Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

nape umekimbia! kuna hoja nyingi zimemwagwa hapa zinatakiwa kutolewa ufafanuzi hebu azima ujasiri wa Tabwe Hizza urudi bana utoe ufafanuzi. HAYA YA KUTELEKEZA MKE NA MTOTO YANA UKWELI? ukikaa kimya tutapigia mstari MH. katibu na itakuwa silaha tosha kwa maadui zako.
 
Nape umekuwa fisadi wa mawazo baada ya kupata cheo kikubwa zaidi. I thought you could bring strategic thinking in your party but you are not different from those old boys (Yusuph Makamba et al).

To support any registered party is not a crime but is another way of developing out loved country with different angle of view. Your party does not has left all its philosophy now has embarked in clinging in power.

You should work on winning peoples heart not forcing young Tanzanians to support your party. We are poor because of CCM, the country is in dark because of CCM.

Corruption on every sector because CCM wants it otherwise Khanga, monies in company would be enough to disqualify you etc. You should work on those not fighting with Chadema, its there by law why should you hate it.
 
Mtoto anafanya mapenzi ya baba yake! Tusameheni halijui alitendalo!
JK alipohubiri habari za udini alikuwa analenga chama gani?
 
Wachaga wooooooooooooooooooooote nashauri wahame ccm ili kumlindia heshima Nape Nnauye!
 
Kuna thread moja ya Jeykey, Nape alikua anajibu hoja,hajakana kwamba alisema ila hajatuambia alisema nini hasa,anasisitiza tukasome mwananchi la tarehe 18 kwani tumelinukuu vibaya,anataka kusema kuwa hajawagawa watz kwa makabila.Kwa kifupi ni kwamba kachemsha na uwezekano wa kunibadilisha mawazo ili nisihame CCM haupo kwani kauli ile imekera wengi na haivumiliki.
 
wahame serikalini....labda wengine tutapata kazi huko....waache kazi serikalini(TRA) labda tutapata kazi na sisi......n amadili yatapungua ...kwanza huomba rushwa bila aibu....tokeni mchana kweupe tokeni tutanufaika....!
Tafadhali isemee nafsi yako. Nani kakupa mamlaka ya kuwa msemaji wetu?
 
Kwenye Katiba Mpya Lazima kuwe na Sheria ya kuwakataa BIGOT's

1. Mtu yeyote atakaye hamasisha ubaguzi kwa Udini, Ukabila, Kiumbile n.k haruhusiwi kugombea Uongozi wowote Nchini; Anaweza kuishi Nchini lakini haruhusiwi kujuhusisha na Maandamano, Mikutano, habari na Uchochezi wa aina yoyote, anaruhusiwa kuishi kama raia wa Tanzania huru

2. Uhuru wa Habari ni nguzo lakini chuki haina nafasi yoyote nchini Tanzania

That will end some of them BIGOT's
 
Hapa ntaitwa mropokaji nk sababu bahati nzuri naijua.....si hii inayosingiziwa hapa.... Ndo maana naomba anayesema atoe uthibitisho huo...

Nape mimi nilisoma kwenye gazeti la mwananchi kuwa uliitisha kikao na waandishi wa habari pale ofisi ndogo ya chama chenu na ukajibu tuhuma zilizotolewa na Marando na kurudiwa na Slaa juu ya wewe kuwafuata CHADEMA na kuomba uteuliwe kugombea ubunge kupitia chama chao baada ya chama ulichopigana kukianzisha cha CCJ kushindwa kupata usajili.

Wewe ulikanusha habari zile kwa kusema kuwa Chadema ndio walikufuata nawe ukakataa kujiunga nacho kwa kuwa ni Chama Cha Ukoo na Chama cha wachaga. Kufuatia kauli yako hii gazeti la jana au juzi la mwanchi kulikuwa na taarifa ya Mzee Edwin Mtei kulaani kauli yako hii.
 
ni upungufu wa busara na hekima, na uwezo mdogo wa kujenga hoja kwa kiongozi kila kukicha kuhusisha vyama vya siasa na udini/ukabila. Hivi wachaga/wakristo waliopo cccm wajisikiaje? Nape did you utter those words while sobber or you were daydreaming? God forbid.
aje00
 
Unaanza kurusha mawe ukiwa ndani ya nyumba iliyojengwa kwa vioo tupu...
 
There are currently 40 users browsing this thread. (11 members and 29 guests)


I have waited weeeeeee for Nape to speak out but where!!!! Namwona tu hapa,lakini hasemi, nikamwomba chonde kaka ongea tuweke records straight, kimyaa. Labda ametingwa na majukumu ya kazi. Kazi nzito ile si kidogo! Simlaumu. Najua akirudi kwenye PC yake, atasema chochote. Ila nimechoka kuvumilia kwa sasa. Naondoka zangu! Bye che Nape! Chiku nyingine bach!
 
siasa za ukabila ni mbaya na mbovu sana kwa jamii ya kitanzania hasa kama mtu anayehubiri siasa hizo ni kijana...still we have a long ay to go kuhakikisha nchi yetu inajikomboa kutoka katika HUU UKOLONI MWEUSI...msitugawe kwa dini zetu, kabila zetu wala jinsia zetu.
 
Mkuu ni kweli ulitamka maneno haya "siwezi kwenda CHADEMA kwani mi mchaga..?" kama sivyo ulisema nini kuhusiana na hilo..? na kama ndivyo huoni kuwa kwa kusema hayo ulichochea hisia za ukabila...? ni hayo tu mkuu.

Nape, namuunga mkono MawazoMatatu.
 
CCM huwa hawna hoja jamani, siku zote wao hufanya taarabutu!
mipasho,kauli kama za nape ni mipasho.
nasema hivi kwa sababu no way anaweza kuziprove kua kweli, ila za kwake zinapruvika wrong.
 
siasa za ukabila ni mbaya na mbovu sana kwa jamii ya kitanzania hasa kama mtu anayehubiri siasa hizo ni kijana...still we have a long ay to go kuhakikisha nchi yetu inajikomboa kutoka katika HUU UKOLONI MWEUSI...msitugawe kwa dini zetu, kabila zetu wala jinsia zetu.

YES mkuu, sijawahi kusikia hata siku moja hawa wabunge vijana wa chadema akitumia ukabila kutafuta umaarufu kwenye majukwaa - Zitto, Mnyika, Lissu, Mdee na wengineo ni watu makini, na nafikiri endapo mtu ndani ya chadema atafanya hivyo basi pale pale atachukuliwa hatua za kinidhamu - kwa hili mwenzetu kateleza - akubali aombe msamaha tusonge mbele - Sisi sote ni ndugu na Tanzania ni Moja.
 
YES mkuu, sijawahi kusikia hata siku moja hawa wabunge vijana wa chadema akitumia ukabila kutafuta umaarufu kwenye majukwaa - Zitto, Mnyika, Lissu, Mdee na wengineo ni watu makini, na nafikiri endapo mtu ndani ya chadema atafanya hivyo basi pale pale atachukuliwa hatua za kinidhamu - kwa hili mwenzetu kateleza - akubali aombe msamaha tusonge mbele - Sisi sote ni ndugu na Tanzania ni Moja.

na ajue kuwa kuomba msamaha ni pamoja na kujiuzulu vyeo vyake vyote ukuu wa wilaya na hicho cheo cha uvuvuzela , hkitu ambacho not made in Tanzania
 
Naona nnauye imebidi utambae maana maswali unayosukumiwa magumu kujibu

Pole sana, Swali langu nalitunza
 
huyu angekuwa nchi za watu angekuwa ameshajiuzulu maana anahimiza hate...! ndo wana siasa tulionao Tanzania nathani ana uhakika kwamba yeye ni Mmakonde 100% kama mama yake alivyomuaminisha na si Mchagga au kabila lingine maana alifanya DNA test!
 
Back
Top Bottom