Nape: Lowassa kapoteza sifa ya kugombea

Nape: Lowassa kapoteza sifa ya kugombea

sisi tusio kwenye hayo mavyama yenu, tunataka raisi jembe bila kujali itikadi yake.

tunaona hayo mavyama yenu yote yana sera zilizoandikwa kwa maneno mazuri hata kuzidi vitabu vitakatifu lakini ukija kwenye ku-walk the talk ni mediocrity iliyopitiliza! hapa sina haja ya kupoteza muda wa ku-elaborate the obvious.

hizi longolongo za akina Nape, etal ni kupotezeana muda tu....Nape yuko hapo kama ajira na si kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania. Kesho tu anaweza kurudi zake CCJ, hata kwenda Chadema anaweza!

so, priority list kwenye nafasi ya uraisi ni hii hapa....

1. Dr Slaa - jasiri, ana msimamo, haogopi kuuwajibisha uzembe

ikishindikana kwa sababu yeyote ile basi tunamchagua huyu hapa....

2. Edo Lowassa - jasiri, ana msimamo, haogopi kuuwajibisha uzembe

see? sifa zao zinashabihiana. na ndizo tunazozihitaji. ama sivyo tukamfufue Sokoine (rip)!

kwangu mimi criteria ya wizi & ufisadi haina mashiko. karibia Watanzania wote ni wezi ama wanakula rushwa...kinachotofautiana ni viwango tu. bisha!

hata wewe hapo unayetaka kuipinga hii hoja yangu, kabla hujaandika kitu chukua dakika moja tu (hata si zaidi) utafakari na ujipime hapo ulipo. mwizi!
 
Mimi mpaka leo sielewi January Makamba kajiingizeje mpaka tuwe tunamjadili kama potential candidate!
SIELEWI KABISA!! Ni zile suti au? Nchi yangu hii aisee, nikifikiri sana naweza kuwa alcoholic.
 
Nape punguza mdomo usijifanye mungu mtu,mimi naunga mkono lowasa kuwa mgombea kwasababu uweza anawo sababu anayo mwisho anamaamuzi magumu nchi itanyooka

kujiuzuru ndo maamuzi magumu, acheni kumpa Lowassa sifa asizostahili, alipohisi watu wanauta uwaziri mkuu tu akasema mbele ya bunge "najua tatizo ni uwaziri mkuu, watu wanataka waziri mkuu aonekane amefanya hivi ili tumuondolee heshima au kumwajibisha, nimetafakari sana kwa niaba ya chama changu na serikali yangu na nimeamua kumwandikia mheshimiwa rais barua ya kumtaka niachie ngazi"

sasa watu wakitaka urais si atajiuzuru tena
 
Nape Sacha kumwandama Lowasa, haumwezi kwani anakubalika hataufanyeje. Lowassa ni mchapakazi na mwadilifu.
 
Acha kupotosha watu weka chote nilichosema. Nilichosema ni kuwa yeyote anayekiuka taratibu za chama katika mchakato ANAJIONDELEA SIFA za kuwa mgombea wa chama hichi!(Labda Chama kiamue kutofuata taratibu zake chenyewe, na kikiziacha hakina namna ya kuendelea kuaminiwa)!

Sasa si swala la Lowassa ni swala la KILA ANAYEKIUKA TARATIBU!kama naye anakiuka anaingia kwenye mkumbo huo, sio kwasababu ni Lowassa ila kwasababu ni mwana CCM na taratibu za CCM haziruhusu! Sio swala la Nape ni swala la taratibu,kanuni na sheria zilizowekwa kabla hata Nape hajazaliwa!

Haiwezekani watu wagawe rushwa hovyo tukae kimya tu kisa anayegawa flani!!!! Hivi kuna uwezekano wa kuingia na kiti moto msikitini ukapigiwa makofi?!! Unaweza kupigiwa makofi na kupewa uongozi wa kanisa wakati humwamini Yesu Kristo?!! Watanzania tusiogope kusema ukweli maana ndio utakaoiponya nchi yetu.

Kama mnamgombea ana sifa atachaguliwa tu huna haja ya kuongezea sifa zake kwa rushwa! Haya si yangu ya CCM, na ni kwa madiwani, wabunge na hata urais!

HERI YA MWAKA MPYA 2014!

Ila nape kiukweli kabisa, Muambie Katibu Mkuu aache hii biashara ya Meno ya Tembo inatutia aibu sana watanzania aisee.
Kama vipi tumpe kisiwa cha mafia basi aachane na hiyo kitu, Mbona kuna biashara nyingi tu.
 
sisi tusio kwenye hayo mavyama yenu, tunataka raisi jembe bila kujali itikadi yake.

tunaona hayo mavyama yenu yote yana sera zilizoandikwa kwa maneno mazuri hata kuzidi vitabu vitakatifu lakini ukija kwenye ku-walk the talk ni mediocrity iliyopitiliza! hapa sina haja ya kupoteza muda wa ku-elaborate the obvious.

hizi longolongo za akina Nape, etal ni kupotezeana muda tu....Nape yuko hapo kama ajira na si kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania. Kesho tu anaweza kurudi zake CCJ, hata kwenda Chadema anaweza!

so, priority list kwenye nafasi ya uraisi ni hii hapa....

1. Dr Slaa - jasiri, ana msimamo, haogopi kuuwajibisha uzembe

ikishindikana kwa sababu yeyote ile basi tunamchagua huyu hapa....

2. Edo Lowassa - jasiri, ana msimamo, haogopi kuuwajibisha uzembe

see? sifa zao zinashabihiana. na ndizo tunazozihitaji. ama sivyo tukamfufue Sokoine (rip)!

kwangu mimi criteria ya wizi & ufisadi haina mashiko. karibia Watanzania wote ni wezi ama wanakula rushwa...kinachotofautiana ni viwango tu. bisha!

hata wewe hapo unayetaka kuipinga hii hoja yangu, kabla hujaandika kitu chukua dakika moja tu (hata si zaidi) utafakari na ujipime hapo ulipo. mwizi!

Kumbe na wewe ni kala rushwa eeeh!!!
 
Ila nape kiukweli kabisa, Muambie Katibu Mkuu aache hii biashara ya Meno ya Tembo inatutia aibu sana watanzania aisee.
Kama vipi tumpe kisiwa cha mafia basi aachane na hiyo kitu, Mbona kuna biashara nyingi tu.

Nimependa sana hili ombi lakutoka moyoni! Yani ni bila kejeli bali ni kwa maumivu makubwa sana!
Dah nami sijui Nape atakua anajiskieje ndani kabisa kwa moyo! Si apewe hata kamgodi jamani!
 
Sure, Wamkalize hata Muhongo chini ampe hata kitalu kimoja au viwili vya gas, Unajua Tembo wanaisha sasa!!!
 
sisi tusio kwenye hayo mavyama yenu, tunataka raisi jembe bila kujali itikadi yake.

tunaona hayo mavyama yenu yote yana sera zilizoandikwa kwa maneno mazuri hata kuzidi vitabu vitakatifu lakini ukija kwenye ku-walk the talk ni mediocrity iliyopitiliza! hapa sina haja ya kupoteza muda wa ku-elaborate the obvious.

hizi longolongo za akina Nape, etal ni kupotezeana muda tu....Nape yuko hapo kama ajira na si kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania. Kesho tu anaweza kurudi zake CCJ, hata kwenda Chadema anaweza!

so, priority list kwenye nafasi ya uraisi ni hii hapa....

1. Dr Slaa - jasiri, ana msimamo, haogopi kuuwajibisha uzembe

ikishindikana kwa sababu yeyote ile basi tunamchagua huyu hapa....

2. Edo Lowassa - jasiri, ana msimamo, haogopi kuuwajibisha uzembe

see? sifa zao zinashabihiana. na ndizo tunazozihitaji. ama sivyo tukamfufue Sokoine (rip)!

kwangu mimi criteria ya wizi & ufisadi haina mashiko. karibia Watanzania wote ni wezi ama wanakula rushwa...kinachotofautiana ni viwango tu. bisha!

hata wewe hapo unayetaka kuipinga hii hoja yangu, kabla hujaandika kitu chukua dakika moja tu (hata si zaidi) utafakari na ujipime hapo ulipo. mwizi!

Mbona hueleweki? Hayo ndiyo uliyotumwa kuyasema? unataka tutawaliwe na wezi? Sitaki kuamini kama kweli wewe ni mtanzania.

jifanyie tathimini wewe mwenyewe binafsi kwanza kabla hujaninyooshea kidole hapa..ebo!
 
Acha kupotosha watu weka chote nilichosema. Nilichosema ni kuwa yeyote anayekiuka taratibu za chama katika mchakato ANAJIONDELEA SIFA za kuwa mgombea wa chama hichi!(Labda Chama kiamue kutofuata taratibu zake chenyewe, na kikiziacha hakina namna ya kuendelea kuaminiwa)!

Sasa si swala la Lowassa ni swala la KILA ANAYEKIUKA TARATIBU!kama naye anakiuka anaingia kwenye mkumbo huo, sio kwasababu ni Lowassa ila kwasababu ni mwana CCM na taratibu za CCM haziruhusu! Sio swala la Nape ni swala la taratibu,kanuni na sheria zilizowekwa kabla hata Nape hajazaliwa!

Haiwezekani watu wagawe rushwa hovyo tukae kimya tu kisa anayegawa flani!!!! Hivi kuna uwezekano wa kuingia na kiti moto msikitini ukapigiwa makofi?!! Unaweza kupigiwa makofi na kupewa uongozi wa kanisa wakati humwamini Yesu Kristo?!! Watanzania tusiogope kusema ukweli maana ndio utakaoiponya nchi yetu.

Kama mnamgombea ana sifa atachaguliwa tu huna haja ya kuongezea sifa zake kwa rushwa! Haya si yangu ya CCM, na ni kwa madiwani, wabunge na hata urais!

HERI YA MWAKA MPYA 2014!
Huu ndio unatakiwa uwe msimamo wa nchi, siyo chama kimoja kimoja. Na iwe chama chochote kitakachoruhusu kuvunjwa kwa msimamo huu kinakuwa kimentenda kosa. Au mtu yeyote ama kwa makusudi, kwa kushawishiwa au vinginevyo akifanya hayo anachukuliwa hatua za kisheria na nchi na kuungwa mkono na wote.

Tatizo ni je utaungwa mkono na msimamo huu?
 
we nape unjikaanga acha papara na kukurupuka ni wapi lowasa alitamka anaanza safari ngumu ya kugombea uraisi? yy alisema anaanza safari ngumu ya kuwasaidia wtz wapate maji na elimu inausiana nini na uraisi? mtafungwa nyinyi kwa kuaribu kiswahili kutafsiri mnavyotaka
 
Maswali mawili.

Lowassa kautaja urais?

Nape kamtaja Lowassa?
 
Laigwenan Lowassa alitangaza kanisani kuanza safari ya ndoto yake. Hakua wazi..., kwa kua ni kanisani bila shaka ni kuelekea kwenye utukufu wa mungu.
 
Huyu Lowasa mapesa anayogawa angejua jimbo lake hawana maji, mifugo inakufa kwa kukosa malambo hakuna madawati shuleni lakini anaona za kumwaga kwa watu. kwanza tujiulize anazipata wapi na anazigawa kwa nia gani, je hizo pesa zinatoka mfukoni mwake? Je kwa biashara ipi na analipa TRA kiasi gani kama mlipa kodi? Huyu mtu akichukua nchi mjue tumeuzwa wote. kumbukeni mpaka sasa katuliza na hatujawahi kupona kwa Richmond na bado watu wanapanua midomo kumsemea eti mtu mchapa kazi. Labda mchapa kazi kwa kutuibia na kutufanya masikini wakati yeye kama mtumishi wa umma akiwa milionea

Nape yupo sahihi nampongeza sana, haiwezekani mtu/watu wakitaka kugombea wagawe pesa kama vile wanaviwanda vya kudurusu pesa, mtu alikuwa mtumishi wa umma leo hii anaendesha harambee za mabilioni si awapelekee watu wa jimbo lake waondokane na shida za maji na chakula! Au awajengee malambo ili mifugo yao iache kuzurura hovyo
 
Hivi kwa mujibu wa kanuni na taratibu za chama, kinachokatazwa ni kuonyesha nia? Kutanganza nia? Au kuanza kampeni? Kuna tofauti kubwa katika haya matatu; Kwa mujibu wa kanuni husika, kila kitu kipo kwenye border line.

Mbali na hayo, pamoja na umuhimu wa kanuni husika, bado ina haja ya kufanyiwa marekebisho kukidhi mazingira ya sasa kwani kwa kiasi kikubwa, utaratibu wa ccm na kanuni yake hii umepitwa na wakati, ulikuwa na maana wakati wa mfumo wa chama kimoja; Katika nyakati hizi za mfumo wa vyama vingi, kuna haja ya reforms kwa kuzingatia juu ya umuhimu wa kuwapatia wote wenye nia muda wa kutosha kujitangaza bila ya kuathiri mfumo wa utawala uliopo, ili wananchi waweze kuwapima mapema. Kwa mfano, nchini marekani, Barrack Obama alitangaza nia ya kugombea urais miezi karibia ishirini na moja kabla ya uchaguzi mkuu.

Vinginevyo, karibia majina yote yanayotajwa tajwa kwamba uenda watagombea kupitia ccm, in one way or another ni aidha wameonyesha nia, wametangaza nia, au wameanza kampeni.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom