Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,055
- 6,777
Ccm hawana uwezo
wa kutuma picha zaidi ya kuchakachua SMS
wa kutuma picha zaidi ya kuchakachua SMS
nafikiri mkutano wa Nape umefana sana tunaomba na picha za wana kigoma walivyofurika ccm oyeeUkweli husemwa:
Sunday, July 22, 2012
*NAPE ATUA KIGOMA, KUUNGURUMA UWANJA WA COMMUNITY CETRE MWANGA MCHANA HUU
![]()
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kipampa mkoani Kigoma leo kwa ajili ya mkutano wa hadhara utakaofanyika kwenye Uwanja wa Comunity Centre, Mwanga mkoani humo. Kushoto ni Mbunge wa Kigoma mjini, Peter Serukamba.Picha zote na Bashir Nkoromo
![]()
Nape akiwasilimia viongozi wa CCM waliompokea Uwanja wa Ndege wa Kipampa, Kigoma leo.
![]()
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akishiriki na vijana kucheza ngoma ya Kasimbo ya mkoa wa Kigoma, baada ya kuwasili Uwanja wa Kipampa mkoani humo, leo.
![]()
Waendesha pikipiki wakiongoza msafara wa Nape kutoka uwanja wa Ndege wa Kipampa mkoani Kigoma leo.
Picha kwa hisani ya: MUHIDIN SUFIAN
Yetu macho na masikio
kwa jinsi mlivyo wabishi hata nikiweka picha hapa hamtaamini, subirini muone wenyew kwenye news TBC
CCM DUME? wewe jike! uwe na adabu kwa dume lako maana litaendelea kukufanyizia mpaka upate mimba ya utapiamlo!!
Hiyo kauli aliitumia lusinde arumelu mashariki wakati wakampeni.lkn alie olewa alietiwa mimba aliejifungua anajulikana.
Acha uzandiki kijana mbona kimya wa2 ni wachache na chakushangaza walikua waanze kuhu2bia saa sita mchana mpaka naondoka mkutanoni saa nane na nusu bado hawajaanza kuhu2bia kuwa muwazi..
Kuhusu kufungwa kwa barabara hakuna ki2 kama icho cha kushangaza ni hata njia ya kwenda kigoma mjini ni nyeupe ambapo 2litarajia ya kwamba kutafurika wa2 kutokana na kuwa na office za ccm ila hali ni tofauti na ilivyotarajiwa tafuta..
2achie kigoma ye2 kama ww c wa huku 2naona wenyewe kinachoendelea hapa mkutanoni natafuta picha niziweke hapa kwa more update soon[/QU bora umetujuza ukweli maana huyo **** alianza kutuzingua
Inatia moyo sana!...
Leo mji wa Kigoma umepambwa na shamrashamra za mkutano wa CCM, maeneo yote ya mji kuna makundi makubwa ya watu wanaoelekea viwanja vya Mwanga Community Center, barabara zote zimefungwa kutokana na makundi makubwa ya watu kutoka maeneo ya Mlole, Mwandiga, Mji Mwema, Ujiji n.k
Kuna taarifa kwamba baadhi ya madiwani wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2010 leo wanarudisha kadi za chama hicho dhaifu na kujiunga na chama dume CCM
Kwa mwendo huu inabidi CHADEMA mjipange sana mwaka huu, wananchi wameshawachoka, na propaganda zenu za kujisingizia kuuwawa
More updates & pics. to come, niko kwa MAMA NTILIE hapa Kwa Bella namalizia kula
hapa kuna shughuli gani maalum, au wananchi wa Kigoma walimtuma akafanye huu upuuzi[/QU kupiga picha ni upuuzi??wawapi wewe?mbona prez anapigaga picha na kina jay z,boyz to men.
Inaelekea kipuri ni aina ya wale wanaoitwa wamekunywa maji ya bendera ya Magamb. Huo umati uliofunika kigoma mi mbona sijauona? Watu wapo na kawaida ya mji wa kigoma siku za mwisho wa wiki hasa Jumapili watu huwa wachache. Hata Hapo Mwanga Community centre hakuna huo umati wa kusababisha kufunga barabara. Kipuri kama umekula ganji uje useme uongo JF umechemsha. Wana JF Kigoma iko shwari hata huo Mkutano wa magamba haujavuta watu kiasi cha kutisha....