Nape haogopi hata wazee..!! Lowasa ni mzee, mheshimiwa, mchapakazi, tajiri, sio mchoyo, ni mfadhili wa ndani, mwenye kuthamini watu, mtoaji wa zaka, sadaka na michango makanisani, mwezeshaji wa vijana, n.k.
Siku 90 za huyu bwana kitambi bado hazijafika? Bwa mdogo atahama nchi
simpendi huyu dogonape hana lolote la maana zaidi ya uropokaji!
Wanaitumia CDM kama sehemu ya kujisahaulishia matatizo yao, lakini wanashindwa kujua mwisho wa siku watapambana nayo
Nataka nimwambie nape na wengine kama yeye kwamba wamechelewa tena sana...Dunia nzima majority wamekua wakishinda Je nape na mangula ambao wamekua wakishindwa kwenye chaquzi zao zote za kuchaguliwa wana nini vlcha kuzuia the mases?.
Mkuu jambo ambalo silipatii jawabu katika sakata la Zitto ni hili la CCM kuingilia maamuzi ya CHADEMA.
Acha kupotosha watu weka chote nilichosema. Nilichosema ni kuwa yeyote anayekiuka taratibu za chama katika mchakato ANAJIONDELEA SIFA za kuwa mgombea wa chama hichi!(Labda Chama kiamue kutofuata taratibu zake chenyewe, na kikiziacha hakina namna ya kuendelea kuaminiwa)!
Sasa si swala la Lowassa ni swala la KILA ANAYEKIUKA TARATIBU!kama naye anakiuka anaingia kwenye mkumbo huo, sio kwasababu ni Lowassa ila kwasababu ni mwana CCM na taratibu za CCM haziruhusu! Sio swala la Nape ni swala la taratibu,kanuni na sheria zilizowekwa kabla hata Nape hajazaliwa!
Haiwezekani watu wagawe rushwa hovyo tukae kimya tu kisa anayegawa flani!!!! Hivi kuna uwezekano wa kuingia na kiti moto msikitini ukapigiwa makofi?!! Unaweza kupigiwa makofi na kupewa uongozi wa kanisa wakati humwamini Yesu Kristo?!! Watanzania tusiogope kusema ukweli maana ndio utakaoiponya nchi yetu.
Kama mnamgombea ana sifa atachaguliwa tu huna haja ya kuongezea sifa zake kwa rushwa! Haya si yangu ya CCM, na ni kwa madiwani, wabunge na hata urais!
HERI YA MWAKA MPYA 2014!
sakata la Nape na lowasa limeendelea baada ya Nape jana kumwambia kwa kutangaza nia kabla ya wakati wake amepoteza sifa ya kuteuliwa kupitia chama cha mapibduzi.
maoni yangu: Nabe acha kushindana na Lowasa au umesahau ulivyobanwa kule dodoma ukitakiwa kupeleka ushahidi wa ufisadi wa lowasa vinginevyo umuombe msamaha, ukakomea kumpigia magoti, umesahau ulishatangaza siku 90 vinginevyo ungemg'o mpaka leo Siku 90 imegeuka miaka 90..
source: Mwananchi/RFA
====================
Ufafanuzi wa Nape
====================
Nape punguza mdomo usijifanye mungu mtu,mimi naunga mkono lowasa kuwa mgombea kwasababu uweza anawo sababu anayo mwisho anamaamuzi magumu nchi itanyooka
Hana maana hata kidogo!simpendi huyu dogo