Madai yaliyotolewa na kada wa CDM Fredrick Mpendazoea kwamba Samwel Sita,Mwakyembe,Porokwa, Nape Nauye na Victor Mwambalasa walishiri kuanzisha CCJ ,yamezidi kuwaumiza vichwa viongozi wa CCM kiasi cha kutetemeka
Kilichowafanya viongozi hao kutetemeka sio madai hayo ambayo wahusika walishatolea ufafanuzi,bali hatua ya kada wa CCM naye kuthibitisha kwamba yaliyonenwa na MPendazoea kuhusu Samwel Sita na Mwakyembe na Nape na wengineyo kwamba walihusika kuasisi CCJ ni sahii
Kiongozi wa kwanza kuzungumza na ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM bara Capt John Chilagati ambaye alionekana kuhofia sakata hilo ,Chilagati amesema kwa mujibu wa umri wake na cheo chake ndani ya CCM Suala hilo ni kubwa mno amesema kwamba hana ubavu wa kuhoji wala kuhojiwa juu ya sakata hilo ambalo hivi sasa linavuma kila pembe ya Nchi" Jamani mimi yote nimeyasikia ,lakini mimi chilagati nasema hii isue ya sita,mwakyembe na Mkuu wa ya mawasiliano Nape Nauyo ndio waasisi wa CCJ,kwa kweli yamenizidi umri hayo mimi siyawezi labda wakubwa zangu"",alisema chilagati
Naye Bosi wa Chilagati Katibu mkuu wa CCM Bw Wilson Mukama amekwepa kulizungumzia jambo hilo,huku akidai ni hivi majuzi tu alikuwa kweny msiba wa mama yake mdogo ,hivyo akataka wana CCM wasimuongezee majonzi
Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa Mzee Msekwa ameonekana kuogopeshwa na suala hilo hivyo kama ilivyo kwa wenzake naye akahofu kulitolea ufafanuzi,Msekwa amesema kutokana na sakata hili na mtindo uliotumika kutoa madai hayo ,yeye hausiki na wala hataki kabisa kulumbana na Samwel Sita kwani anamfahamu ni mtu wa visasi na fitina
FloridaUnajua unapotoa habari kama hii na unapotaja majina ya watu ni vizuri pia ukamalizia chanzo cha habari yenyewe ,kwa mfano hayo maneno ya Msekwa si yataongeza libeneke la ugomvi kati yao

Huyu Mukama alipokubali kuwa Katibu mkuu wa CCM hakujua kuwa anaingi kwenye msiba mkubwa?
Ben, ni kweli kabisa sina uwezo wa kujibu wala kuchangia jf wenye akili wanalijua hilo
Lingekuwa ni jambo la ajabu sana kwa mzee Sitta na busara zake ajihusishe na watu kama nyinyi, huna la kujibu nilishasema awali nafsi yako inakusuta, jifunzeni kusema ukweli hata kama unauma; tafuteni njia nyingine halali kujitafutia riziki, msitumie siasa kuganga njaa ni HATARI kwa jamii yetu.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Ndg yangu..Niukweli gani mwingine unaoutaka zaid ya nilousema..Ndo maana na mimi nikasema kuwa labda wewe unajua zaid, kwa nini usiseme unachujua!Na ni bahati mbaya sana kuwa huyajui maisha yangu...Kaka mimi nina taaluma yangu na ninaishi kwa hiyo na sio siasa...Katika CDM mimi ni mwanachama wa kawaida tu na katika CCJ, tulikuwa tunafanya kazi on a voluntary basis...Sasa ungekuwa kweli unajua masha yangu ndo ungezungumza kama ulivyozungumza hapo kwa red...Niliamua kutoyajibu maswali yako coz hayajikiti katika hoja ya msingi ila yanalengo la kudhalilishana sasa mimi siasa za kudhalilishana siziwezi...Ndo kama ulivyosema hapo kwa red.Kaka me siishi kwa siasa, nina kazi yangu halali inanyoniingizia kipato kaka na wala sijawahi kuja kwako kukuomba msaada kaka....Wewe ndo nafsi yako inakusuta coz unataka kuupindisha ukweli kwa kuuliza mwaswali ya kudandia...Kwa nini tusizungumzie hoja moja mpaka ikaisha!
Mh. Ng'hily samahani sama kama nakudhalilisha, ila ninachotaka uelewe unapotoa hoja unamwachia msomaji aichambue kwa kina zaidi na hii ndio maana halisi ya forum. Tuchukue fursa hii kuijadili hadi tuimalize:
1. Kwanza kabisas naomba ufute usemi ETI ULIKUWA UNAJITOLEA narudia sitaki kukuita muongo ila nasema husemi ukweli. Volunteer anajitolea kufanya kazi kwa mapenzi yake halipwi na wala hatarajii malipo/ wala ahadi ya namna yoyote ile. Kwa upande wako yalikuwapo matarajio jisute mwenyewe.
2. Wewe Chadema si mwanachama wa kawaida AVATAR yako inatosheleza kukujibu, wewe ni mwanasiasa kamili na tutakujadili kama ambavyo tunamjadili NAPE. Usiwe muoga kudhalilishwa ama kutukanwa huko ndio kukomaa kisiasa.
3. Ni kweli una kazi na unapata kipato halali je hilo pekee linakufanya usitumie mianya ya siasa usigange njaa? Unataka kunieleza katika kujitolea kwako CCJ hukupata chochote wala ahadi yoyote ile.; JISUTE mwenyewe wewe siyo messiah ni binadamu kama mimi na wote tanakiri mbele ya mungu wote tu dhaifu. Nitafutie mwanasiasa yeyote yule ambaye alikuwa hana shughuli inayoeleweka.
4. Turudi kwenye hoja ya msingi narudia kusema wewe, Kyabo na Kamanda wenu mpendazoe hamsemi ukweli; kauli zenu zinalinda maslahi yenu binafsi. Vitu viwili vya msingi ambavyo vinaleta mashaka ni TIMING na REASONABLE DOUBT. Kwa nini tangu awali msije na kauli za kuwahusisha kina Sitta, Nape na Mwakyembe? Kiliwazuia nini ukiitilia maanani kilikuwa ni kipindi cha kampeni na mngekuwa na nafasi nzuri sana ya kuimaliza CCM kisiasa. Nani aliziba midomo yenu? DOUBT nyingi zinajitokeza sasa hivi kwa hizi huyu kasema huyu hakusema inaeleweka ni kawaida ya mwanasiasa kujisaliti mwenyewe ili mradi tu achaguliwe. Kwa mantiki hiyo mnatumika kwa maslahi binafsi, sikushangaa kusikia kauli za Mpendazoe, Kyabo wala zako huu ndio wakati wa mavuno kwani Chadema na CCM vipo kwenye malumbano ya maneno.
Namalizia kwa kusema sina sababu hata moja ya kupindisha ukweli, kauli zenu ndizo zinazopindisha ukweli, sijui mnayafanya hayo kwa manufaa binafsi ama ya Taifa, mungu pekee ndiye anayejua.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Hivi mkuu wangu siku hizi umepotelea wapi??Nape ana kazi ya ziada!! Inabidi atafutiwe washauri, asiachwe aendelee hivi!!