daniel.nickson
Member
- Apr 30, 2011
- 33
- 2
kiyabo hana sifa ya kujadiliwa hapa, na kufanya hivyo ni kumkweza.
Taratibu Mbopo kumbe mnabanwa Eeeee 'Hebu tuache tupumue' sasa nimeleewa kumbe CDM inawabana, kamanda Mbowe kaza uzi wanahemea juu juu, ila cha msingi kama kweli hakurudisha pesa za pango ni aibu si kwake tu ila kwa chama anachokiongoza.Hivi unadhani watu wote wana akili kama yako. Shame on you! Hivi wewe unajua kuliko Mpendazoe au Kiyabo. Mbona walipokuwa wanazungumzia hiyo CCJ hili hawakulizungumzia? Unafikiri kama Mpendazoe alikwenda mbele kuzungumzia waasisi na kuwataja, hili angeliachaje wakati lilikuwa na maana kuliko hata hayo majina ya waasisi. Hebu tuache tupumue na kufanya mambo ya msingi na wewe tafuta njia nyingine ya kulipa madeni yako ya kutumika!
J na MHivi tofauti ya CCJ an CCM ni ipi?
Ndiyo maana yake na hasa ikisemwa na mtetezi wao mkuu jua hiyo kauli inawakilisha hali halisi ilivyo huko ndani.kuna mchangia huko juu kase tuwaache wapumue hii inamaana tumewabana..
Kweli maana ndiye alikuwa Katibu mwenezi wa CCJ kwa wakati huo.![]()
huyu jamaa ana majibu ya kutosha
Baada ya siri ya waanzilishi wa CCJ kuwekwa wazi na Mpendazoe siku chache zilizopita imefahamika wazi kuwa Nape ndiye aliyepewa jukumu la kukusanya misaada na michango ya chama kutoka sehemu mbali mbali za ndani na nje ya nchi likiwemo jukumu la kutafuta pango la chama. Inasemekana baada ya msajili wa vyama kukinyima usajili chama hicho waanzilishi wake walisambaratika bila kufikia mwafaka wa nini kifanyike baada ya hapo ikiwa ni pamoja na mgawanyo wa mali zilizopatikana. Nape alikuwa na baadhi ya mali hizo na inasemekana(nimedokezwa) kuwa mali hizo hajazikabidhi kwa wahusika kwa hofu ya kufahamika lakini habari zingine zinasema baadhi ya wenye mali na waliochanga wanajipanga kuzidai hadharani endapo mwafaka hautafikiwa mapema. Kama tuhuma hizi ni za kweli itakapokuja fahamika wazi wazi Nape atazidi kukipaka matope chama cha mapinduzi na yeye kutoaminika tena machoni mwa jamii na wana CCM wenyewe.
Kweli maana ndiye alikuwa Katibu mwenezi wa CCJ kwa wakati huo.
J na M
naona yupo kimya au na yeye alipata mgao nini? si unajua wanasiasa wetu wakibanwa?wanatafuta pa kutokea.
taulo nadhani halijashuka tu huko
Mkuu ng'hily
Sasa hapa sijui nikuite kaka au dada...coz jina lako limeficha jinsia yako na sijui ni kwanini hutaki kujulikana....Nway, ngoja nilitumie kama lilivyo...Feedback...Binafsi huwa napata shida sana mtu anapoamua kusema yasiyokuwa kweli na kuyaaminisha kuwa ni ya kweli...Naomba nikuhakikishie kuwa tuhuma hizo si za kweli.....Mimi nilipokuwa niko CCJ kama katibu mwenezi wa taifa wa chama hicho,nilipewa jukumu lingine la kuwa mtunza hazina na kwa mujibu wa katiba ya iliyokuwa CCJ, kwa cheo hiko nilikuwa katibu wa baraza la wadhamini. Kwa maana hiyo, nilikuwa nahusika moja kwa moja na hazina zote za chama (mali za kuhamishika na zisizohamishika)...Labda nitoe taarifa kwa UMMA mpaka tunaondoka CCJ, kulikuwa na Tsh100,0000/= katika account ya chama tuliyokuwa tumeifungulia pale CRDB Azikiwe Branch....CCJ haikuwa na mali yeyote isyohamishika na pango lenyewe lilipwa kwa pesa ya mfukoni ya hao ambao Mpendazoe kawataja kama waasisi wa CCJ...Hata samani za ofisi, zilitolewa na Mpendazoe pamoja na Sitta...Hatukuwahi kuwa na wafadhili wa nje, japo tuliwahi kutembelewa na balozi za nchi kadhaa na wakawa wameahidi kutusaidia katika kuhakikisha tunasajiliwa...Sasa kwa hili mumuulizen Tendwa, ni nani walimpa pesa za kutufanyiakuzunguka nchi nzima kuhakiki wanachama wa CCJ na hatimaye kuipa usajili CCJ. Ambazo baada ya CCJ kufell inasemekana alifungua matawi ya ofisi yake katika baadhi ya mikoa....
...Labda nitoe taarifa kwa UMMA mpaka tunaondoka CCJ, kulikuwa na Tsh100,0000/= katika account ya chama tuliyokuwa tumeifungulia pale CRDB Azikiwe Branch....
Mkuu ng'hily
Kwanza rekebisha kwenye red hizo ni laki, milion 100 au, then una uhakika gani pesa yote iliyokusanywa ilikuwa inapelekwa benki unasema baada ya kutopata usajili akaunti ilifungwa kwa hiyo pesa zilienda wapi mligawana? maana hiyo ilikuwa michango ya wananchi, na je ile fununu ya CCJ kuendelea kudai usajili baada ya uchaguzi imekufa au ndio hao walioanzisha CCK, nafikiri mambo ya kumuuliza Tendwa ni kupoteza muda hizo tunajua ni ghiliba za ki CCM labda tuambie kama na wewe unataka kuzitumia maana huyu Tendwa tunajua anavyotumika hakuna haja ya kuelezea.