Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,473
- 19,268
ule mbona umekuwa sawasawa na ulivyo uwanja wa ndege wa mobutu. watu walisema sana hili wakati wa ujenzi. sasahivi ni ndege gani itaacha kutua au kupeleka wasafiri Mwanza ambao ni jiji la biashara, ikaenda kupeleka abiria chato? tuwe wakweli.Uwanja wa ndege wa Chato atuambie upo kwenye ilani ipi?
nashauri kwasababu pale ni karibu na majirani, tuweke tu uwe uwanja wa Jeshi, tuwakabidhi jeshi kabla haujaota majani. jeshi watautumia vizuri na itakuwa strategic sana pale kwao kutumia kuruka kwenda kokote iwe uganda, rwanda, burundi au dr congo. kwani tangu iwe vile, ni ndege gani nyingine imendoka pale? zaidi ya hizi chache za Mr. Rais anapotembelea kule? za abiria hakuna na hazitakuja ziende. na burugi national park ndio inaenda kufa hivyo. huwezi kulazimisha nature.