Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Mkuu naomba unijuze tu kama ni kweli Nape nae alikuwa CCJ ili tummalize kabisa kabisa vuvuzela lake.
Nimeshindwa kuielwa hiyo figure kwenye red, weka koma katika mpangilio tuelewe ni shingapi!
mkuu naomba unijuze tu kama ni kweli nape nae alikuwa ccj ili tummalize kabisa kabisa vuvuzela lake.
Hapo kwa kibuluu bahari mkuu,ni 1,000,000 au 100,000?
Hapo kwa redi, naomba fafanua kidogo tafadhali. Otherwise, taarifa nzuri sana,inakidhi kiu japo inaanzisha kiu nyingine lol! SHALOM!
samahani sana anko sam...ni laki moja (100,000/=)...ilikuwa ni typing error, samahani kwa usumbufu ndugu yangu
Nakuheshimu mkuu lakini kwa hili unatudanganya ndiyo maana nakasema aidha hukuwa na access ya pesa zote au unataka kuficha jambo tafadhali kuwa open kwa vile umejipambanua kwanye chama cha uwazi CDM, ni kweli wewe kama mtunza fedha wa CCJ mlikuwa mmejiandaa kwenye uchaguzi na shilingi laki moja tu hata kipofu sidhani kama atakubaliana nawe.Shalom Shalom....Ndugu yangu Mshindo, nimekosea kuandika hizo figure na nimezibadilisha. Ni laki moja...Hili la pili, ni kwamba ilisemekana sisijei ilikuwa nasapot toka wa wahisani na mimi nilikuwa najaribu kuonyesha kuwa wahisani tuliokuwa nao hawakuwahi kutupatia pesa mkononi zaid ya kutuambia watasaidia CCJ isajiliwe...Baada ya kumuuliza Tendwa kuwa kwa nini hataki kuhakiki wanachama wa CCJ yeye akasema hana fedha na ninafikiri hili lilisemwa pia kwa vyombo vya habari..Baada ya Tendwa kutoa kilio hicho cha kukosa fedha, nchi wahisani wakaamua kutoa fungu la kufanikisha zoezi hilo...Kwa mujibu wa Tendwa, alizunguka na maofisa wake Dar,Pwani na Zanzibar. Na pesa aliyopewa ilikuwa ni ya kuzunguka nchi nzima sasa baada ya yeye (Tendwa kukosa ushirikiano na CCJ), akaamua kutulia na pesa zilizobaki akazitumia kufungua matawi ya ofisi zake kwa baadhi ya mikoa kwani alikuwa na ofisi moja au mbili kama nitakuwa sijakosea...Kaka sijui kama nimekidhi kiu yako...
Kuu tunashukuru sana kwa uwepo wako hapa kwani maswai yote yanayohusu ccj umeweza kuyajibu direct bila hata ya chenga moja wala cheche, tuko pamoja mkuu na tunakuombea kuwa mwaka 2015 lazima utinge mjengoni
Nakuheshimu mkuu lakini kwa hili unatudanganya ndiyo maana nakasema aidha hukuwa na access ya pesa zote au unataka kuficha jambo tafadhali kuwa open kwa vile umejipambanua kwanye chama cha uwazi CDM, ni kweli wewe kama mtunza fedha wa CCJ mlikuwa mmejiandaa kwenye uchaguzi na shilingi laki moja tu hata kipofu sidhani kama atakubaliana nawe.
Nafikiri na wewe hujanielewa. Kuna tatizo humu JF ya baadhi ya wanajamvi kufanya character assassination au tabia za kikaburu za ku-black list wale waote wanaoonekana kutoa fikra mbadala na hata kukasirika kuona watu wanatetewa. Suala hapa siyo mishahara na nimerudia kusmea hilo mara nyingi maana inawezekana kwa tafsiri ya mishahara pekee basi zaidi ya nusu ya watumishi ni mafisadi, kama utalinganisha na wananchi wengine. Kilichonisikitisha mimi ni kuona kama vile Nape hastahili kutetewa kwa vile tu amemshutumu Slaa kuhusiana na mshahara wake. Na nimerudia kusema kwamba suala hili lilifika hapa pale wanasiasa waliporuhusu kujadili personalities badala ya hoja na hapo ndipo Nape alipoingia na hali ilipogeuka ndipo aliporushiwa mawe na kumuita kila aina ya majina. Tusipotoka huko hatuwezi kufika mahali tukagundua tatizo na kinachostahili kuzungumzwa na viongozi wetu. Tutakuwa tunajadili historia na kusahau mustakabali wa taifa.
Tatizo siyo kumtetea Nape,
Issue iliyopo hapa la huyu Kiyabo kutaka kuufaham ukweli wa kauli hizi za Bwana Kiyabo .
Nape kumwita Dr. Slaa fisadi et alalipwa 7mil sasa ndo ameshakuwa mwiba kwa CDM?
Nape kupewa huo Ukatibu mwenezi sifikirii na sitegemei ndo awe mwiba kwa chadema bali nahitaji akisaidie chama chake kiweze kutimiza ahadi za maisha bora kwa kila Mtanzania yanatimia na siyo longo longo la kujivua gamba na kuwaita watu mafisadi kisa mshahara!!
Kwanza wajibu hoja za kwanini maisha yamekuwa magumu badala ya kuwa tambarare kama Mkt wake/wao alivyoahidi.
Nakuheshimu mkuu lakini kwa hili unatudanganya ndiyo maana nakasema aidha hukuwa na access ya pesa zote au unataka kuficha jambo tafadhali kuwa open kwa vile umejipambanua kwanye chama cha uwazi CDM, ni kweli wewe kama mtunza fedha wa CCJ mlikuwa mmejiandaa kwenye uchaguzi na shilingi laki moja tu hata kipofu sidhani kama atakubaliana nawe.
Mzee MKJJ atatusaidia kwa hili.
Waandishi wa kitanzania ni wachumia tumbo wanaijua vizuri sana CCJ na waliipambamba ile mbaya! wanawajua waanzilishi wake na nani aliekuwa akiwapa bahasha za khaki wanamjua. Usitegee kitu kutoka kwa waandishi wetu Mkuu hawa ndio waliokuwa wakiipamba CCJ na sasa wamehamia CDM kesho usishangae wakahamia TLP au NCCR - Mageuzi.
Taratibu mzee yeye katoa mawazo yake tupe yako.Labda tu ungefafanuwa kati ya wewe na mwanakijiji ni nani ambaye ameshiriki kwa ujasiri kutumia karamu yake kwa maslahi ya nchi? unaposema tusitegemee kitu kutoka kwa waandishi wetu, kwahiyo wewe mwenzetu habari huwa unategemea kupata kutoka kwa waandishi wa uingereza?
Ficha upumbavu wako.
Labda tu ungefafanuwa kati ya wewe na mwanakijiji ni nani ambaye ameshiriki kwa ujasiri kutumia karamu yake kwa maslahi ya nchi? unaposema tusitegemee kitu kutoka kwa waandishi wetu, kwahiyo wewe mwenzetu habari huwa unategemea kupata kutoka kwa waandishi wa uingereza?
Ficha upumbavu wako.
Taratibu mzee yeye katoa mawazo yake tupe yako.
Taratibu Mbopo kumbe mnabanwa Eeeee 'Hebu tuache tupumue' sasa nimeleewa kumbe CDM inawabana, kamanda Mbowe kaza uzi wanahemea juu juu, ila cha msingi kama kweli hakurudisha pesa za pango ni aibu si kwake tu ila kwa chama anachokiongoza.