LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
siasa za ukabila ni mbaya na mbovu sana kwa jamii ya kitanzania hasa kama mtu anayehubiri siasa hizo ni kijana...still we have a long ay to go kuhakikisha nchi yetu inajikomboa kutoka katika HUU UKOLONI MWEUSI...msitugawe kwa dini zetu, kabila zetu wala jinsia zetu.
Kwenye red umeonyesha udhaifu. Pinga ukabila, udini na ukanda kwa watanzania wote ikiwa kwa watoto, vijana, watu wazima, wazee, n.k. Ni hatari sana kwa rika lolote kwani wote wanaimpact sawa na mbaya kwenye jamii yetu.
Kwa Nape, hapa utakutana watu wengi wenye itikadi tofauti na ya kwako, kwa hiyo wanaangalia udhaifu fulani ili wakuseme baadala ya uimara wako. Katika siasa ndo maisha yenyewe, kwa hiyo songa mbele. Lakini fanyia kazi maelezo yote humu kwa ajili ya safari yako katika kisiasa na Chama.