Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Nape ni mwanzilishi wa CCJ

slaa hana jibu kwa Nape, ndio maana wapambe wake wanaingilia kati! Nape uzi huohuo!
 
Mkuu unathibitishaje kuwa Nape amejibu hoja?
Kwani hapa kuna ID mbili zinazoonesha kuwa Nape anajibu; ya kwanza ni Nnauye Jr na nyingine ni Albano. Tuamini ipi sasa maana zote zimetoa majibu.
Mimi nimechagua kuamini Nape Jr kwa sababu ndio ninayo ijua. Lakini majibu hayo ndio nilioyasikia jana kwenye VOA
 
Slaa atajibu nini wakati hana majibu..anatumika na Lowassa...ngoja tuone hizo mil 200 walizopewa kuwasafisha zitawafikisha wapi..lol
 
Slaa atajibu nini wakati hana majibu..anatumika na Lowassa...ngoja tuone hizo mil 200 walizopewa kuwasafisha zitawafikisha wapi..lol

mawazo ya Abbottabad haya....!
 
Kiyabo hana hadhi ya kujadiliwa hapa JF, naomba hii thread ifungwe. yule ni mchumia tumbo tu na sio mwanasiasa.
 
Ni lazima ajibu lasivyo inaonekana kafanya Ufisadi na atoe sababu kwa nini apinge mshahara kama huo Bungeni na baadae anapokea Kiasi hicho hicho baada ya kuacha Ubunge! Amejichanganya Dr Slaa ni mhimu kujibu!

NI KWA SABABU ANA FAMILIA NA INAHITAJI KULA KM BINADAMU WENGINE!BILA SHAKA ATAKUJIBU HIVYO!

DR SLAA AKIPINGA,HANA MAANA YEYE ASIPOKEE.....BUNGE LINA WABUNGE 300 NA USHEHE.....SURPOSE BADALA YA KULIPWA MILLION 7 NA USHEHE,WAPOKEE MILION 5.TUTAPATA SALIO LA M 2 KWA KILA MBUNGE KWA KILA MWEZI. 2X300...NI SAWA NA M600. kWA HESABU YA HARAKA M600 UNAWEZA KUJENGA ZAHANATI 3 ZA SIZE YA KAWAIDA.KWA HALI KM HII INAMAANA HIYO ZIADA INAWEZA KUJENGA ZAHANATI 36 KWA MWAKA.MKUU HII SI HABA.LAKINI DR SLAA PEKE YAKE AKIPUNGUZA KIASI HICHO KWENYE MSHAHARA WAKE HAKITATUPELEKA KOKOTE! BORA NAYE ALE NA KIDOGO ATASAIDIA WANANCHI WAKE.
 
Ni lazima ajibu lasivyo inaonekana kafanya Ufisadi na atoe sababu kwa nini apinge mshahara kama huo Bungeni na baadae anapokea Kiasi hicho hicho baada ya kuacha Ubunge! Amejichanganya Dr Slaa ni mhimu kujibu!

ukibishana na juha we ndo unakua juha zaidi.. chama kilishajibu hayo madai ya kipuuzi nasi wananchi tukasema kwamba Dr Slaa anastahili zaidi ya hiyo hela anayolipwa na chadema.. wajipange waje vingine na ingekua vizuri kama wangeanza kushughulikia kmatatizo ya wananchi
 
Dr Slaa,tunakufahamu ni mtu makini na mwenye upeo mkubwa,ni mpiganaji na mpenda nchi na watu wake.Anacholalamikia huyu mpumbavu wa ccm kimeshatolewa maelezo siku nyingi.Naomba niungane na Wana-JF wengine kukushauri kwamba usibishane na hili kapi la ccm siyo saizi yako hata kidogo,saizi yako ni bosi wake JK na Mukama, period.Kuendelea kujibishana na Nepi ni sawa na kufukuza kichaa aliyechukuwa nguo zako mtoni wakati unaoga,nani ataonekana kichaa?Achana naye huyu kijana aendelee kubwabwaja akilinda ugali wake.Laana ya Makamba inamtafuna.

Lingine ninalokuomba Mh.Slaa mwambie ndugu yetu Mpendazoe,tunampenda na tunamuhitaji sana ila aachane na siasa za kuwataja kwa majina wale waliotaka kuihama ccm.Kufanya hivyo ni kuharibu kwani wapo wengi tu wanaovuta muda ambao ni wazuri na wapiganaji wanaotaka kuja kwetu lakin kwa mtindo huu wa kuanikana hadharani haufai kisiasa.Endeleeni kuanika maovu ya ccm kwa wananchi wajuwe vile wana-magamba wanatupeleka siko.Endeleeni kuelimisha Watanzania kwa kuwapa sera nzuri za CHADEMA na wajuwe haki zao kimsingi ili mwisho wa siku wote kwa pamoja tule chakula tukiwa tumekaa mezani.

Ninawatakia upiganaji mwema na Mungu awabariki.
 
Dr Slaa,tunakufahamu ni mtu makini na mwenye upeo mkubwa,ni mpiganaji na mpenda nchi na watu wake.Anacholalamikia huyu mpumbavu wa ccm kimeshatolewa maelezo siku nyingi.Naomba niungane na Wana-JF wengine kukushauri kwamba usibishane na hili kapi la ccm siyo saizi yako hata kidogo,saizi yako ni bosi wake JK na Mukama, period.Kuendelea kujibishana na Nepi ni sawa na kufukuza kichaa aliyechukuwa nguo zako mtoni wakati unaoga,nani ataonekana kichaa?Achana naye huyu kijana aendelee kubwabwaja akilinda ugali wake.Laana ya Makamba inamtafuna.

Lingine ninalokuomba Mh.Slaa mwambie ndugu yetu Mpendazoe,tunampenda na tunamuhitaji sana ila aachane na siasa za kuwataja kwa majina wale waliotaka kuihama ccm.Kufanya hivyo ni kuharibu kwani wapo wengi tu wanaovuta muda ambao ni wazuri na wapiganaji wanaotaka kuja kwetu lakin kwa mtindo huu wa kuanikana hadharani haufai kisiasa.Endeleeni kuanika maovu ya ccm kwa wananchi wajuwe vile wana-magamba wanatupeleka siko.Endeleeni kuelimisha Watanzania kwa kuwapa sera nzuri za CHADEMA na wajuwe haki zao kimsingi ili mwisho wa siku wote kwa pamoja tule chakula tukiwa tumekaa mezani.

Ninawatakia upiganaji mwema na Mungu awabariki.

Very general statement? mnfahamu wewe na nani?

Mimi namfahamu kama mtu asiye makini kiasi hata ya kutojua kuwa anatembea na mke wa mtu, kiasi hata cha kutojua kuwa anasema uongo...

Ni mropoka, jazba na hana elimu ya maana zaidi ya kanuni za kanisa
 
Baada ya siri ya waanzilishi wa CCJ kuwekwa wazi na Mpendazoe siku chache zilizopita imefahamika wazi kuwa Nape ndiye aliyepewa jukumu la kukusanya misaada na michango ya chama kutoka sehemu mbali mbali za ndani na nje ya nchi likiwemo jukumu la kutafuta pango la chama. Inasemekana baada ya msajili wa vyama kukinyima usajili chama hicho waanzilishi wake walisambaratika bila kufikia mwafaka wa nini kifanyike baada ya hapo ikiwa ni pamoja na mgawanyo wa mali zilizopatikana. Nape alikuwa na baadhi ya mali hizo na inasemekana(nimedokezwa) kuwa mali hizo hajazikabidhi kwa wahusika kwa hofu ya kufahamika lakini habari zingine zinasema baadhi ya wenye mali na waliochanga wanajipanga kuzidai hadharani endapo mwafaka hautafikiwa mapema. Kama tuhuma hizi ni za kweli itakapokuja fahamika wazi wazi Nape atazidi kukipaka matope chama cha mapinduzi na yeye kutoaminika tena machoni mwa jamii na wana CCM wenyewe.
 
Very general statement? mnfahamu wewe na nani?

Mimi namfahamu kama mtu asiye makini kiasi hata ya kutojua kuwa anatembea na mke wa mtu, kiasi hata cha kutojua kuwa anasema uongo...

Ni mropoka, jazba na hana elimu ya maana zaidi ya kanuni za kanisa
Character assassination! hoja za msingi zimeisha yamebaki matusi. Kazeni mwendo maana ukivuliwa nguo usichumamae ila mfukuze aliyekuvua nguo. Big up
 

Ndugu yangu Kisoda2....Binafsi,siumizwi wala sikereheki kwa hatua ya Mh. Kiyabo kumsifia Mh. Nape pamoja Mh. mjomba wangu Mukama...Ninasema hivyo kwa sababu namfahamu Mh. Kiyabo kwa kiasi chake wakati huo akiwa mwenyekiti wangu kule CCJ na baadaye tukaondoka wote kwenda CDM. Na ukweli siwezi kumsahau...Namkumbuka kwa ushauri wake kwetu (Mpendazo and I) juu ya koundoka CDM na kujiunga na NRA kama nitakuwa sijakikosea...Ambapo yeye alichukua fomu kama mgombea urais na baadaye kushindwa kutimiza mashart yaliyokuwa yanatakiwa hasa upande wa kupata wadhamini....

Mimi namuombea mema huko aliko (CCM) ili afanikishe ndoto yake,mwanzoni alisema Mh. Makamba alimwahidi ukatibu wa CCM wilaya moja, baadaye akasema ameahidiwa ubunge wa kuteuliwa na rais, nway...kwa kuwa bado rais hajamaliza nafasi zake za uteuzi, hivyo namuombea Kiyabo kwamba akumbukwe...Sasa kama sifa alizozitoa zilikuwa ni honest, mimi sina tatizo naye. Ila kama alizitoa ili apate hicho anachokitafuta (Cheo/Nafasi) basi sidhani kama atakuwa anafanya jambo jema...Hebu nafsi yake ndo imuhukumu maana ninavyomujua, huyu ni mlokole safi na aliwahi kuwa mtumishi wa Mungu enzi hizo (labda awe amebadilika sasa).

Kukiponda CDM, pia ni haki yake alimradi (sijui kama nimelitamka sawa sawa) havunji sheria, lakini pia kumponda Mpendazoe, ni haki yake kama ilivyo kwa CDM kwani hizo ndo siasa za maji taka zisizojikita katika kujenga hoja na kuhakikisha zinasaidia kuboresha maisha ya wananchi. Hata hivyo, tukirudi kwenye ubinadamu, sidhani kama Mh. Kiyabo atakuwa amefanya jambo la kiungwana...Mh. Kiyabo na Mh. Mpendazoe, ni wana ndugu...na isitoshe ni mengi ambayo Mh. Mpendazoe amemfanyia Mh. Kiyabo, me nakumbuka tuliiendesha CCJ katika hali ngumu sana (Kifedha) na ni Mpendazoe aliyekuwa anatoa pesa yake mfukoni na kumsaidia Kiyabo...Kiyabo alikuwa anakaa Mbagala ndani kabisa...sijui kama bado yuko huko au ameama,ni mpendazoe ambaye wakati mwingine alikuwa anampeleka mpaka kwake ili mwenyekiti wetu asidhurike.

WanaJF....Nyote nimashahidi, kilichofanya Mpendazoe asitangazwe mshindi, ni dhuruma za wazi na wizi wa wazi na uchakachuaji wa wazi, ni nani asiyejua kuwa Mh. Mahanga alikuwa na masanduku ya kura kwenye gari yake na kukamtwa mpaka kituo cha polisi Buguruni! Mpaka sasa, kuna kata kama sikosei ni nne au sita, matokeo yake hayajawekwa wazi kwa maana nyingine ni kusema matokeo yake hayajatangazwa. Na ndo maana Mpendazoe kafungua sahuri Mahakama Kuu kupinga ushindi wa Mh. Mahanga. Kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za uchaguzi. Sasa basi, kama Mh. Kiyabo anajisifu kuwa alihusika katika kumfanya Mh. Mahanga akashinda, basi anatakiwa kuiacha siasa na kurejea katika shughuli zake za zamani za uuzaji wa dawa au arejee katika utumishi kanisani kwani naona kama siasa haiwezi.

Hivi jamani, nikweli Mh. Kiyabo anaweza kumshinda kwa hoja Mh. Mpendazoe? Hebu hukumuni kwa haki hapa. Mtu ambaye alishindwa kudeliver speech wakati wa uzinduzi wa CCJ pale Mwananyamala yet speech yenyewe ilikuwa imeandikwa! Mtu ambaye alishindwa kupata wadhamini wakat anataka kugombea uras! Mtu ambaye alishindwa kwenda kugombea ubunge kama alivyokuwa ameutangazia umma! Ushauri wangu kwa Mh. Kiyabo ni kwamba, kama ameamua kufanya siasa basi na afanye siasa safi. Na siku zote napinga na nitaendelea kupinga kauli hii...'SIASA NI MCHEZO MCHAFU'...Ukweli binafsi naiona siasa ni safi ila tatizo tunawatu wachafu walioingia katika siasa na hivyo kuichafua..Sasa ni wakati wa kuisafisha na hivyo kujenga mustakabari mzuri kwa Taifa letu...Tuepuke

Mh. Kiyabo, fanya siasa safi ndugu yangu na kama unawasifia viongozi wako na CCM...fanya hivyo kwa roho safi na kwa kusukumwa na mapenzi mema kwa chama chako na kwa viongozi wako...Mungu akubariki na akufanikishe katika yote...Amen.

ni kati ya mara chache mno nimekutana na posti za mtu wa chama kimojawapo akitoa mawazo yaliyotulia na kwa busara....!
FOR THIS....BIG UP
 
Wadau nimekifumania kipi cha mahojiano ya moja kwa moja(live) kati ya Richard Kiyabo na radio Uhuru muda mfupi uliopita (yapata saa 0830am leo).
Bwana Kiyabo ametoa sifa nyingi sana kwa Nape, na katibu mkuu wa CCM kuwa hawa sasa ndio mwiba kwa CDM.
Amemsifia Nape kuwa simpenda madaraka, ndio maana alikubali kwenda Mtwara as mkuu wa wilaya bila kinyongo,sijamwelewa hapa!!!

na pia amemkandia Mpendazoe kuwa hana sifa ya uongozi na pia hajui siasa hata kama yeye(Kiyabo) akipambanishwa na Mpendazoe leo na kesho uchaguzi, basi Kiyabo ataibuka mshindi.
amejisifia kuwa kushinda Mahanga kule Segerera kwamba ni yeye ndiye aliibeba ile kampeni kwani anamjua vyema Mpendazoe.
Natumai atakuwa ameongea mengi kwani kipindi nimekikuta mwisho mwisho.

Wadau tuwekeni sawa bwan Kiyabo anatka kutuaminisha nini juu ya hawa aliowasemea?[/QUOTE


Kwenye bold nyekundu....Hivi Mh. Kiyabo na Mh. Mpendazoe, ni nani hana uwezo wa uongozi na ni nani hajui siasa...Mara zote tunaseama viongozi hawazaliwi ila wanafanywa..wanatengenezwa...Unaweza ukazaliwa na kipawa but ili uwe kiongi bora na si bora kiongozi, unafanywa...Sasa kwa kufanywa kuwa kiongozi, Mpendazoe historia yake ya kazi katika nafasi za juu pamoja na elimu yake ya masterz inamhukumu...na vile vile Kiyabo na historia yake ya uongozi na elimu yake ya diploma katika uongozi wa kanisa kama sikosei nayo inamhukumu....Na kama Kiyabo alikuwa anauwezo wa kuongoza, mbona CCJ alikuwa haonyeshi uwezo huo tulipokuwa CCJ na kama anaijua siasa kiasi hiko kwa nini hakuonyesha uwezo huo tulipo kuwa CCJ...Hapa nina mashaka na uwezo wake anaojivunia na ninamashaka na ujuzi wake wa siasa anaojivunia...

NA HII POST PIA NATOA ZANGU PONGEZI.....unadhihirisha u-great thinker
 
Hivi unadhani watu wote wana akili kama yako. Shame on you! Hivi wewe unajua kuliko Mpendazoe au Kiyabo. Mbona walipokuwa wanazungumzia hiyo CCJ hili hawakulizungumzia? Unafikiri kama Mpendazoe alikwenda mbele kuzungumzia waasisi na kuwataja, hili angeliachaje wakati lilikuwa na maana kuliko hata hayo majina ya waasisi. Hebu tuache tupumue na kufanya mambo ya msingi na wewe tafuta njia nyingine ya kulipa madeni yako ya kutumika!
 
Mbona unakuwa mbogo bwana mbopo?tulia mwelewe mwenzetu
 
Nyani Ngabu, hivi kweli leo wataka nitaje upya au sijaelewa swali lako? Si nyie ndo mnasema mapacha watatu na wanafahamika?

Hivi kweli dogo una mbavu za kupambana na heavy weight RA&EL? Haya tutaona kama hayakubaki majivu hapo Lumumba.
 
Back
Top Bottom