Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

ngoja tuendelee kuku updates ili na wewe ukikutana na haya mambo usije ukashangaa kumbe ndio hali halisi
Nimesikia taarifa ya habari Clouds FM asubuhi ya kwamba Mama Salma Kikwete alisalimiwa na wanafunzi kwa ishara ya vidole viwili na wanafunzi wa primary.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, tukio lilifanyika wakati wa ufunguzi wa madarasa mawili na ugawaji wa madawati katika shule hiyo (Wilayani Bunda kama sijakosei).

Baada ya salamu hiyo 1st Lady alimgeukia mkuu wa wilaya na kumwabia hivi ndivyo mnavyowafundisha watoto hawa.

Hii imekaaje wadau, ina maana watoto nao ni Chadema damu au wamefundishwa na waalimu wao kufanya hivyo.
 
Jamani mwacheni katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi(aka ccm) aendelee na propaganda za chama chetu cha mafisadi maana kimejivua magamba kwa kutoka mropokaji na kuingia mropokaji.
 
Hapa ntaitwa mropokaji nk sababu bahati nzuri naijua.....si hii inayosingiziwa hapa.... Ndo maana naomba anayesema atoe uthibitisho huo...

Uthibitisho gani unaotaka wewe nape wewe?
Haya uliyosema facebook una uhakika nayo?
unao uthibitisho?
au ndo jadi ya ccm kusema msicho tenda?

naku-quote
"HIVI INAHITAJI DEGREE NGAPI KUJUA KWAMBA UKIENDA
KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUNA DOCUMENT
HALALI INAYOONYESHA WAANZILISHI WA KILA CHAMA IKIWEMO CCJ?
KAMLIPIENI KODI PADRI ALIYEASI KWANZA"

Padri gani aliye asi?
anadaiwa kodi na nani?
unajua nini kuhusu kuacha kwake updari?

Henge nakushukuru,lakini unahakika haikurekebishwa kwa kutoa ufafanuzi? Nenda kaangalie hata gazeti liloandika hiyo stori lilikuwa la mwananchi nadhani la tarehe 12 Mei na angalia la tarehe 18 Mei... Nashauri si vizuri kushutumu bila kuwa na hakika... Heshima ya JF ni kubwa mno ku accomodate haya.....

Nape leo uko JF una isifia kweli?
mbona unafiki hivo?
mbona ukiwa nje ya JF una ipondea mda wote?

naku-quote
"HAKIKA CHANDIMU NA JF WAO
WAMECHANGANYIKIWA
SANA....hahahaaa
MPAKA WANACHONGA PICHA KUHALALISHA UONGO WAO?
......DAWA YA DENI KULIPA JAMANI...
KALIPIENI KODI YA BOSS WENU"
walio changanyikiwa JF ni kina nani?
members?
na wewe ni member so umechanganyikiwa?
au kwakua ulikua/umechanganyikiwa ndo maana ukasema
chadema ni ya wachaga?

Kama sio wanachama una maanisha moderators ndo vichaa?
Nape kua banaaaaaaa!!!!

Mbona haukua hivo huko nyuma?
 
Jamani mwacheni katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi(aka ccm) aendelee na propaganda za chama chetu cha mafisadi maana kimejivua magamba kwa kutoka mropokaji na kuingia mropokaji.

hatuwezi kuacha jambo hili hivi hivi - kauli hiyo ni hatari sana kwa usalama wa taifa - tunaomba mweshimiwa aombe radhi WACHAGGA wote na CHADEMA kwa ujumla.
 
Uthibitisho gani unaotaka wewe nape wewe?
Haya uliyosema facebook una uhakika nayo?
unao uthibitisho?
au ndo jadi ya ccm kusema msicho tenda?

naku-quote
"HIVI INAHITAJI DEGREE NGAPI KUJUA KWAMBA UKIENDA
KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUNA DOCUMENT
HALALI INAYOONYESHA WAANZILISHI WA KILA CHAMA IKIWEMO CCJ?
KAMLIPIENI KODI PADRI ALIYEASI KWANZA"

Padri gani aliye asi?
anadaiwa kodi na nani?
unajua nini kuhusu kuacha kwake updari?

Nape leo uko JF una isifia kweli?
mbona unafiki hivo?
mbona ukiwa nje ya JF una ipondea mda wote?

naku-quote
"HAKIKA CHANDIMU NA JF WAO
WAMECHANGANYIKIWA SANA....hahahaaa
MPAKA WANACHONGA PICHA KUHALALISHA UONGO WAO?
......DAWA YA DENI KULIPA JAMANI...
KALIPIENI KODI YA BOSS WENU"
walio changanyikiwa JF ni kina nani?
members?
na wewe ni member so umechanganyikiwa?
au kwakua ulikua/umechanganyikiwa ndo maana ukasema
chadema ni ya wachaga?

Kama sio wanachama una maanisha moderators ndo vichaa?
Nape kua banaaaaaaa!!!!

Mbona haukua hivo huko nyuma?
mkuu speaker utasababisha tuanze kukuchukia, wewe huoni haya maswali yako yatasababisha taulo limruke mtu? sasa wewe jamaa limsumari kama hili mtu atatokaje?
 
Usisingizie mzee Mnauye ndie aliyekufundisha siasa zako ukabila.OMBA RADHI YAISHE Mzee wawatu alikuwa mtu wa makabila yote hata hao wachaga alikuwa rafiki zake

watu wanafanya madudu kwa majina ya babazao,...
Hivi ni lini mtaanza kufanya mazuri kwa jina la Mungu?
wengine wazazi wetu hawakua/sio mabosi au matajiri lakini siwezi kufanya
kitu kisa "baba alisema"!!!
ops,ko mtoto wako nae ajivunie babu?
fanya kitu basi na watoto wako waje kusema "baba alisema"!

Unadhani watakuja jivunia baba alisema tusijichanganye na wachaga?
 
Henge ndugu yangu, mie naamini kwamba kila mtu anapaswa kutimiza wajibu wake,hapa natimiza wajibu wangu tu na niko hivyo kote nilikopita fuatilia historia ya utendaji kazi wngu na ndivyo nilivyofundishwa na babaangu,ukiamua kufanya kazi basi fanya kweli,ukiamua kupumzika basi pumzika kweli,huwa sijui unafiki

Sema unacho fanya na fanya unacho sema!
 
Nape subiri uvuliwe ngozi na hao unaowaita mafisadi mkuu wa kaya mwenyewe anawagwaya utaweza?
 
Jeykey,
Ni vizuri kuwa na hakika kwanza na jambo kabla hujamshutumu mtu.Nape kapanda najukwaani!!!!!!! Si busara kueneza uongo au kwakuwa nimekaa kimya bila majibu kwa hoja hii???? Fanya utafiti uwe na haki ya kushutumu. Kwa hili nakusamehe kwani hujui utendalo.

Oh karibu sana Jr.....mimi najua wewe huna kabila baba(mmakonde) mama(msukuma)...so dont worry...wewe ni Mtanzania...ila ni CCM
 
Hivi huyu Nape na chama chao cha magamba hivi ni kweli hawayajui madhara ya SUMU wanayo itengeneza?
Hiv Chama kilichopo madarakani na kwaimani yangu ndicho chama kilichopambana na mfumo wa kibaguzi kwa namna yoyote ya Udini,Ukabila,Ukanda,Jinsia hata ukamilifu kimaumbile chini ya muasisi wa Chama Baba wa Taifa Mwl_ J.K. Nyerere leo chini ya rais Jakaya Mrisho Kikwete kinapofikia hatua za kukirejesha tena walicho kipinga nakuamua kuyakumbatia yale waliyokua wanapipigia kelele hasa nini lengo lao?
Je! nidalili ya kufirisika kisera na kimkakati?
Je! niurafi wa madalaka na kupoteza thamani ya UTAIFA mioyoni mwao?
Sitaki kuamini kama hawayajui madhara ya wanachokifanya Je! kama wanayajua nini malengo ya dhamira zao?
Hivi kikwete pamoja na kuwa waziri wa mambo ya nje na ushikiano wa kimataifa ni kweli hana alilo jifunza huko kisiasa au hata kijamii?na kama lipo mbona hachukui hatua zozote zaidi ya kuzidi kuongeza vilaza na vyeo vya shukrani kwenye serikali yake?Hebu tujiulize kiutu uzima Hivi Nape anadhani yeye yuko na akili mingi hata kuwazidi watanzania wenye mapenzi mema walio jiunga na CHADEMA?
Hivi kilichomfanya Mwenyekiti wake apatwe na ule ugonjwa wakuanguka ni wachaga eeenh!!!?
Hivi walio mshushia ule ushindi mwenyewe aliuita wakimbunga ni WACHAGA eeennnh?
CCM JIFUNZENI KUENDESHA SIASA ZINAZOENDA NA WAKATI SIO MNAKUWA WATU WA KUBWABWAJA TU.
 
Naona umechoka kujibu,ila nimalizie kwa kuku karibisha kwetu Tarime,..
jamaa mukama wa ajabu kweli,tume msubiri katu yeyusha labda kwa kua kazeeeka
na hana nguvu,njoo bana tujenge chama huku!

Ila:Usije umevaa magamba (green/yellow) huku yana tuharibu macho maana
tuna aleji nayo,....

KARIBHU SANA
 
Lipi nililoropoka? Si kwamba nachungulia mie mwanachama humu hata kabla yako
Sasa mbona hukukanusha ripoti ya Mukama iliyosema JF ni ya Chadema kumbe na we umo? au ulijiunga wakti ule unapanga kugombea Ubunge kupitia CDM tehe, tehe nakutania mjomba
 
Naona umechoka kujibu,ila nimalizie kwa kuku karibisha kwetu Tarime,..
jamaa mukama wa ajabu kweli,tume msubiri katu yeyusha labda kwa kua kazeeeka
na hana nguvu,njoo bana tujenge chama huku!

Ila:Usije umevaa magamba (green/yellow) huku yana tuharibu macho maana
tuna aleji nayo,....

KARIBHU SANA
mimi namkaribisah kwetu kishimundu , home ndio maskani asisite kuja kututembelea
na hii alama hapo down utakutana nayo sana so dont scare !! sisi ni wamoja japo mifukoni tunatofautiana umeme wa mgao,foleni,shule za kata ni kwa ajili yetu na si wao, hizi zote ni sera za ccm .
 
Wewe ni mkabila
Ukabila ni mwiba kwa taifa
Kama hauna cha kusema kwenye majukwaa ni bora ufunge mdomo wako.
 
Hapa ntaitwa mropokaji nk sababu bahati nzuri naijua.....si hii inayosingiziwa hapa.... Ndo maana naomba anayesema atoe uthibitisho huo...

Tatizo lako Nape ndugu yangu, Ulikurupuka mno pale tu ulipoteuliwa katika hiyo post yako. Ukawa unazungumza mengi ikiwamo hata yale ambayo hayakukubaliana kwenye vikao kwa nia tu ya kulipiza visasi kwa wabaya wako akiwemo Lowasa ambae mlikosana kipindi kile ulipomtuhumu kuwa ana fisidi jengo la umoja wa vijana Morogoro road kitu kilichokupelekea kupoteza mvuto kisiasa na kutimuliwa kugombea Uenyekiti wa UVCCM.

Baada ya kupata tu hayo madaraka ukaona hapo ndipo umepata silaha ya kulipiza kisasi kwa wale wote waliotaka kukupoteza kisiasa.

Sasa wakati unapambana na hao ambao hata viongozi wako wa juu wanawagwaya, ukaingizwa kwenye mtego na wewe kichwa kichwa ukaingia kwenye kumi na nane za Pipoooooz!!!! Pawaaa!!!!.

Sasa hapa ni kama tu upo kwa kinyozi. Tulia unyolewe.

Wenzio akina Lowasa saa hizi wanapiga mruzi tu wakikuenjoy.

Siku nyingine, usipende anzisha vita kabla hujaimaliza iliyopo mbele yako. Kwani umeshagawanya nguvu vibaya sana!! Sasa unapigwa Mbele na Nyuma!
 
Hivi huyu Nape na chama chao cha magamba hivi ni kweli hawayajui madhara ya SUMU wanayo itengeneza?
Hiv Chama kilichopo madarakani na kwaimani yangu ndicho chama kilichopambana na mfumo wa kibaguzi kwa namna yoyote ya Udini,Ukabila,Ukanda,Jinsia hata ukamilifu kimaumbile chini ya muasisi wa Chama Baba wa Taifa Mwl_ J.K. Nyerere leo chini ya rais Jakaya Mrisho Kikwete kinapofikia hatua za kukirejesha tena walicho kipinga nakuamua kuyakumbatia yale waliyokua wanapipigia kelele hasa nini lengo lao?
Je! nidalili ya kufirisika kisera na kimkakati?
Je! niurafi wa madalaka na kupoteza thamani ya UTAIFA mioyoni mwao?
Sitaki kuamini kama hawayajui madhara ya wanachokifanya Je! kama wanayajua nini malengo ya dhamira zao?
Hivi kikwete pamoja na kuwa waziri wa mambo ya nje na ushikiano wa kimataifa ni kweli hana alilo jifunza huko kisiasa au hata kijamii?na kama lipo mbona hachukui hatua zozote zaidi ya kuzidi kuongeza vilaza na vyeo vya shukrani kwenye serikali yake?Hebu tujiulize kiutu uzima Hivi Nape anadhani yeye yuko na akili mingi hata kuwazidi watanzania wenye mapenzi mema walio jiunga na CHADEMA?
Hivi kilichomfanya Mwenyekiti wake apatwe na ule ugonjwa wakuanguka ni wachaga eeenh!!!?
Hivi walio mshushia ule ushindi mwenyewe aliuita wakimbunga ni WACHAGA eeennnh?
CCM JIFUNZENI KUENDESHA SIASA ZINAZOENDA NA WAKATI SIO MNAKUWA WATU WA KUBWABWAJA TU.

Mkuu Criss,hizo ni propaganda wazotumia ili kutupotezea muda wa kujadili maswala ya maana badala yake tuone kuna kundi fulani linataka kuwatenganisha watanzania kwa tofauti zao za kiitikadi na kikabila.Ila mimi nasema mwenye macho aambiwi tazama.Watanzania wa leo hawadanganyiki.
 
mimi nilimpigia simu nikamueleza ukiwa kiongozi chunga sana kauli zako lasivyo utakuwa kama mapuli sasa unaongeza maadui hata mwenyekiti wake anazungumzia udini lakini hawezi kuthubutu kutamka kuwa chadema ni ya dini fulani.
ila dogo HQ yake iko shallow kulingana na kazi aliyopewa

Kipaji chake kuropoka na hapindi kutumia washauri wake, anafikiri yeye ni zaidi ya MUKAMA!
 
Jeykey,
Ni vizuri kuwa na hakika kwanza na jambo kabla hujamshutumu mtu.Nape kapanda najukwaani!!!!!!! Si busara kueneza uongo au kwakuwa nimekaa kimya bila majibu kwa hoja hii???? Fanya utafiti uwe na haki ya kushutumu. Kwa hili nakusamehe kwani hujui utendalo.

Nyerere reflected on tribalism, ukiona mtu anasimama na kuzumgumzia ukabila ujue yeye ni mkabila namba moja. Wewe Nape umejuaje kuwa CDM ni ya wachagaa?

Ni nini kinakufanya wewe uhisi kuwa wewe si mchaga na wale ni wachagaa? ukiona kila wakati una hisia za ukabila na udini ujue uko kwenye karne ya 2. Ukabila na udini ndo kiwango cha chini kabisa cha watu wenye upeo mdogo.

Watu wenye upeo mdogo hushambulia wenzao kwa kuhisi kuwa matatizo yaliyoko yamesababishswa na makabila fulani au dini fulani. Wakikosa majibu ya maswala mazito hugeukia uchawi.
 
Dogo huyu bwana ni Kihiyo sana! Amemtesa sana dada wa watu, vipigo na mwishowe kamtelekeza kabisa na mtoto wa kuzaa mwenyewe!

Labda na yeye alitelekezwa.....si mtoto wa nje huyu? Yule mama yake wa kambo si alishasema si mwanawe wala wa mumewe?
 
mimi mzigua naipenda chadema, lazima tumkemee kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom