jeykey,acha kujivisha uhusika usio kufaa,angalia michango yako mara jenga chama chenu,mara jenga chama chetu,sasa w
w uko wapi? Nape alikuwa na kila sababu ya kusema cdm ni chama cha kichaga kwan uongo? Watanzania weng wanajua hivyo toka mlipomzuia Zitto kugombea uenyekiti kwa sababu zisizojulikana,sasa unamtisha nan eti wachaga mmezaa na kabila nying,ni kabila gan ambalo halijazaa na kabila nying? Chadema achen ubabaishaji ktk mising ya ukweli,Unaleta uongo usio na msing et
crap
Mimi Nawashauri CDM wasichukue Muda Mwingi kushindana na Nape. CDM ina nguvu ya Umma Nyuma yake na yeyote anayeenda Kinyume na CDM anaenda Kinyume na Nguvu ya Umma na Nguvu ya Umma hakika Itamhukumu
Sipendi ila Natabiri Nape Kupopolewa na Mawe kwa Baadhi ya Maeneo
Tuletee full list ya Kamati Kuu na Baraza Kuu tulinganishe. Hawa ndo haswa wenye CHAMA na wenye maamuzi ya mwisho, si sekretarieti. Sekretariet ni vijana wa kazi wanaofanya kazi walizotumwa na bosi ambaye ni KAMATI KUU na BARAZA KUU.
BADO DAMU YA UCHAGA INANUKA NDANI YA CHADEMA.
Always huyu Mzee Wa Hoja ni mshabiki sana wa hoja za MS, regardless ya content!.....Always!Samahani. nimechungulia website ya gazeti la mwananchi katika sehemu za comment zikiipinga cdm na wafausi wake nimekutana na ujumbe tembelea, "malariasugu2011.blogspot.com" kwa kuwa jf ni kisima cha hoja na uhuru wa mawazo, na mimi sikufungwa na mawazo mgando nilitembelea na kuona maandishi Eti NAPE NI KIBOKO CHA CHADEMA.
Nimejaribu kutafakari kwa kina, licha ya jamaa yule kuwa shabiki wa CCM humu jf lkn nimejaribu kujiuliza.
Jee kweli nape ni kiboko wa chadema?(kasoro zako na malaria sugu ziweke pembeni. jadili hoja, jf sio ya kushambuliana
i)licha ya kashfa ya ccj kutibuliwa na CDM lkn bado mzee anakwenda mbele
2)kuwania ubunge wa tiketi ya ubungo. mzee anashuka kwa kasi.
3) Anagombanisha Jk na wasaidi wake.
4)Fisadi.lkn bado umati watu unamsogelea.
Nani asivyoayajua Magamba kwa kukodi malori kusomba wajumbe wa nyumba 10 ili kuhudhuria mikutano? Nape anatakiwa aongelee namna ya kutatua matatizo ya nchi yetu kama vile mfumko wa bei, sakata la mgao wa umeme, ufisadi, nk! Badala yake amekuwa anatarget watu binafsi kama akina RA, Slaa, nk! Siasa za kutarget watu binafsi huwa hazidumu muda mrefu! Mrema mara nyingi akiongea alikuwa anajisifu jinsi alivyokamata dhahahabu pale Airport! Matokeo yake alishazoeleka na hana jipya! Kwa upande wa Nepi sidhani kama ana jipya zaidi ya propaganda feki za kujivua gamba!Samahani. nimechungulia website ya gazeti la mwananchi katika sehemu za comment zikiipinga cdm na wafausi wake nimekutana na ujumbe tembelea, "malariasugu2011.blogspot.com" kwa kuwa jf ni kisima cha hoja na uhuru wa mawazo, na mimi sikufungwa na mawazo mgando nilitembelea na kuona maandishi Eti NAPE NI KIBOKO CHA CHADEMA.Nimejaribu kutafakari kwa kina, licha ya jamaa yule kuwa shabiki wa CCM humu jf lkn nimejaribu kujiuliza. Jee kweli nape ni kiboko wa chadema?(kasoro zako na malaria sugu ziweke pembeni. jadili hoja, jf sio ya kushambulianai)licha ya kashfa ya ccj kutibuliwa na CDM lkn bado mzee anakwenda mbele2)kuwania ubunge wa tiketi ya ubungo. mzee anashuka kwa kasi.3) Anagombanisha Jk na wasaidi wake. 4)Fisadi.lkn bado umati watu unamsogelea.
Samahani. nimechungulia website ya gazeti la mwananchi katika sehemu za comment zikiipinga cdm na wafausi wake nimekutana na ujumbe tembelea, "malariasugu2011.blogspot.com" kwa kuwa jf ni kisima cha hoja na uhuru wa mawazo, na mimi sikufungwa na mawazo mgando nilitembelea na kuona maandishi Eti NAPE NI KIBOKO CHA CHADEMA.
Nimejaribu kutafakari kwa kina, licha ya jamaa yule kuwa shabiki wa CCM humu jf lkn nimejaribu kujiuliza.
Jee kweli nape ni kiboko wa chadema?(kasoro zako na malaria sugu ziweke pembeni. jadili hoja, jf sio ya kushambuliana
i)licha ya kashfa ya ccj kutibuliwa na CDM lkn bado mzee anakwenda mbele
2)kuwania ubunge wa tiketi ya ubungo. mzee anashuka kwa kasi.
3) Anagombanisha Jk na wasaidi wake.
4)Fisadi.lkn bado umati watu unamsogelea.
WANAJAMVI,poleni kwa majukumu ya kila siku ya kujikwamua kimaisha na kulijenga taifa letu ,kumekuwa na mijadala ya mipana ya kisiasa hapa nchini na baadhi ya mijadala mingine imekuwa ikinikera sana haswa kwa baadhi ya wanasiasa uchwara (gutter politicians) kwa kuwaona wachaga wote wapo chadema na hivyo unapozungumzia chadema humtengi mchaga napata shida kwasababu mimi ni mwanaccm damu damu tangu nikiwa mtoto nimeingia ccm nikiwa mwanaskauti sasa ni mtu mzima nipo ccm bado,sasa jinsi watu wanavyolisema hili kabila langu vibaya kwa wale waliopo vyama vingine kama kina mbowe,lema,john mrema,komu n.k napata shida kwamba sisi wachaga tuliopo huku ccm tupo kimakosa tumekuja kwenye kabila gani,je ccm ni chama cha kabila gani naomba mnisaidie
Kwa jinsi mlivyo wabaguzi nyie wakina Mangi walahi nipo radhi hata kupigana vita ili tu Mchaga asiingie Ikulu. Badilikeni bwana Ubaguzi mmezidi.
Kwenye hiyo orodha ya wachaga ongeza Henry Kilewo,Owenya,Kiwhelu,ndesamburo,munishi,masawe,mama ngodo mbunge viti maalum etc