Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
Aisee Janjaweed umeniwahi nguli mwenzangu...
Jamaa itakuwa anawashwa washwa
Mkuu kuna usemi usemao "vya mlevi huliwa na mgema"....
Mkigoma kalewa na sasa vyake vyaliwa na wagema
Aisee Janjaweed umeniwahi nguli mwenzangu...
Jamaa itakuwa anawashwa washwa
picha mtapata kupitia TBC news
Wakuu nipeni muda kidogo ntazirusha picha za mkutano wa leo ili muone vijana wa NAPE walivyo waongo,kwanza hakuna hata mwanachama wa chama chochote ambae amerudisha kadi na lingine watu walokuja hapa wametoka maeneo ya Katonga,Gungu,Ujiji,Mwandiga,Luiche ni aibu kwa mkutano wa leo na zaidi haukua mkutano wa kuelezea sera zao isipokua kuponda wapinzani hasa cdm,kwa hyo ndiohakuna lolote la maana,ngoja najitahidi kuzirusha muone wenyewe!
Acha longo longo...weka picha hapawewe hukuwepo kwenye mkutano, mbona sikukuona
Weka picha au ndio mnaziedit kwanza mtuwekee kesho asubuhi ?picha mtapata kupitia TBC news
adobe photoshop. Kawadanganye magamba wenzio.
​kama ni kuna lofa anayemzidi wiliam malecela basi hakuna maana ya lofa hili jamaa nina wasiwasi na uhalisia wa jina lake
Inatia moyo sana!...
Leo mji wa Kigoma umepambwa na shamrashamra za mkutano wa CCM, maeneo yote ya mji kuna makundi makubwa ya watu wanaoelekea viwanja vya Mwanga Community Center, barabara zote zimefungwa kutokana na makundi makubwa ya watu kutoka maeneo ya Mlole, Mwandiga, Mji Mwema, Ujiji n.k
Kuna taarifa kwamba baadhi ya madiwani wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2010 leo wanarudisha kadi za chama hicho dhaifu na kujiunga na chama dume CCM
Kwa mwendo huu inabidi CHADEMA mjipange sana mwaka huu, wananchi wameshawachoka, na propaganda zenu za kujisingizia kuuwawa
More updates & pics. to come, niko kwa MAMA NTILIE hapa Kwa Bella namalizia kula