Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

wahame serikalini....labda wengine tutapata kazi huko....waache kazi serikalini(TRA) labda tutapata kazi na sisi......n amadili yatapungua ...kwanza huomba rushwa bila aibu....tokeni mchana kweupe tokeni tutanufaika....!
Wamesoma kaka na they are very competative ndio maana they are every where kafukuzeni na hao walioko muhimbili na UDSM
 
Nasubiri siku akienda moshi mjini kutangaza uenezi - sijui itakuwaje.
 
Wadau,kuiacha kauli ya katibu mwenezi wa CCM bwana Nape Nnauye ipite bila kukemewa na kuichunguza kwa kina,itakuja kuleta madhara makubwa sana huko baadae.Niwakumbushe wale ambao hawakumbuki alichosema kiongozi huyo mkubwa tuu katika chama tawala.Alisema kwamba hajawahi kutaka wala hatataka kujiunga na Chadema kwa kuwa yeye si mchagga.Hapa tujiulize maswali yafuatayo:
1.Je wote waliopo Chadema ni wachagga?
2.Wachagga tuliopo vyama vingine kama CCM tumepotea njia?
3.Vyama vingine si kwa ajili ya wachagga?
4.Makabila mengine yaliyopo Chadema nao waondoke?
Ingawaje mimi sio msemaji wa Wachagga,lakini binafsi kama mchagga ninachukizwa,kusikitishwa na kujiuliza weledi wa hawa wanasiasa uko wapi?
Kibaya zaidi hizi ni kauli za siku nyingi zinazotolewa na viongozi wa kisiasa hasa chama tawala wengine wakiwa na nyadhifa kubwa tuu serikalini.Tujiulize;Kwanini wasikipe onyo au kukifuta?
Katika kiswahili tunaambiwa kuwa lisemwalo lipo na kama halipo lipo nyuma laja.
Mimi nasema kama waliopewa mamlaka ya kusimamia vyama vya siasa na wanasiasa wasipochukulia kauli hizi kwa uzito unaostahili na kuchukua hatua mara moja kwenye haya mambo ya ukabila na udini;kuna siku WACHAGGA tutahama kutoka chama tawala na nyadhifa zetu serikalini na kuhamia CHADEMA ili falsafa yao ikamilike.

Didn't you know that chaggas are an edge above the rest?
 
Mtoto wa mama hajui kabila yake ndiyo maana anawaonea wivu watu wenye makabila yao.
 
nape ameingizwa choo cha kike. na kama jk akaondoka leo, nape naye atafute pa kutokea.

makamba na uropokaji wake wote, na propaganda zake zote alikuwa anajua kuchagua maneno linapokuja suala la chadema na wachaga.

anyways.

mimi ni msukuma lakini chadema mpaka kifo.

Achaneni na huyo vuvuzela anachemka sana.Asante jirani.
 
You can say Simply Nape is Stupid!! Nothing you can add!! Kwani kuwa Kabila fulani huna Haki kwenye Nchi Yako?? Kweli huyu Kijana anabomoa chama kwa mikono yake!!
 
Huyu jamaa aliniudhi sana na hii kauli yake ya kijinga (na msitiri, sisemi ya kishenzi au kipumbavu).

Hivi karne hii ya kusaka maendeleo kwa jasho na damu analeta kauli za kuleta maafa badala ya kuhubiri haki, usawa, upendo na maendeleo?

Nimeamua kumpuuza sana, ndio anachostahili.

"Nape, off you fall in my deepest dark dungeon where I never go"

Rubbish!!!!!!!!!!!
 
Wadau,kuiacha kauli ya katibu mwenezi wa CCM bwana Nape Nnauye ipite bila kukemewa na kuichunguza kwa kina,itakuja kuleta madhara makubwa sana huko baadae.Niwakumbushe wale ambao hawakumbuki alichosema kiongozi huyo mkubwa tuu katika chama tawala.Alisema kwamba hajawahi kutaka wala hatataka kujiunga na Chadema kwa kuwa yeye si mchagga.Hapa tujiulize maswali yafuatayo:
1.Je wote waliopo Chadema ni wachagga?
2.Wachagga tuliopo vyama vingine kama CCM tumepotea njia?
3.Vyama vingine si kwa ajili ya wachagga?
4.Makabila mengine yaliyopo Chadema nao waondoke?
Ingawaje mimi sio msemaji wa Wachagga,lakini binafsi kama mchagga ninachukizwa,kusikitishwa na kujiuliza weledi wa hawa wanasiasa uko wapi?
Kibaya zaidi hizi ni kauli za siku nyingi zinazotolewa na viongozi wa kisiasa hasa chama tawala wengine wakiwa na nyadhifa kubwa tuu serikalini.Tujiulize;Kwanini wasikipe onyo au kukifuta?
Katika kiswahili tunaambiwa kuwa lisemwalo lipo na kama halipo lipo nyuma laja.
Mimi nasema kama waliopewa mamlaka ya kusimamia vyama vya siasa na wanasiasa wasipochukulia kauli hizi kwa uzito unaostahili na kuchukua hatua mara moja kwenye haya mambo ya ukabila na udini;kuna siku WACHAGGA tutahama kutoka chama tawala na nyadhifa zetu serikalini na kuhamia CHADEMA ili falsafa yao ikamilike.

Ni kweli, huyu Nape inabidi adhibiwe. Kuna wachagga wengi wameshikilia nafasi nyeti kwenye hii serikali na sio wanachama wa CHADEMA.
 
Jeykey,
Ni vizuri kuwa na hakika kwanza na jambo kabla hujamshutumu mtu.Nape kapanda najukwaani!!!!!!! Si busara kueneza uongo au kwakuwa nimekaa kimya bila majibu kwa hoja hii???? Fanya utafiti uwe na haki ya kushutumu. Kwa hili nakusamehe kwani hujui utendalo.
 
huwezi kunisamee mimi samehe chama chetu mana kinazidi kupoteza mvuto kadrio siku zivyoenda
hacha kueneza ukabila unawagawa watanzania
 
Didn't you know that chaggas are an edge above the rest?

Kama Exim Bank? Angalieni tu msije mkaivuruga CHADEMA yetu. Kelele zinazopigwa kutoka ndani na nje ya chama hiki pendwa kwa sasa nchini juu ya Uchagga uliomo humo zisiwe za mlangoni tu. Moja ya mambo yaliyommaliza Mh Mrema ni kupendwa zaidi na kabila lake ingawa WATANZANIA tulimpenda pia. Kuna watoto wa shule ya msingi kule Bunda wamemsalimia mama Salma kwa alama ya vidole viwili. Akakereka. Akamtazama DC wa Bunda. Kisha akawauliza kama ndivyo wanavyofundishwa? Wanafunzi wakamjibu ndioooo!
 
Huyu ameteuliwa awe mlopokaji wa chama chake tu.Kila mtu ana haki ya kuchagua kujiunga na CHAMA chochote anachokpenda ambacho anaona kinamfaa na chenye dira na mwelekeo mzuri.CHADEMA kuna watu wa makabila mbalimbali,kawni ccm hakuna wachaga?
 
Jeykey toa mifano ya ushahidi wa chama kupoteza mvuto kulikosababishwa na Nape... Ukabila upi nilioeneza? Nimekuomba fanya utafiti kabla hujasema....
 
Jeykey,
Ni vizuri kuwa na hakika kwanza na jambo kabla hujamshutumu mtu.Nape kapanda najukwaani!!!!!!! Si busara kueneza uongo au kwakuwa nimekaa kimya bila majibu kwa hoja hii???? Fanya utafiti uwe na haki ya kushutumu. Kwa hili nakusamehe kwani hujui utendalo.
Mkuu tunashukuru umejitokeza humu janvini kwanza karibu sana!
but kauli uliyoitoa mkuu haikuwa nzuri na mbona hujakanusha sasa umetuacha njia panda bwana mimi mwenyewe naungana na jeykey, acha propaganda za ukabila mkuu!
 
Back
Top Bottom