Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Nape ni mwanzilishi wa CCJ

Hili la kuwa patriot au parrot niwaachie watu waseme maana mti utambuliwe kwa matunda sio majani. Patriot wa kweli atambuliwekwa matendo sio maneno.kama ni mjadala naweza jadili matendo ya anayesemwa patriot au la.
la kutaifisha au kufilisi mali za watuhumiwa hili si la chama hili ni la serikali. kama chama tumesema na hapa narudia tunawajibisha wanachama wetu kisiaisa kwasababu sie ni chama cha siasa....ndo maana tukasisitiza hata bila ushahidi.unaweza kuwajibika.Kisiasa ushahidi wa mazingira unatosha kumwajibisha mwana siasa.Hatua za kisheria ni kazi ya serikali, ndo maana sisi katiba ya CCM...inasema wazi migogoro ya chama haipelekwi mahakamani...inashughulikiwa na vikao.

Hivi hiyo serikali imeundwa na chama gani?
 
Wadau nimekifumania kipi cha mahojiano ya moja kwa moja(live) kati ya Richard Kiyabo na radio Uhuru muda mfupi uliopita (yapata saa 0830am leo).
Bwana Kiyabo ametoa sifa nyingi sana kwa Nape, na katibu mkuu wa CCM kuwa hawa sasa ndio mwiba kwa CDM.
Amemsifia Nape kuwa simpenda madaraka, ndio maana alikubali kwenda Mtwara as mkuu wa wilaya bila kinyongo,sijamwelewa hapa!!!

na pia amemkandia Mpendazoe kuwa hana sifa ya uongozi na pia hajui siasa hata kama yeye(Kiyabo) akipambanishwa na Mpendazoe leo na kesho uchaguzi, basi Kiyabo ataibuka mshindi.

Sasa wewe kimekukasirisha nini? Kwa sababu ya Nape kusifiwa au kupondwa kwa Mpendazoe. Mbona nyie watu wengine ni stereotype hivi? Ulitegema dunia nzima imponde Nape kwa sababu wewe unamponda na vile vile ulitaka dunia nzima imsifie Mpendazoe, kwa lipi? Kujiunga na Chadema?

Mbopo
Naona umekimbilia kuwa na jazba hivyo?Natumai hukuisoam mistari vilivyo.
kama kweli Nape hapendi makuu/Ukubwa iweje alikubali kupewa hiyo posti ya DC siangebaki home await 2015 basi ama angebaki huko huko UVCCM?
Mbopo hebu fanya tafakuri na kwnye hili kisha tueleze naye huyu ni Stereotype!!!
Mimi nadhani ndugu zangu wanahabari tunasaidia kupindisha hoja juu ya dhana ya ufisadi...Kuwa na mshahara mkubwa au kuwa na kipato kikubwa ulichopata kwa makubaliano na waajiri wako au kwa juhudi zako halali au za ndugu zako si ufisadi...Kutembelea gari la kifahari ulilopewa au kuazimwa au kununua kwa kipato halali chako au ndugu yako... ilo pekee alikufanyanyi mtu kuwa fisadi...Ufisadi, kwa maana yenye mashiko kisiasa, ni kushiriki kwenye vitendo vya kupata kipato cha siri kama malipo kwa kutumia cheo chako serikalini au katika chama tawala kufanikisha malengo yakujitajirisha kinyume cha sheria ya mtu au kakundi ka watu. Sasa ndugu yangu Nape kusema eti Dr. Slaa naye ni fisadi maana yake ni nini kimantiki? Kama Dr. Slaa ni fisadi basi kwa vile tu Chadema wamempa mshahara mkubwa kwa cheo chake cha ukatibu wa chama taifa ( ambayo si sawa na kuwa mbunge wa jimbo moja!!!!) sasa CCM wanajivua gamba kwa nini yalabi? Kama hiyo ndiyo dhana ya ufisadi ya ndugu yangu Nape basi haina maana kusambabisha uwezekano wa mifarakano ndani ya CCM kwa kutaka mafisadi wake wajiuzuru....Wanyime tu mishahara mikubwa!!!!!Eti?!!!.. Maana sasa kumbe ufisadi ni kupokea milioni 7 au hata 10 kwa kazi ya chama chako cha kisiasa kitaifa eti vile uliwai kusema wabunge wajimbo moja la watu wasiozidi milioni moja wasipate mshahara "mkubwa" wa milioni 7????!!! Hii inamantiki kweli??!!! Kashfa ya EPA, rada, Richmond...makashfa yenye harufu ya rushwa kubwa kubwa ya watu wenye madaraka makubwa makubwa serikalini, sasa yanalinganishwa na eti Dr. Slaa kulipwa mshahara wa milioni 7 au hata 10 kwa kazi ya ukatibu wa chama kitaifa chenye Wabunge na Madiwani na wafuasi kibao nchi nzima????!!!... Kweli kabisa hiyo ndiyo dhana ya ufisadi ya ndugu yangu Nape??? Huyu ndiye Nape anayetaka mimi na wewe tumwamini kuwa anakisaidia chama cha wakulima na wafanyakazi cha CCM kijivue gamba??? Gamba la nini kama si matajiri wanaoajiri mamia ya wafanyakazi na hivyo ni wanyonyaji lakini wameteka chama cha wakulima na wafanyakazi badal ya kuanzisha chama chao cha liberal democratic union au republican??? Gamba la nini kama si wafanya biashara wakubwa wakubwa wenye kutuhumiwa ufisadi kama ule wa EPA, Richmondi na Rada??? ...Kumbe ndugu yangu Nape tafsiri yake ya ufisadi ni kule kuwa na mshara wa milioni 7 au hata 10...Ina maana Maximo aliye kuwa kocha wa TFF na Gavana wa Benki Kuu ni fisadi vile waanapokea/walipokea mshahara mkubwa tulio wapangia sie? Kweli ndugu huyu Nape anataka tumwamini kuwa ni mpambanaji dhidi ya ufisadi? Kwa nini tusiamini kuwa lengo la uteuzi wake ni kupotosha umma juu ya dhana mzima ya ufisadi ili baadaye kusiwepo hata mmoja hatayeondoka CCM kwa kutajwa kuwa fisadi??? Yaani ufisadi ndani ya CCM utaondoka kwa kuzunguka nchi nzima tukishutumu ufisadi wa Dr. Slaa wa Chadema??!!!Maana sasa CCM itakachoitaji kufanya ni kuchapisha nakala za malipo ya mishahara ya wote wanaotuhumiwa kuwa mafisadi, eti? Hapo kweli sasa mafisadi watabaki akina Dr. Slaa na Gavana wa Benki Kuu, na Mkurugenzi Mkuu wa TRA, siyo?Tuache utani bwana!!!!Nape? Unatukatisha tamaa sisi CCM wafu!!! Tulidhani kumekucha kumbe bado giza totoro?!!Wakatabahu,Mwalimu Lwaitama
 
Anawaonea bure madiwani;kwani wabunge wa CCM wanauwezo gani kama si vilaza tu?
 
Wadau nimekifumania kipi cha mahojiano ya moja kwa moja(live) kati ya Richard Kiyabo na radio Uhuru muda mfupi uliopita (yapata saa 0830am leo).
Bwana Kiyabo ametoa sifa nyingi sana kwa Nape, na katibu mkuu wa CCM kuwa hawa sasa ndio mwiba kwa CDM.
Amemsifia Nape kuwa simpenda madaraka, ndio maana alikubali kwenda Mtwara as mkuu wa wilaya bila kinyongo,sijamwelewa hapa!!!

na pia amemkandia Mpendazoe kuwa hana sifa ya uongozi na pia hajui siasa hata kama yeye(Kiyabo) akipambanishwa na Mpendazoe leo na kesho uchaguzi, basi Kiyabo ataibuka mshindi.
amejisifia kuwa kushinda Mahanga kule Segerera kwamba ni yeye ndiye aliibeba ile kampeni kwani anamjua vyema Mpendazoe.
Natumai atakuwa ameongea mengi kwani kipindi nimekikuta mwisho mwisho.

Wadau tuwekeni sawa bwan Kiyabo anatka kutuaminisha nini juu ya hawa aliowasemea?

Ndugu yangu Kisoda2....Binafsi,siumizwi wala sikereheki kwa hatua ya Mh. Kiyabo kumsifia Mh. Nape pamoja Mh. mjomba wangu Mukama...Ninasema hivyo kwa sababu namfahamu Mh. Kiyabo kwa kiasi chake wakati huo akiwa mwenyekiti wangu kule CCJ na baadaye tukaondoka wote kwenda CDM. Na ukweli siwezi kumsahau...Namkumbuka kwa ushauri wake kwetu (Mpendazo and I) juu ya koundoka CDM na kujiunga na NRA kama nitakuwa sijakikosea...Ambapo yeye alichukua fomu kama mgombea urais na baadaye kushindwa kutimiza mashart yaliyokuwa yanatakiwa hasa upande wa kupata wadhamini....

Mimi namuombea mema huko aliko (CCM) ili afanikishe ndoto yake,mwanzoni alisema Mh. Makamba alimwahidi ukatibu wa CCM wilaya moja, baadaye akasema ameahidiwa ubunge wa kuteuliwa na rais, nway...kwa kuwa bado rais hajamaliza nafasi zake za uteuzi, hivyo namuombea Kiyabo kwamba akumbukwe...Sasa kama sifa alizozitoa zilikuwa ni honest, mimi sina tatizo naye. Ila kama alizitoa ili apate hicho anachokitafuta (Cheo/Nafasi) basi sidhani kama atakuwa anafanya jambo jema...Hebu nafsi yake ndo imuhukumu maana ninavyomujua, huyu ni mlokole safi na aliwahi kuwa mtumishi wa Mungu enzi hizo (labda awe amebadilika sasa).

Kukiponda CDM, pia ni haki yake alimradi (sijui kama nimelitamka sawa sawa) havunji sheria, lakini pia kumponda Mpendazoe, ni haki yake kama ilivyo kwa CDM kwani hizo ndo siasa za maji taka zisizojikita katika kujenga hoja na kuhakikisha zinasaidia kuboresha maisha ya wananchi. Hata hivyo, tukirudi kwenye ubinadamu, sidhani kama Mh. Kiyabo atakuwa amefanya jambo la kiungwana...Mh. Kiyabo na Mh. Mpendazoe, ni wana ndugu...na isitoshe ni mengi ambayo Mh. Mpendazoe amemfanyia Mh. Kiyabo, me nakumbuka tuliiendesha CCJ katika hali ngumu sana (Kifedha) na ni Mpendazoe aliyekuwa anatoa pesa yake mfukoni na kumsaidia Kiyabo...Kiyabo alikuwa anakaa Mbagala ndani kabisa...sijui kama bado yuko huko au ameama,ni mpendazoe ambaye wakati mwingine alikuwa anampeleka mpaka kwake ili mwenyekiti wetu asidhurike.

WanaJF....Nyote nimashahidi, kilichofanya Mpendazoe asitangazwe mshindi, ni dhuruma za wazi na wizi wa wazi na uchakachuaji wa wazi, ni nani asiyejua kuwa Mh. Mahanga alikuwa na masanduku ya kura kwenye gari yake na kukamtwa mpaka kituo cha polisi Buguruni! Mpaka sasa, kuna kata kama sikosei ni nne au sita, matokeo yake hayajawekwa wazi kwa maana nyingine ni kusema matokeo yake hayajatangazwa. Na ndo maana Mpendazoe kafungua sahuri Mahakama Kuu kupinga ushindi wa Mh. Mahanga. Kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za uchaguzi. Sasa basi, kama Mh. Kiyabo anajisifu kuwa alihusika katika kumfanya Mh. Mahanga akashinda, basi anatakiwa kuiacha siasa na kurejea katika shughuli zake za zamani za uuzaji wa dawa au arejee katika utumishi kanisani kwani naona kama siasa haiwezi.

Hivi jamani, nikweli Mh. Kiyabo anaweza kumshinda kwa hoja Mh. Mpendazoe? Hebu hukumuni kwa haki hapa. Mtu ambaye alishindwa kudeliver speech wakati wa uzinduzi wa CCJ pale Mwananyamala yet speech yenyewe ilikuwa imeandikwa! Mtu ambaye alishindwa kupata wadhamini wakat anataka kugombea uras! Mtu ambaye alishindwa kwenda kugombea ubunge kama alivyokuwa ameutangazia umma! Ushauri wangu kwa Mh. Kiyabo ni kwamba, kama ameamua kufanya siasa basi na afanye siasa safi. Na siku zote napinga na nitaendelea kupinga kauli hii...'SIASA NI MCHEZO MCHAFU'...Ukweli binafsi naiona siasa ni safi ila tatizo tunawatu wachafu walioingia katika siasa na hivyo kuichafua..Sasa ni wakati wa kuisafisha na hivyo kujenga mustakabari mzuri kwa Taifa letu...Tuepuke

Mh. Kiyabo, fanya siasa safi ndugu yangu na kama unawasifia viongozi wako na CCM...fanya hivyo kwa roho safi na kwa kusukumwa na mapenzi mema kwa chama chako na kwa viongozi wako...Mungu akubariki na akufanikishe katika yote...Amen.
 
Wadau nimekifumania kipi cha mahojiano ya moja kwa moja(live) kati ya Richard Kiyabo na radio Uhuru muda mfupi uliopita (yapata saa 0830am leo).
Bwana Kiyabo ametoa sifa nyingi sana kwa Nape, na katibu mkuu wa CCM kuwa hawa sasa ndio mwiba kwa CDM.
Amemsifia Nape kuwa simpenda madaraka, ndio maana alikubali kwenda Mtwara as mkuu wa wilaya bila kinyongo,sijamwelewa hapa!!!

na pia amemkandia Mpendazoe kuwa hana sifa ya uongozi na pia hajui siasa hata kama yeye(Kiyabo) akipambanishwa na Mpendazoe leo na kesho uchaguzi, basi Kiyabo ataibuka mshindi.
amejisifia kuwa kushinda Mahanga kule Segerera kwamba ni yeye ndiye aliibeba ile kampeni kwani anamjua vyema Mpendazoe.
Natumai atakuwa ameongea mengi kwani kipindi nimekikuta mwisho mwisho.

Wadau tuwekeni sawa bwan Kiyabo anatka kutuaminisha nini juu ya hawa aliowasemea?

nani hajui kuwa mahanga aliiba kura?
 
Wadau-Nimesoma gazeti la mwananchi la leo na nimesikitika na kushtuka.Nimeshangazwa na madai ya katibu itikadi na uenezi Nape Nnauye.Nape amezungumza mengi lakini kubwa amemtaka Dr Wilbroad Slaa kujitokeza hadharani na kujibu anazodai ni tuhuma kubwa alizomrushia Dr Slaa.Amemtaka eti Slaa aache kuwatuma vibaraka wake kumjibu kwani sio saizi yake.Anaodai ni vibaraka ni Marando,Prof Safari,Mpendazoe na Antony Komu.
Ameropoka mengi lakini nimemshangaa kujilinganisha na Dr Wilbroad Slaa.Kinachoonekana sasa ni kwamba Nape amechuja na amechoka haraka kuliko alivyotarajia na anataka pa kupandia.Ametafakari na kuona ili walau aendelee kuandikwa na magazeti ni kujibizana na Dr Slaa.Anashangaza kweli!! Anataka kuwasahaulisha wanaCCM kwamba yeye ndiye aliyeasisi CCJ.Anataka kuwasahaulisha wana-CCJ kwamba alikula sehemu ya hela ya pango aliyopewa.Anataka kuwasahaulisha watanzania kwamba anatuhumiwa kutafuna hela ya EPA aliyopewa na Patel.

DR WILBROAD SLAA:Kwa vile unasikiliza ushauri unaopewa hapa JF tafadhali kamwe usimjibu wala kulumbana na Nape.Hadhi yako itashuka,huyu kijana si saizi yako hata kidogo.Huyu kijana ameenda mbali hata kutukana viongozi wa dini.Huyu kijana anaropoka kuliko hata Tambwe Hizza.Huyu kijana aachwe aendelee kutukanana na wana-CCM wenzake.Huyu kijana aambiwe wazi saizi yake ni waasisi wenzake wa CCJ.Namshauri huyu kijana mropokaji asome gazeti la leo la Tanzania daima makala ya mwalimu mkuu wa watu Paschally Mayega kama asipoelewa atafute gazeti la Mwanahalisi asome uk. wa 10 na 11 makala ya Saed Kubenea,nadhani itampa upeo wa kujenga chama chake na si kukipeleka kaburini.

Nawasilisha!!
 
hivi huyu nape anafikiri slaa ni mnenguaji wa majukwaani kama yeye anavyofanya?
 
Wadau nimekifumania kipi cha mahojiano ya moja kwa moja(live) kati ya Richard Kiyabo na radio Uhuru muda mfupi uliopita (yapata saa 0830am leo).
Bwana Kiyabo ametoa sifa nyingi sana kwa Nape, na katibu mkuu wa CCM kuwa hawa sasa ndio mwiba kwa CDM.
Amemsifia Nape kuwa simpenda madaraka, ndio maana alikubali kwenda Mtwara as mkuu wa wilaya bila kinyongo,sijamwelewa hapa!!!

na pia amemkandia Mpendazoe kuwa hana sifa ya uongozi na pia hajui siasa hata kama yeye(Kiyabo) akipambanishwa na Mpendazoe leo na kesho uchaguzi, basi Kiyabo ataibuka mshindi.
amejisifia kuwa kushinda Mahanga kule Segerera kwamba ni yeye ndiye aliibeba ile kampeni kwani anamjua vyema Mpendazoe.
Natumai atakuwa ameongea mengi kwani kipindi nimekikuta mwisho mwisho.

Wadau tuwekeni sawa bwan Kiyabo anatka kutuaminisha nini juu ya hawa aliowasemea?[/QUOTE

Kwenye bold nyekundu....Hivi Mh. Kiyabo na Mh. Mpendazoe, ni nani hana uwezo wa uongozi na ni nani hajui siasa...Mara zote tunaseama viongozi hawazaliwi ila wanafanywa..wanatengenezwa...Unaweza ukazaliwa na kipawa but ili uwe kiongi bora na si bora kiongozi, unafanywa...Sasa kwa kufanywa kuwa kiongozi, Mpendazoe historia yake ya kazi katika nafasi za juu pamoja na elimu yake ya masterz inamhukumu...na vile vile Kiyabo na historia yake ya uongozi na elimu yake ya diploma katika uongozi wa kanisa kama sikosei nayo inamhukumu....Na kama Kiyabo alikuwa anauwezo wa kuongoza, mbona CCJ alikuwa haonyeshi uwezo huo tulipokuwa CCJ na kama anaijua siasa kiasi hiko kwa nini hakuonyesha uwezo huo tulipo kuwa CCJ...Hapa nina mashaka na uwezo wake anaojivunia na ninamashaka na ujuzi wake wa siasa anaojivunia...
 
Mbopo
Naona umekimbilia kuwa na jazba hivyo?Natumai hukuisoam mistari vilivyo.
kama kweli Nape hapendi makuu/Ukubwa iweje alikubali kupewa hiyo posti ya DC siangebaki home await 2015 basi ama angebaki huko huko UVCCM?
Mbopo hebu fanya tafakuri na kwnye hili kisha tueleze naye huyu ni Stereotype!!!
Mimi nadhani ndugu zangu wanahabari tunasaidia kupindisha hoja juu ya dhana ya ufisadi...Kuwa na mshahara mkubwa au kuwa na kipato kikubwa ulichopata kwa makubaliano na waajiri wako au kwa juhudi zako halali au za ndugu zako si ufisadi...Kutembelea gari la kifahari ulilopewa au kuazimwa au kununua kwa kipato halali chako au ndugu yako... ilo pekee alikufanyanyi mtu kuwa fisadi...Ufisadi, kwa maana yenye mashiko kisiasa, ni kushiriki kwenye vitendo vya kupata kipato cha siri kama malipo kwa kutumia cheo chako serikalini au katika chama tawala kufanikisha malengo yakujitajirisha kinyume cha sheria ya mtu au kakundi ka watu. Sasa ndugu yangu Nape kusema eti Dr. Slaa naye ni fisadi maana yake ni nini kimantiki? Kama Dr. Slaa ni fisadi basi kwa vile tu Chadema wamempa mshahara mkubwa kwa cheo chake cha ukatibu wa chama taifa ( ambayo si sawa na kuwa mbunge wa jimbo moja!!!!) sasa CCM wanajivua gamba kwa nini yalabi? Kama hiyo ndiyo dhana ya ufisadi ya ndugu yangu Nape basi haina maana kusambabisha uwezekano wa mifarakano ndani ya CCM kwa kutaka mafisadi wake wajiuzuru....Wanyime tu mishahara mikubwa!!!!!Eti?!!!.. Maana sasa kumbe ufisadi ni kupokea milioni 7 au hata 10 kwa kazi ya chama chako cha kisiasa kitaifa eti vile uliwai kusema wabunge wajimbo moja la watu wasiozidi milioni moja wasipate mshahara "mkubwa" wa milioni 7????!!! Hii inamantiki kweli??!!! Kashfa ya EPA, rada, Richmond...makashfa yenye harufu ya rushwa kubwa kubwa ya watu wenye madaraka makubwa makubwa serikalini, sasa yanalinganishwa na eti Dr. Slaa kulipwa mshahara wa milioni 7 au hata 10 kwa kazi ya ukatibu wa chama kitaifa chenye Wabunge na Madiwani na wafuasi kibao nchi nzima????!!!... Kweli kabisa hiyo ndiyo dhana ya ufisadi ya ndugu yangu Nape??? Huyu ndiye Nape anayetaka mimi na wewe tumwamini kuwa anakisaidia chama cha wakulima na wafanyakazi cha CCM kijivue gamba??? Gamba la nini kama si matajiri wanaoajiri mamia ya wafanyakazi na hivyo ni wanyonyaji lakini wameteka chama cha wakulima na wafanyakazi badal ya kuanzisha chama chao cha liberal democratic union au republican??? Gamba la nini kama si wafanya biashara wakubwa wakubwa wenye kutuhumiwa ufisadi kama ule wa EPA, Richmondi na Rada??? ...Kumbe ndugu yangu Nape tafsiri yake ya ufisadi ni kule kuwa na mshara wa milioni 7 au hata 10...Ina maana Maximo aliye kuwa kocha wa TFF na Gavana wa Benki Kuu ni fisadi vile waanapokea/walipokea mshahara mkubwa tulio wapangia sie? Kweli ndugu huyu Nape anataka tumwamini kuwa ni mpambanaji dhidi ya ufisadi? Kwa nini tusiamini kuwa lengo la uteuzi wake ni kupotosha umma juu ya dhana mzima ya ufisadi ili baadaye kusiwepo hata mmoja hatayeondoka CCM kwa kutajwa kuwa fisadi??? Yaani ufisadi ndani ya CCM utaondoka kwa kuzunguka nchi nzima tukishutumu ufisadi wa Dr. Slaa wa Chadema??!!!Maana sasa CCM itakachoitaji kufanya ni kuchapisha nakala za malipo ya mishahara ya wote wanaotuhumiwa kuwa mafisadi, eti? Hapo kweli sasa mafisadi watabaki akina Dr. Slaa na Gavana wa Benki Kuu, na Mkurugenzi Mkuu wa TRA, siyo?Tuache utani bwana!!!!Nape? Unatukatisha tamaa sisi CCM wafu!!! Tulidhani kumekucha kumbe bado giza totoro?!!Wakatabahu,Mwalimu Lwaitama

Nafikiri na wewe hujanielewa. Kuna tatizo humu JF ya baadhi ya wanajamvi kufanya character assassination au tabia za kikaburu za ku-black list wale waote wanaoonekana kutoa fikra mbadala na hata kukasirika kuona watu wanatetewa. Suala hapa siyo mishahara na nimerudia kusmea hilo mara nyingi maana inawezekana kwa tafsiri ya mishahara pekee basi zaidi ya nusu ya watumishi ni mafisadi, kama utalinganisha na wananchi wengine. Kilichonisikitisha mimi ni kuona kama vile Nape hastahili kutetewa kwa vile tu amemshutumu Slaa kuhusiana na mshahara wake. Na nimerudia kusema kwamba suala hili lilifika hapa pale wanasiasa waliporuhusu kujadili personalities badala ya hoja na hapo ndipo Nape alipoingia na hali ilipogeuka ndipo aliporushiwa mawe na kumuita kila aina ya majina. Tusipotoka huko hatuwezi kufika mahali tukagundua tatizo na kinachostahili kuzungumzwa na viongozi wetu. Tutakuwa tunajadili historia na kusahau mustakabali wa taifa.
 
Waungwana nimeshukuru kumsikia katibu mwenezi wa majungu wa CCM Napewa kuwa madiwani wa chama anachokitetea ni vimeo kiasi kwamba hawawezi japo kuhoji mabo ya msingi katika halmashauri zao, je anatufundisha nini katika hili? CDM wekeni nguvu kubwa katika ngazi ya kata yaani udiwani kwa mtazamo wangu ndiko mahali mitandao ya majuha na wezi wa fedha za wavuja jasho tulio wengi unapo anzia, madiwani wao hawana wanachojua zaidi ya posho zao.

Source?
 
Umenena vema. Sasa tunataka kusikia mikakati ya CDM kujenga nchi baada ya kutwaa madaraka. Mambo kama tutapataje umeme wa uhakika, madini yetu, mfumko wa bei, n.k, n.k. Kama kuna anayewasikiliza na kupigishana kelele na hao, hajasoma alama za nyakati. Dr. Slaa anafocus mbele zaidi, siyo mbio za sakafuni za akina Nape.

Wazee (CCM) Watuache na sisi tule kama wao---
Kauli mbiu mpya ya vijana CCMagamba
 
Clouds FM taarifa ya habari leo asubuhi na imetokana na maneno yake akiwa singida, hatukurupuki jombaa.
 
Kuna mtu mmoja tu asiyekuwa ngumbaru CCM, Rostam Aziz (mtalii a.k.a mjasiliiamali). Wengine wote ni mabuzi: wanaibiwa huku wanacheka.
 
Dr. Please usijibizane na nape nnauye, kwanza majina yake hayana mfano wa jina hata 1 la dini yeyote duniani ndo maana ametukana viongozi wa dini so ni kajuha tu, afu nape kujibizana nae ni sawa na kutema bublish kwa karanga za kuonjeshwa.
 
Wadau-Nimesoma gazeti la mwananchi la leo na nimesikitika na kushtuka.Nimeshangazwa na madai ya katibu itikadi na uenezi Nape Nnauye.Nape amezungumza mengi lakini kubwa amemtaka Dr Wilbroad Slaa kujitokeza hadharani na kujibu anazodai ni tuhuma kubwa alizomrushia Dr Slaa.Amemtaka eti Slaa aache kuwatuma vibaraka wake kumjibu kwani sio saizi yake.Anaodai ni vibaraka ni Marando,Prof Safari,Mpendazoe na Antony Komu.
Ameropoka mengi lakini nimemshangaa kujilinganisha na Dr Wilbroad Slaa.Kinachoonekana sasa ni kwamba Nape amechuja na amechoka haraka kuliko alivyotarajia na anataka pa kupandia.Ametafakari na kuona ili walau aendelee kuandikwa na magazeti ni kujibizana na Dr
Slaa.Anashangaza kweli!! Anataka kuwasahaulisha wanaCCM kwamba yeye ndiye aliyeasisi CCJ.Anataka kuwasahaulisha wana-CCJ kwamba alikula sehemu ya hela ya pango aliyopewa.Anataka kuwasahaulisha watanzania kwamba anatuhumiwa kutafuna hela ya EPA
aliyopewa na Patel.

DR WILBROAD SLAA:Kwa vile unasikiliza ushauri unaopewa hapa JF tafadhali kamwe usimjibu wala kulumbana na Nape.Hadhi yako itashuka,huyu kijana si saizi yako hata kidogo.Huyu kijana ameenda mbali hata kutukana viongozi wa dini.Huyu kijana anaropoka kuliko hata Tambwe Hizza.Huyu kijana aachwe aendelee kutukanana na wana-CCM wenzake.Huyu kijana aambiwe wazi saizi yake ni waasisi wenzake wa CCJ.Namshauri huyu kijana mropokaji asome gazeti la leo la Tanzania daima makala ya mwalimu mkuu wa watu Paschally Mayega kama asipoelewa atafute gazeti la Mwanahalisi asome uk. wa 10 na 11 makala ya Saed Kubenea,nadhani itampa upeo wa kujenga chama chake na si kukipeleka kaburini.

Nawasilisha!!
ushauri wako ni wamaana ila ni wamaana zaidi kwa Nape maana yawezekana alikuwa hajapata wa kumueleza ukweli huo huko kwenye chama chao maana wanayo kanuni ya kuzuiana kuambiana ukweli.na ukiikiuka unafungiwa kugombea uongozi ngazi yoyote ya chama kwa muda usiopungua miezi 18. juzijuzi kanuni hiyo imetumika kwa mh. mbunge mmoja wa hapa Dar.
 
Ni lazima ajibu lasivyo inaonekana kafanya Ufisadi na atoe sababu kwa nini apinge mshahara kama huo Bungeni na baadae anapokea Kiasi hicho hicho baada ya kuacha Ubunge! Amejichanganya Dr Slaa ni mhimu kujibu!
 
Na yeye atuambie zile hela za pango lini alizirudisha CCJ au ndizo anazotumia kuzungukia mikoani.
 
Back
Top Bottom