Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

yeye anajari nini !! asipopitishwa ataipasua CCM kama ilivyokuwa kwa Lyatonga 1995 na kwa mwaka ndo CCM itakuwa kwa heri.CCM sharti imubembeleze au isambalatike kwa yeye kwenda ACT.
imeshinda uchaguzi bila ya lowasa
 
Lowassa alianza mbinu chafu tangu akiwa PM, baada ya ile ishu ya RICHMOND kule Bungeni, akajaribu kuwahonga baadhi ya wabunge ili wamsafishe...wakataka kumsafisha lakini ikashindikana bungeni, baada ya hapo kampeni za kumsafisha zikaanza Makanisani kwa kutoa eti misaada, baadae misikitini, sasa hivi kaingia katika vyama vya upinzani kamuonga Mbowe Tshs. 5 Bilioni ili asifukunyue file zake za ufisadi tangu alipokuwa AICC, MAJI NA RICHMOND kwa public, na sasa yupo kwa Vienna, kaanza kuwahonga viongozi wa juu wa students organisations za vyuo vikuu ili kumuunga mkono, bila kusahau mwishoni mwa mwaka jana kule Zanzibar kwa wajumbe wa NEC wa CCM, ba huku bara kwa MASHEIKH...sasa cha kujiuliza hela zote hizi anatoa wapi? Na akipata urais atarudishaje? Ni hayo tu...
leo mnayakana maneno yenu!!
 
Walifanya uchafu mwingi sana na kundi lao la mtandao na kutumia mabilioni ya shilingi ili kununua Urais wa Kikwete. Mamvi akianika uchafu huo hadharani Ikulu AKA danguro la mafisadi hakutalalika
Leo hii unayakana maneno yako
 
Nape haijui ccm kama Lowasa aijuavyo, Nape haijui siasa kama Lowasa aijuavyo. Kwa ufupi Nape kwa lowasa ni sawa na kiroboto juu ya mgongo wa Tembo.
Nakushauri bwana mdogo Nape uachane na Lowasa na uwe biz kutafuta uraiya wa nchi utakayokwenda kupumzika kwanzia October30
Siku hazigandi ,October 30 imepita, ulimtukana nape, ila sasa ivi nape yupo bungeni lowasa yupo mtaani!!
 
Na wale waliomfuata mwandosya vipi? Kwa hiyo mnaidharau maamuzi ya wananchi ngoja siku ifike muone. Wananchi wamefuata tamko la mwenyekiti. sasa hao wananchi mnawadharau. Nape nawe ukitumwa kuwa kama mayuwayu ambaye anachanganya akili ya kuambiwa na ya kwake. Soma alama za nyakati. Anayekutuma atakugeuka mchana halafu utabakia mwenyewe. Halafu jamani wapinzani ndio wanomkubali lowassa kuliko hata wana ccm. Kama mnataka njooni vijiweni. CCM bila Lowassa ni mwisho wake mwaka huu kama kanu vile. haya maneno mtayakumbuka.
ccm mwisho wake lini?? au tuongeze muda hadi 2020??
 
Yaani kama EL alishawahi kukosea hapa ndo kazidisha kama watu wanatoka kwenye kumshawishi agombee na wanaulizwa wanasema "mi nilibebwa wala sikujua kama naenda kwake"huyu jamaa yenu mshaulini asije kufa kwa kiholo kwani hata kama ni timing ndo hivyo? Utoti na ujingi uliokithili nadhani wafuasi wake wanasukumwa na njaa zaidi kuliko ubainadamu. Hivi Watanzani tuko zaidi ya mil.45 wamekosekana watu wenye sifa zaidi ya Lowassa,Membe,Sumaye mpaka tunalazimisha wao tu?
Leo hii lowasa na sumaye wapo huko kwenu!!
 
Pamoja na kwamba fisadi Lowassa hawezi kuwa Rais wa nchi hii Nakubaliana na wewe nape ni mropokaji na kauli zake zinamponza yeye mwenyewe na chama chake.Kwa mfano kauli zake kwamba CHADEMA ni chama cha wachaga zimemtokea puani baada ya wananchi wa Kilimanjaro kususa mikutano yake na kinana ndiyo maana haweki humu picha kama ilivyokuwa Dodoma na Arusha.
Leo unasema lowasa sio fisadi?
 
Wewe unalilia lowasa aachwe tu agombee na hata kama hafai, kwa maslahi ya nani? Ninawasiwasi mkubwa sana na utaifa wako wewe. Mzalendo yeyote hawezi kulalia upande wa fisadi akasaliti Watanzania wenye maisha ya tabu wanaolia usiku na mchana wapate uongozi utakaowajili na kuwalinda.

Kama vile mzazi mwema asivyoweza kuwapa watoto wake sumu ya kahawa wanywe kwa kuwa tu wanalilia kutokana na kwamba inarangi na harufu nzuri, vivyo hivyo kiongozi makini hawezi kupitisha fisadi nyangumi kugombea uongozi wa wananchi huku akijua kwamba halifai, eti kwa sababu wanalilia.

Hata hivyo wakimpitisha Lowasa, haitakuwa ajabu kwa taifa maana tumezowea kuwa na mama wa kambo asiyejali usalama wetu. Mbona hata katiba mmetuwekea madudu, huku mkijua kisha kwa unafiki mnajifanya kusema wananchi wenyewe wapige kura ya kukubali ama kukataa huku mkijua hawana ufahamu wala elimu ya kutosha bila kuelimishwa?

Kweli Tanzanai ina machungu mengi sana na ccm. Mchagueni Lowasa mzidi kujichora, lakini pia hata mkimchagua nani, Wtanzania wamekataa kuendelea kuongozwwa na chama chenu cha wauaji!. Hatutaki. Chezeni sinema tuburudike tu hapa. Mtauona mziki October.
unaweza kuyarudia tena hya maneno yako kuhusu lowasa??
 
We jidanganye hujui ya ndani mrema hakua chochote kumlilinganisha na Lowassa huyu amepenya kwenye system zote ambazo ccm wakichemsha kumkata jina wamekwenda na maji unajua hella mrema ambaye hata jeshini walikua hawamjui
rudia tena hayo maneno
 
Siyo mara ya kwanza kwa El kukusanya watu na kuwapa watu chakula na fedha. Waulize wenyeviti wa CCM na wajumbe wa NEC. Ni kawaida kualikwa Monduli juu kula,kunywa,kulala na kusafirishwa kurudi makwao. Ikulu kuna biashara gani? Nape is right!
rudia tena haya maneno yako! au haukuwa na ushahidi?
 
Wamebaki Panya Road kwenda kumuomba Lowassa agombee urahisi (urais atausikia redioni).

Panya Road watafuatiwa na mateja wote.

Kutakuwa na vikundi vingine lakini kikundi cha mwisho kitakuwa na wazee wenye busara zao wakiwemo Wafuatao: Andrew Chenge, Juma Kapuya, Hamisi Mgeja, Sophia Simba, Serukamba, Beatrice Shelukindo,na wengine wanaoendelea kujiandikisha.
Hili kundi la mwisho litaanzia kwenye kaburi la John Komba kabla ya kwenda Monduli.
Mgana Msindai naye anaunda kundi lake kwenda kwa mamvi baada ya kukosa cheo kwenye kundi la nyoka mwenye makengeza.
Utaratibu wa kupata kundi la bongo fleva na muvi umefikia pazuri bado wanajidiliana dau la kulipwa. Hapo kila mtu atalipwa kwa uzito wake.
ulimsema vibaya sana lowasa! pengine Leo unamuabudu...! muda si rafiki wa binaadamu
 
Back
Top Bottom