Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Hapa ntaitwa mropokaji nk sababu bahati nzuri naijua.....si hii inayosingiziwa hapa.... Ndo maana naomba anayesema atoe uthibitisho huo...
 
Jeykey toa mifano ya ushahidi wa chama kupoteza mvuto kulikosababishwa na Nape... Ukabila upi nilioeneza? Nimekuomba fanya utafiti kabla hujasema....

mkuuu thibitisha kauli yako ya cdm ni chama cha kichaga au ukanushe! kama haujafanya hivyo wewe uaenez ukabila nchini!
kumbuka tunasubili siku tisini ulizozisema!
 
Labda mm mshamba au sielewi. Hawa wanaosema hiki chama cha kabila fulani wana akili sawasawa kweli? Kuna chama kinachoongozwa na mtu asiye na kabila nchi hii. Kufilisika ni kufilisika tu. hawa ni mufilis wa kisiasa. Kuwapuuza pekee haitoshi wanafaa kukemewa ili wasipandikize mbegu mbaya katika taifa letu. Ingawa mm sio mchaga lakini Tanzania bila wachaga HAIWEZEKANI. M/kiti ccm tafadhali amka wakemee wa2 wako
 
Jeykey toa mifano ya ushahidi wa chama kupoteza mvuto kulikosababishwa na Nape... Ukabila upi nilioeneza? Nimekuomba fanya utafiti kabla hujasema....
Mkuu ni kweli ulitamka maneno haya "siwezi kwenda CHADEMA kwani mi mchaga..?" kama sivyo ulisema nini kuhusiana na hilo..? na kama ndivyo huoni kuwa kwa kusema hayo ulichochea hisia za ukabila...? ni hayo tu mkuu.
 
Hapa ntaitwa mropokaji nk sababu bahati nzuri naijua.....si hii inayosingiziwa hapa.... Ndo maana naomba anayesema atoe uthibitisho huo...

hata hivyo mkuu ukweli ni kuwa unabeba mzigo mzito sana kuzidi hata ule wa katibu wako punguza kidogo mkuu amasivyo utadondoka vibaya sana kisiasa! acha hata wenzio wafanye kazi wewe unamfunika katibu wako bana!
 
Hapa ntaitwa mropokaji nk sababu bahati nzuri naijua.....si hii inayosingiziwa hapa.... Ndo maana naomba anayesema atoe uthibitisho huo...

Sema bana! CDM ni chama cha Wachagga?? Acha kuzunguka zunguka.
 
Henge nakushukuru,lakini unahakika haikurekebishwa kwa kutoa ufafanuzi? Nenda kaangalie hata gazeti liloandika hiyo stori lilikuwa la mwananchi nadhani la tarehe 12 Mei na angalia la tarehe 18 Mei... Nashauri si vizuri kushutumu bila kuwa na hakika... Heshima ya JF ni kubwa mno ku accomodate haya.....
 
Henge ndugu yangu, mie naamini kwamba kila mtu anapaswa kutimiza wajibu wake,hapa natimiza wajibu wangu tu na niko hivyo kote nilikopita fuatilia historia ya utendaji kazi wngu na ndivyo nilivyofundishwa na babaangu,ukiamua kufanya kazi basi fanya kweli,ukiamua kupumzika basi pumzika kweli,huwa sijui unafiki
 
Jeykey toa mifano ya ushahidi wa chama kupoteza mvuto kulikosababishwa na Nape... Ukabila upi nilioeneza? Nimekuomba fanya utafiti kabla hujasema....
mfano ni huu:Makala ya mzee mwanakijiji ya CCM na UISLAM
Katika makala hii Mwanakijiji anaonesha ni kivipi wakristo wachukue tahadhari na move ya CCM.
Mwanakijiji backfire imetokana na kauli yako dhidi ya Wachagga.Uchambuzi wa mwanakijiji unaweza kushawishi CCM kuitwa chama cha Kiislam from now.
 
Henge ndugu yangu, mie naamini kwamba kila mtu anapaswa kutimiza wajibu wake,hapa natimiza wajibu wangu tu na niko hivyo kote nilikopita fuatilia historia ya utendaji kazi wngu na ndivyo nilivyofundishwa na babaangu,ukiamua kufanya kazi basi fanya kweli,ukiamua kupumzika basi pumzika kweli,huwa sijui unafiki

Hongera mkuu nategemea mafisadi kutoka ndani ya chama ukishindwa we hama chama hicho hakitakufaa tena hapa ni kwa maslahi ya nchi zaidi!
 
Kaka bora nimekukuta hapa mimi nina swali hil,
Historia inaonyesha walakini kwa watu wa CCM katika kusema ukweli mfano mwaka 2007 Dr.SLAA alipotaja risti ya mafisadi wengi wa watu wa CCM walisema hakuna mafisadi ndani ya CCM lakini leo ikiwa ni miaka mitatu tu jasho linawatoka huku mkijinadi kupambana na mafisadi Je,tutakuamini vipi kwamba hukuwasema vibaya wachaga au ni mmoja ya watu waliokuwa nyuma ya pazia la CCJ?
 
Kwa nini Nape usikiri mambo uliyoyasema mwenyewemajukwaani, kuwa mdomo ULITELEZA.
 
Henge ndugu yangu, mie naamini kwamba kila mtu anapaswa kutimiza wajibu wake,hapa natimiza wajibu wangu tu na niko hivyo kote nilikopita fuatilia historia ya utendaji kazi wngu na ndivyo nilivyofundishwa na babaangu,ukiamua kufanya kazi basi fanya kweli,ukiamua kupumzika basi pumzika kweli,huwa sijui unafiki
Nape kaka yangu kwanza kabisa niweke wazi mimi si muumini wa CCM kwa ujumla wake, bali ni MUUMINI wa CCM kabisa katika yote mazuri yanayotendwa na wakati mwingine najisemea rohoni Mwangu kwamba niko tayari kuwa muumini kamili wa CCM endapo juhudi za dhahiri kurekebisha pale watu wanapoteleza,.. nitatafuta namna yeyote unifahamu,..
tukiacha hayo Nape nakupongeza tu kwa Machache mazuri uliyoyafanya nami nikafanikiwa kuyafahamu kwa taifa hili changa lakini tuache swala la kutolea ufafanuzi, tuende kwenye kukiri kosa na kurekebisha bila ya woga wa kuonekana dhaifu ilihali una dhamira ya kweli ya kutumikia taifa...rekebisha ulipoteleza kisha songa mbele na kujijengea hali ya kutambua mchango wa mtu hata kama yuko tofauti na wewe kimtizamo... Uzuri mmoja ambao huwa naona ni vyema kuutumia ni kwamba Radhi ikombwa si lazima kungoja kusikia ndio kutoka kwa aliyeombwa,mara nyingi hujihitimisha yenyewe...kuna kuteleza kwa kila mwanadamu,...naamini hata nawe uliteleza katika Matamshi yako lakini usipokiri hivyo utazidi kunithibitishia uhakika wa matamshi kwamba hukuyanena kwa kuteleza...RADHI kwanza ufafanuzi baadae..
NOTE THT,...mie sio Mchaga na pia sio Mtetezi wa CDM
 
Kama kijana muungwana nakuomba tafadhali,hebu fanya hayo marekebisho ya kauli "yako" hapa. Nadhani si kosa kutokusoma gazeti. Na kwakuwa wewe ni mwenzetu humu ndani,huoni kuwa tunastahili kusikia kutoka kwako baada ya rabsha zoote hizi zilizosababishwa na ile kauli?
Wasalaam!
Henge nakushukuru,lakini unahakika haikurekebishwa kwa kutoa ufafanuzi? Nenda kaangalie hata gazeti liloandika hiyo stori lilikuwa la mwananchi nadhani la tarehe 12 Mei na angalia la tarehe 18 Mei... Nashauri si vizuri kushutumu bila kuwa na hakika... Heshima ya JF ni kubwa mno ku accomodate haya.....
 
Nape kaka yangu kwanza kabisa niweke wazi mimi si muumini wa CCM kwa ujumla wake, bali ni MUUMINI wa CCM kabisa katika yote mazuri yanayotendwa na wakati mwingine najisemea rohoni Mwangu kwamba niko tayari kuwa muumini kamili wa CCM endapo juhudi za dhahiri kurekebisha pale watu wanapoteleza,.. nitatafuta namna yeyote unifahamu,..
tukiacha hayo Nape nakupongeza tu kwa Machache mazuri uliyoyafanya nami nikafanikiwa kuyafahamu kwa taifa hili changa lakini tuache swala la kutolea ufafanuzi, tuende kwenye kukiri kosa na kurekebisha bila ya woga wa kuonekana dhaifu ilihali una dhamira ya kweli ya kutumikia taifa...rekebisha ulipoteleza kisha songa mbele na kujijengea hali ya kutambua mchango wa mtu hata kama yuko tofauti na wewe kimtizamo... Uzuri mmoja ambao huwa naona ni vyema kuutumia ni kwamba Radhi ikombwa si lazima kungoja kusikia ndio kutoka kwa aliyeombwa,mara nyingi hujihitimisha yenyewe...kuna kuteleza kwa kila mwanadamu,...naamini hata nawe uliteleza katika Matamshi yako lakini usipokiri hivyo utazidi kunithibitishia uhakika wa matamshi kwamba hukuyanena kwa kuteleza...RADHI kwanza ufafanuzi baadae..
NOTE THT,...mie sio Mchaga na pia sio Mtetezi wa CDM

Unamaanisha nini kwenye red mkuu! au ndo unakiri cdm na uchagga!
 
Back
Top Bottom