tupieni picha hata za kuungaunga basi!
kwa jinsi mlivyo wabishi hata nikiweka picha hapa hamtaamini, subirini muone wenyew kwenye news TBC
tupieni picha hata za kuungaunga basi!
Before nilidhania ni mwanasiasa lakini sasa nimegundua wewe na wema sepetu afadhali ya wema sepetu kuliko Wiliam malecela kuwa kiongozi, kiongozi unaona sifa kuwekwa kwenye udaku na mademu. na kwa nini upige picha nyingi na mademu,? au kuna kitu unaficha unaogopa usipoonekana na mademu watu watadhani vinginevyo???
Inatia moyo sana!...
Leo mji wa Kigoma umepambwa na shamrashamra za mkutano wa CCM, maeneo yote ya mji kuna makundi makubwa ya watu wanaoelekea viwanja vya Mwanga Community Center, barabara zote zimefungwa kutokana na makundi makubwa ya watu kutoka maeneo ya Mlole, Mwandiga, Mji Mwema, Ujiji n.k
Kuna taarifa kwamba baadhi ya madiwani wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2010 leo wanarudisha kadi za chama hicho dhaifu na kujiunga na chama dume CCM
Kwa mwendo huu inabidi CHADEMA mjipange sana mwaka huu, wananchi wameshawachoka, na propaganda zenu za kujisingizia kuuwawa
More updates & pics. to come, niko kwa MAMA NTILIE hapa Kwa Bella namalizia kula

Sasa mkutano ndio unaisha, watu wengi wamerudisha kadi za CHADEMA na kuchukua za CCM
W.J MALECELA sio kijana na sio mzee, yuko rika la kati
Inatia moyo sana!...
Leo mji wa Kigoma umepambwa na shamrashamra za mkutano wa CCM, maeneo
yote ya mji kuna makundi makubwa ya watu wanaoelekea viwanja vya Mwanga
Community Center, barabara zote zimefungwa kutokana na makundi makubwa
ya watu kutoka maeneo ya Mlole, Mwandiga, Mji Mwema, Ujiji n.k
Kuna taarifa kwamba baadhi ya madiwani wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea
wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2010 leo wanarudisha kadi za
chama hicho dhaifu na kujiunga na chama dume CCM
Kwa mwendo huu inabidi CHADEMA mjipange sana mwaka huu, wananchi
wameshawachoka, na propaganda zenu za kujisingizia kuuwawa
More updates & pics. to come, niko kwa MAMA NTILIE hapa Kwa Bella
namalizia kula
Adobe photoshop. Kawadanganye magamba wenzio.
kwa jinsi mlivyo wabishi hata nikiweka picha hapa hamtaamini, subirini muone wenyew kwenye news TBC
Ha, ha, ha! juzi walifunika Rufiji. Leo wanafunika Kigoma. Siku zote hizi walikuwa wapi?
Acha uzandiki kijana mbona kimya wa2 ni wachache na chakushangaza walikua waanze kuhu2bia saa sita mchana mpaka naondoka mkutanoni saa nane na nusu bado hawajaanza kuhu2bia kuwa muwazi..
Kuhusu kufungwa kwa barabara hakuna ki2 kama icho cha kushangaza ni hata njia ya kwenda kigoma mjini ni nyeupe ambapo 2litarajia ya kwamba kutafurika wa2 kutokana na kuwa na office za ccm ila hali ni tofauti na ilivyotarajiwa tafuta..
2achie kigoma ye2 kama ww c wa huku 2naona wenyewe kinachoendelea hapa mkutanoni natafuta picha niziweke hapa kwa more update soon

hahaha, kaka nicas umeiona hiyo kitu?