Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Nape ni mwanzilishi wa CCJ

kama unaweza kuishi ukweni
unakula na kulala bure, hujui kulipa kodii ya nyumba, gari na vinginevyo ni mali ya mke unafikiri kinachofuata ni ni zidi ya KUITWA PAPAA aka
mzaire. mnalalama bure. hela ndo imeshaliwa.
 
Hivi unadhani watu wote wana akili kama yako. Shame on you! Hivi wewe unajua kuliko Mpendazoe au Kiyabo. Mbona walipokuwa wanazungumzia hiyo CCJ hili hawakulizungumzia? Unafikiri kama Mpendazoe alikwenda mbele kuzungumzia waasisi na kuwataja, hili angeliachaje wakati lilikuwa na maana kuliko hata hayo majina ya waasisi. Hebu tuache tupumue na kufanya mambo ya msingi na wewe tafuta njia nyingine ya kulipa madeni yako ya kutumika!
Vipi Mbopo umeshapumua kaza makalio kazi mliitaka wenyewe kesho makamanda wanaingia kwa wanyalukolo hakuna kulala hadi kieleweke, CDM ni hatari imewachezesha mchakamchaka hadi mnaomba half time ifike mapema.
 
Nashukuru kwa heshima mkuu Feedback, na mimi pia nakuheshimu sana...Kama mimi ninadanganya basi wewe mwenye data prove kile unachokiamini...Nway, kinachofanya chama kishinde ni strategy na c pesa...Mfano mzuri ni uchaguzi uliopita, kuna chama kilitumia 1.3Billion na kikashinda japo ushind wake ulichakachuliwa..Na kuna kingine kilitumia zaid ya 50billion hakikushinda na ikabidi kiibe ushindi...Narudia tena, kama unaona nimedanganya basi toa ushahidi wa kile unachokifahamu ndugu yangu...Kwa nini tubishane kama watoto wadogo? Ulisema umeambia juu ya tuhuma za watu kudai mali za CCJ, nimekuambia hatukuwa na mali zaid ya Sh hizo laki moja na samani za ofisi tulizokuwa tumeazimwa...haijaisha hiyo ukaingiza ya CCJ kudai usajili baada ya uchaguzi, nikakuambia hilo haliwezekani kisheria, sasa unasema mimi mwongo basi naomba wewe useme ukweli maana inaonekana unaijua CCJ zaid yangu...Hapo hapo tena unazungumzia CCJ kuingia katika uchaguzi kwa laki moja! Labda ninawezakuwa nina matatizo na ninaomba nisaidiwe na kama ninasema uongo basi mwenye ukweli aseme......Na labda niseme sihitaji kuthibitisha kitu ambako sijakisema hebu angalia kwenye bold nyekundu...Me cjasema kuwa tulikuwa tunaenda kwa uchaguzi na kiasi hiko cha pesa...Ila nimezungumzia mali za CCJ.....

Bwana Ng'hily sidhani kama itakuwa sahihi kukuita muongo labda niseme husemi ukweli kwenye suala zima la CCJ. Si kuzote nimekuwa nikihoji huu utitiri wa vyama vya siasa kama vipo kwa ajili ya kumkomboa mtanzania ama ni utafutaji wa ruzuku. Vipo vyama baada ya kufanikiwa kupata mbunge mmoja tu huvisikii tena zaidi ya kusubiri ruzuku. Ni uhakika kabisa CCJ mlikuwa kwenye njia hiyo hiyo nafsi yako mwenyewe inakusuta. Labda nikuulize kitu kidogo sera za CCJ zilikuwa na mapungufu gani ambayo umeona sera ya Chadema inakidhi haja ya kumkomboa mtanzania? Je wewe ukiwa kama mwasisi wa CCJ kwanini hukupigania usajili hadi dk ya mwisho? Ama lengo lilikuwa kushiriki uchaguzi tu naamini kama mngekuwa na nia ya kweli leo hii CCJ kingekuwa chama kamili. Chama ni wanachama na si pesa. Je katika malumbano hayo ya CCJ nani mkweli? wewe binafsi, Mpendazoe ama Kiyabo?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Aliyekua Mwenyekiti na Mwanzilishi wa Chama Cha Jamii-CCJ Bwana Kiyabo amemshangaa Fred Mpendazoe kwa kile alichokiita ni Mwendelezo wa Siasa za Udaku anazoleta Mpendazoe na Chadema. Kiyabo alisema si kweli kwamba Nape,Mwakyembe na Sitta ni Waanzilishi wa CCJ! Kwa upande wa alie kuu Katibu wa CCJ amedai anavielelezo vya waanzilishi wa CCJ. Wadau wengi wa Siasa wanasema Mpendazoe anatumiwa na RA,EL na Chenge katika kuwapaka matope Mahasimu wao wa kisiasa ambao ni Nape,Sitta na Mwakyembe! Lakini pia Chadema inapoteza mwelekeo wa Kupambana na Ufisadi kwani wamejikuta ni watetezi wa Watuhumiwa wa Ufisadi ndani ya CCM na pia wengine wameona ni ujanja wa Chadema kujibu mapigo hasa baada ya CCM kumuanika Dr Slaa na kile kinacho onekana ni Mwanasiasa Popo kwani alipinga kiasi anacholipwa akiwa Bungeni lakina amelazimishwa kulipwa na Chadema!

My take: CCJ ilisha kufa sidhani kama ni hoja ya wanasiasa kupoteza muda na kuacha mambo ya msingi yanayohitaji kujenga Taifa!
 
Mpendazoe anatapatapa baada ya kupoteza marupurupu yake ya ubunge wa miaka mitano baada ya kukurupuka na kuikimbia CCM na kuhamia CCJ ambayo ilikuwa haijasajiliwa.

Mbaya zaidi, aligombea Segerea kwa tiketi ya ChaDeMa akaangukia pua. kwa sasa anatafuta wa kufa naye kisiasa
 
njaa mbaya - unaweza mkana hata mzazi wako.
 
Maskini Kiyabo naye kageuzwa Mrema.Wameshau-disable ubongo wake.
Ila kama hili tatizo hakuwa nalo siku nyingi wanaweza kumuwahisha Mirembe atapona.
Namuombea apone upesi.
 
kyabo ni mtu aliyekufa kisiasa...ndio maana tangia uchaguzi nimemsikia leo, ni kama toilet paper anatumika kama pitio la hoja
 
Mpendazoe anatapatapa baada ya kupoteza marupurupu yake ya ubunge wa miaka mitano baada ya kukurupuka na kuikimbia CCM na kuhamia CCJ ambayo ilikuwa haijasajiliwa.

Mbaya zaidi, aligombea Segerea kwa tiketi ya ChaDeMa akaangukia pua. kwa sasa anatafuta wa kufa naye kisiasa

Mzee hapo ofisini kwa mkuu wa Mkoa Tanga umeahidwa Cheo maana naona umeamua kujilipua mzima mzima .Ushabiki mwingine kwa mgtu aliyesoma kama wewe hauna maana ila ukisema nawe unataka ujulikane na upate Cheo sawa .Mpendazoe yuko imara na kesi iko mahakamani na atashinda kama huamini ngojea uone .Lakini Kiyabo kesha lambishwa kama wewe unavyo fanya bidii tokea Tanga ulambishwe na wewe .
 
bwana ng'hily sidhani kama itakuwa sahihi kukuita muongo labda niseme husemi ukweli kwenye suala zima la ccj. Si kuzote nimekuwa nikihoji huu utitiri wa vyama vya siasa kama vipo kwa ajili ya kumkomboa mtanzania ama ni utafutaji wa ruzuku. Vipo vyama baada ya kufanikiwa kupata mbunge mmoja tu huvisikii tena zaidi ya kusubiri ruzuku. Ni uhakika kabisa ccj mlikuwa kwenye njia hiyo hiyo nafsi yako mwenyewe inakusuta. Labda nikuulize kitu kidogo sera za ccj zilikuwa na mapungufu gani ambayo umeona sera ya chadema inakidhi haja ya kumkomboa mtanzania? Je wewe ukiwa kama mwasisi wa ccj kwanini hukupigania usajili hadi dk ya mwisho? Ama lengo lilikuwa kushiriki uchaguzi tu naamini kama mngekuwa na nia ya kweli leo hii ccj kingekuwa chama kamili. Chama ni wanachama na si pesa. Je katika malumbano hayo ya ccj nani mkweli? Wewe binafsi, mpendazoe ama kiyabo?

Chama
gongo la mboto dsm


Hata Kunyamaza Nalo ni Nibu....
 
Lunyungu kweli unaweza ukasimama mbele ya watu makini na ukasema Mpendazoe ni Imara? Kaka tafadhali usidhalilishe uweledi wako katika hili. Mpendazoe alitakiwa kuyasema haya mara tu alipohamia CHADEMA ni si leo. Wote tunajua Mafisadi wanaotemwa CCM ndiyo wanaomtumia ili kupunguza kasi ya Kupambana na Mafisadi. Hivi leo Mpendazoe anatuletea habari za Sitta,Mwakyembe, Mwambalasa na Nape mara tu Nape baada ya kumpa live Slaa? Acha kutuchezea akili tunawajua wote na wewe utadhalilika soon kwa kuwatetea hao mafisadi indirectly
 
Lunyungu kweli unaweza ukasimama mbele ya watu makini na ukasema Mpendazoe ni Imara? Kaka tafadhali usidhalilishe uweledi wako katika hili. Mpendazoe alitakiwa kuyasema haya mara tu alipohamia CHADEMA ni si leo. Wote tunajua Mafisadi wanaotemwa CCM ndiyo wanaomtumia ili kupunguza kasi ya Kupambana na Mafisadi. Hivi leo Mpendazoe anatuletea habari za Sitta,Mwakyembe, Mwambalasa na Nape mara tu Nape baada ya kumpa live Slaa? Acha kutuchezea akili tunawajua wote na wewe utadhalilika soon kwa kuwatetea hao mafisadi indirectly
Duh, njaa kweli mbaya ! Eti nani hao wanapambana na Mafisadi - Nape ? au Kikwete ? Loo, au unamaanisha Chama Cha Mafisadi kinapambana na mafisadi, ebo ! wacha utani.
 
That sucker now got a chance to freshen his stinking, skewed, mom fu.... buttoned lips
 
Ndg Nape,
Kwa heshima na taadhima, ya hekima yangu niliyobarikiwa na Mungu, naomba leo niseme na wewe.
Nitasema na wewe kwa njia ninayoiita kunong'ona na wewe kwenye kona ya nuruni, ambayo sio ya siri kama ilivyo minong'ono mingine.

Kwanza kabisa nakupongeza kwa kuzaliwa katika viuno vya Mzee Moses Mnauye, Mungu Amlaze Pema(M.A.P), pili nikupongeze kwa uwezo wako mkubwa wa kutoa sauti inayoweza kusikika vizuri kupitia kisema mbali (microphone),hivyo sauti yako hunukuliwa maneno yako yote kama ulivyotamka, na hatutegemei siku moja useme ulinukuliwa vibaya.
Baada ya pongezi hizo, naomba nikutupie japo nasaha, ambazo hata hivyo sio lazima sana ukubali kuzifuata, ingawa zitaweza kukusaidia sana endapo utazitumia.
Mwaka 1993 nikiwa darasa la nne, nilifundishwa wimbo mzuri sana na mwalimu wangu wa sanaa, pale shule ya msingi Burunga, wimbo huu niliushika mpaka sasa ninapoandika hapa naendelea kuimba moyoni mwangu.
Wimbo unaimbwa hivi..."Tazama ramani...utaona nchi nzuri..yenye Mito na mabonde mengi ya nafaka.." kwa wale waliobahatika kufundishwa wimbo huu huko nyuma, watakubaliana nami kuwa wimbo huu ulikuwa na mvuto na kutufanya tutamani kuyaona yale amabyo mwimbaji aliyasifia.
Baada ya kukua na kupata elimu ya uelewa, nilijitahidi kutafuta nyimbo za kizalendo na hotuba za viongozi wa zamani wa taifa letu.
Nilitembelea maktaba ya Taifa, jijini da es salaam, nikabahatika kupata mahitaji yangu baadhi sio yote, lakini nilifarijika sana nilipoupata wimbo huu katika santuri na kaseti, nikanunua ile kaseti yenye wimbo huu, ambayo hadi sasa nausikiliza ninapoandika ujumbe huu kwako Bwana Nape.
Kumbe ni Mzee Moses Mnauye(M.A.P) baba yako mzazi, ndiye mtunzi na mwimbaji wa wimbo huu?!!!
Nilianza kutafuta chochote cha maana alichonufaika mzee huyu kwa utunzi wa wimbo wenye heshima na staha kwa nchi yetu.
Hata hivyo sikupata jibu lolote, na nikadhamiria kuandika Barua kwa waziri wa utamaduni ili lifanyike tukio la kumkumbuka mzee Mnauye, lakini juhudi zangu ziligonga mwamba baada ya kukutana na katibu wa wizara husika aliyeniambia kuwa, yupommtoto wake tena ni mwanasiasa, nijaribu kuonana nae ili yeye apokee wazo langu na kulifanyia kazi, ilikuwa 2004 licha kupewa namaba yako sikujaribu kukutafuta kabisa, kwani nilijua utalifanya ni suala la ki-ccm na sio la kitaifa.
Baada ya miaka miwili nilianza kukusikia Nape ukiwa katika harakati za kugombea wenyekiti wa UVCCM, ambao hata hivyo hukuwa na sifa sitahiki za kugombea na ukaondolewa mapema kabisa.
Hapo nikaanza kufuatalia nyendo zako kisiasa, ili nijue kama una ufanano wowote na mzee Mnauye,lakini nilikata tamaa nilipogundua kuwa huna hekima za kutosha katika maamuzi yako, hasa nilipokusikia ukijitokeza hadharani na kuanza kurusha maneno ya kejeli kwa viongozi wako wakuu wa chama.
Sina maana kwamba usiwakemee mafisadi katika ccm, ila niligundua kuwa ile sio haiba/ uhalisi wako,ila uliamua kufanya vile baada ya kuchakachuliwa katika uchaguzi ule, ambao wewe ulilenga kuwa kiongozi wa vijana.
Tabia hiyo ndiyo iliyomtisha mwenyekiti wako wa chama,kikwete, baada ya wewe kukosa nafasi ya kuwa mgombea pale ubungo 2010, na ikahisiwa kuwa kwa hulka yako ya kupenda utawala kuliko chama, ungeweza kushiriki katika upande mwingine wa chama cha siasa ili tu fanikishe kumwangusha yule aliyekuangusha katika kura za maoni.
Hivyo kwa hali hiyo jk aliamua kukuficha kusini mwa tanzani, akakutupia ukuu wa wilaya ili usihatarishe chama.
Kwa hili unatakiwa umshukuru jk, kwani baada ya mgombea wako ccm ubungo kushindwa vibaya, wewe ndiye ungeitwa suspect No.1, bila shaka ungewekewa vikwazo na kamati yenu ya maadili ya kuwa umemsaidia mgombea wa chadema kupata ushindi.
Nape, hukujua/ulijua sababu ya wewe kutupiwa ukuu wa wilaya, ila bado haikukusaidia kuchambua mbichi na mbivu, baada ya chama chako kubuni mbinu hewa ya kuwa kinajivua gamba, jk akaona tena wewe ndiye mtu muafaka, utaketumika kuwapiga wabaya wake, akakutupia nafasi hiyo uliyonayo ya uenezi, kwani alijua wewe bado una kinyongo kwa waliokuchakachua wakati UVCCM, na alijua kabisa utafanya kazi atakayokuapa bila koma wala nukta.
Kweli kijana mwenye sauti ya juu sana, inayosikika ukajitokeza na kuanza kuwachapa hadharani, na kweli kipigo cha mabua wamekipta, na ndio sababu nilisema kuwa sauti yako hatutarajii useme ulinukuliwa vibaya.
Kwa vita hiyo uliyotumwa kuipigana, imekumaliza na kukufanya uwe maarufu kwa kutoa kauli zinazoonyesha unafiki na uongo wako, hata yote uliyokuwa ukiyasema yote yamechujwa na kugundulika sio maneno yako, bali ni ya kupikiwa na kunyeshwa na kambi zenu za magamba.

Nape, umefika muda uone haya kuropoka hovyo, muda wa kuchunga domo lako, muda wa kukubali kuwa wewe sio zaidi ya mafisadi wenzako, ukubali kuwa huyo anayekuma ukadanganye wananchi atakuacha peke yako na utakapomhitaji. hutamwona, utamwita hataitka.
Na yale uliyotumwa uahidi kwa watanzania na kuwashawishi vijana wetu wakabidhi kadi feki za chadema, watanzania wataanza kukuhoji na utayalipa wewe peke yako.
Nape, umaarufu unatafuta utakupoteza, zigo ulilobebeshwa ni zaidi ya kg zako, pole kwa mijasho na ulemavu wa kudumu unaokunyemelea, kwa nerves zako kuuwawa na uzito wa zigo hilo.

Nakuomba sana, unisikilize japo sio jadi yako kuwasikilza wale usio waafiki, naomba uachane na kazi ngumu isiyo size yako, itakupoteza, itakuadhili na hutasikilizwa hata kwa ukweli utakaojaribu kuuleta baadae.
MIMI, nina uwezo mkubwa wa kukuandikia nyombo nyingi na nzuri utakazoweza kuimba na kuiweka nyota ya mzee Mnauye hewani tena,kwani hata kama hujui kuimba, mimi naweza kukupa somo na utaimba vizuri sana, nazingati kanuni za uimbaji, kwa mtu uliyezaliwa na mwanamuziki, ni lazima utafundishika na utaimba, hapo nitapata picha ya kurejea ile roho ya Mnauye.
EPUKA HILI ZIGO SIO LAKO NAPE, ACHA USHABIKI, ACHA UNAFIKI NA VISASI, HAUNA UPAMBANAJI WA KWELI NAPE..UNAAMBUKIZWA UNAFIKI NA VISASI WEWE UNACHEKELEA TU, HUJUI BADO UNA SAFARI NDEFU EE!!!?
Ila sasa nape nakuomba uonyeshe uhalisi wa vita unayotangaza kuwa unawavua magamba, hapa naomba ujitokeze na utangaze kujiuzuru nafasi hiyo(zigo) kama siku 90 zitapita bila hao mliowakusudia kuondoka ccm.
Vinginevyo....."Mawe ni mepesi mikononi, ila ni mazito yatakapotua usoni"

Aepukae mauti kwa kuogopa kulala ndani, hufia njiani na kuliwa na Tai- Nyakarungu
 
halow!!!!! mbona umemvua nguo hivyo? muwekee japo vimistari ajue basi, ila hayo mawe yako sio kabisa kila poat mawe tu?!
 
Back
Top Bottom