijibu kauli ya mwenzie aliyesema "Rais wa Mali Mali huko"

CCM kwa unafiki mnahitaji tuzo ya Oscar
 
Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.

Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.

Kazi Iendelee
Hawezi kuj7funza kwa waiba kura itakuwa wendawazimu
 
Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.

Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.

Kazi Iendelee
Kwanini sio CUF na ACT, Kujenga ni ngumu sana na inachukua muda mrefu sana ila kubomoa ni rahisi sana
 
Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.

Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.

Kazi Iendelee
Wakajifunze kulindwa na dola?
 
Back
Top Bottom