Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

Vijana wengi humu wanaomshangilia Lowassa wana ufahamu mdogo sana kwenye masuala ya siasa mwaka 1995 wakati Mwalimu Nyerere alipomkataa Lowassa wengi wenu humu mlikuwa wadogo kiumri wengine mlikuwa shule za msingi kwahiyo hata ufahamu wenu kwa masuala ya siasa ulikua mdogo au kutojua kabisa kwa taarifa yenu Lowassa alishindwa kutolea maelezo utajir i aliokuwa nao ndani ya Muda mfupi aliotumikia ktk uongozi wa nchi hii ambapo ilipelekea kuondolewa kwenye kinyanganyiro cha urais
Jambo la pili lowasa ni fisadi papa ana biashara ambazo msingi wake upo kwenye uhujumu uchumi wa nchi hii na ilitangazwa hivyo hadharani na yeye lowasa aliahidi kwenda kuwa shitaki waliotangaza hivyo lakini mpaka leo haja fanya hivyo.
Mwisho nasema hivi Laiti kama Mwalimu Nyerere angekuwapo hai leo basi tusingeona upuuzi huo unao fanya na Lowassa

Marehemu baba wa Taifa hakumkataa Lowasa wala hakuna ushahidi wa wazi kabsa, isipokuwa kipindi kile Lowasa alikuwa na Ugonvi na mengi juu ya Viwanja vyake kule Mjini kati ndipo mengi na maadui wa Lowasa wakaenda kwa Nyerere kupiga Fitna na Majungu juu ya Lowasa kwa Lengo la kumharibia lakini baadae Nyerere alikuja kugundua kuwa zilikuwa Fitna na majungu tu, Hivyo kuendelea kukariri kuwa Nyerere alimkataa Lowasa ni kumsingizia Uongo marehemu baba wa Taifa, Lowasa anaweza akawa na mapungufu yake lkama Binadamu wengine lakini si kwa kiasi ambacho nyie wafuasi wa Membe mnataka aonekane, Nchi hakuna aliye Msafi kila Kiongozi ana Madhambi yake na Wakiletwa FBI hapa wawachunguze mmoja baada ya Mwingine hakuna ambaye atapona kwani wengi wanaishi kinyume na Vipato vyao Harisi
 
Lowasa akishinda urais nape mwisho wake ni mbaya mbovu hafai hata kuwa balozi wa nyumba 10
 
Lowasa akishinda urais nape mwisho wake ni mbaya mbovu hafai hata kuwa balozi wa nyumba 10

Lowasa hana Visasi anajua kuwa Nape anamkubali kiaina lakini kwa kuwa kapokea pesa za Membe ili amchafue Ndipo kaamua kujitoa Fahamu, Lowasa atamsamehe Nape na watafanya kampeni pamoja Hata huyo Membe anayetumia mapesa ya Gadafi kumchafua Lowasa na yeye pia hana Kinyongo naye, Lowasa anaijua siasa ya maji taka inavyoendeshwa na alishajiandaa kuzikabili changamoto zote hata iweje hatajali Ubaya woote atakaofanyiwa na Membe yeye yupo imara atapambana hadi kieleweke.
 
ndinan wasira Alisa raisi atalala ikulu na pind tukitaka kuweka picha ya raisi ken ela kwa sura tu pesa itash7ka thamani
 
Lowasa akipewa nchi Nape atakimbia Tanzania, Si tusubiri tuone.
 
Lowasa akipewa nchi Nape atakimbia Tanzania, Si tusubiri tuone.

Nape si mbaya hivyo hawa wawili Membe na January Ndiyo wabaya wa Lowasa hao akina Nape wanatumwa tu, kwanza nape huwa ni Mnafiki sana akiona Upepo umegeuka lazima ataenda kwa Lowasa kupiga Magoti.
 
Lowasa endeleaa kuwazarau. Tuone kama wanawezaa kukufukuzaa.

Hilo kwa ccm ni kama mbingu na ardhi,hawawezi kumfukuza lowasa hata yeye analijua ndio maaba anafanya anavyoweza.
 
Wewe ni mnafiki pamoja na kwamba Nape amejituma mwenyewe ndo maana amesema ameona hakuna anayekemea ila ha kusema lowassa amewnguliwa na kikao gani we bwabwa mbona mnamuogopa lowassa sana tatizo ni nini

Huyu lizaboni hatokaa abadilike kwakuwa tayari ashaanza kuoja matunda ya kujikombakomba.
 
Membe na Riz kwa sasa hawapo pamoja kabsa familia ya JK wote sasa hawamtaki Membe licha ya kujipendekeza na kushinda kwa Masangoma akiwanga, wao chagua lao ni Kinana, pinda na Lowasa endapo machaguo yao yatadunda wataelekea kwa wasira, huyo Membe mwizi wa pesa za Gadafi hawamtaki kabsa.

Hahahahaa!!!! kumbe Membe ni bonge la kigagula???
 
Membe si Chaguo la JK alishamtosa kitambo hawamtaki baada ya kugundua kuwa alimuua balozi wa Libya kisha akachukuchia mapesa ya marehemu Gadafi, hawataki Rais ajae awe Rais wa Mahakama ya The Hague kwa Uhalifu juu ya binadamu, wanamjua Membe ni mpenda Visasi atawafunga na kuwaua wapinzani wake, chagua la Jk ni pinda au kinana na akishindwa atakuwa kwa Lowasa au Wasira.

Hapo ndipo huyu mkwere anapowachanganya nyie mburula; huoni kuwa mkewe anashinda huko Lindi akifukuzia ubunge ili achukue kiti cha Membe wakati huo huo Membe wanampigia debe awe Rais!! Hiyo ya Pinda ni danganya toto tu!!
 
Hivi mimi ninashindwa kuelewa hii nchi ,Eti mtu kutangaza nia , kushawishiwa ni kosa mpaka muda ufike? Muda upi? Sisi kama watanzania tulitakiwa kujuwa (hawa wagombea nia siku nyingi tena wawewameshajitokeza hadharani) haya mambo miaka 3 iliyopita kwanza tumechelewa.KIONGOZI wa nchi ni mtu muhimu sana huwezi kusubiri dakika za mwisho kwenye uchaguzi ndio muanze kushawishi..Nasema tumechelewa go go go............ EL
 
Hahahahaa!!!! kumbe Membe ni bonge la kigagula???

Ni bonge la kigagula ana waganga kibao kuwaleta Tz toka Nchi mbalimbali, wapo waganga toka, Gambia, chadi, msumbiji, Africa ya kati, Misitu ya Amazoni, na wenyeji wa Tz anao kila kona, yaani Membe kamfunika hata Makamba na wanae ambao wana waganga toka Lamu kenya,Malawi, Congo na wenyeji kibao.
 
Hapo ndipo huyu mkwere anapowachanganya nyie mburula; huoni kuwa mkewe anashinda huko Lindi akifukuzia ubunge ili achukue kiti cha Membe wakati huo huo Membe wanampigia debe awe Rais!! Hiyo ya Pinda ni danganya toto tu!!

Mburula ni wewe mwenyewe hilo jimbo lake alishampatia Nape Agombee na tayari alishakwenda kumtambulisha huko, tambua kuwa mwanzoni walikuwa wanataka Membe awe Rais lakini baada ya kugundua kuwa Membe ni Mwizi wa Mapesa ya Gadafi na alimfanyia Umafia marehemu balozi wa Libya ili kuficha Ushahidi wa pesa alizoiba, wakaamua kumtosa hawamtaki kabsa, kama huyo mama atakuwa anaongea naye itakuwa ni gelesha tu lakini kwa kweli Membe si chagua la JK na familia yake.
 
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema kuwazuia wananchi kwenda nyumbani kwake kumshawishi agombee urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mkono.
 
Hivi mimi ninashindwa kuelewa hii nchi ,Eti mtu kutangaza nia , kushawishiwa ni kosa mpaka muda ufike? Muda upi? Sisi kama watanzania tulitakiwa kujuwa (hawa wagombea nia siku nyingi tena wawewameshajitokeza hadharani) haya mambo miaka 3 iliyopita kwanza tumechelewa.KIONGOZI wa nchi ni mtu muhimu sana huwezi kusubiri dakika za mwisho kwenye uchaguzi ndio muanze kushawishi..Nasema tumechelewa go go go............ EL

Mda ndio huu sasa ni bora wabadilike maana kwa jinsi wanavyozidi kudai mda bado ndivyo wanavyozidi kuleta makundi na Vioja huku madalali wa siasa wakizidi kuongezeka kwa kasi kubwa na kuifanya siasa ya Tz kuwa na viini macho vingi.
 
Mburula ni wewe mwenyewe hilo jimbo lake alishampatia Nape Agombee na tayari alishakwenda kumtambulisha huko, tambua kuwa mwanzoni walikuwa wanataka Membe awe Rais lakini baada ya kugundua kuwa Membe ni Mwizi wa Mapesa ya Gadafi na alimfanyia Umafia marehemu balozi wa Libya ili kuficha Ushahidi wa pesa alizoiba, wakaamua kumtosa hawamtaki kabsa, kama huyo mama atakuwa anaongea naye itakuwa ni gelesha tu lakini kwa kweli Membe si chagua la JK na familia yake.

Je unataka kutuaminisha kuwa Ridhwani sio familia ya Kikwete? Ridhwani ndio mmoja wa wapambe wakubwa wa Membe!! Acha propaganda zako minyoo inakusumbua!!!!
 
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema kuwazuia wananchi kwenda nyumbani kwake kumshawishi agombee urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mkono.

Wana CCM wengi hawakuwa na shida juu ya watu kwenda kwa Lowasa, wenye shida na hao watu ni January makamba na Membe hawa Roho zinawauma sana yaani wanajisikia vibaya pindi wakiona watu kwa Lowasa, Fitna zote juu ya Lowasa chimbuko ni hawa wawili kwani ndiyo wanampatia Pesa Nape ili atumie mwanvuli wa chama kumsakama Lowasa kwa speed kubwa, nape yupo after money huku moyoni anamkubali Lowasa kiaina. Wabaya wa Lowasa kwa 100% ni Membe na January inabidi Lowasa abuni Mbinu kali ya kuwakabili kwani wana Mapesa mengi ya kuhonga watu, Membe ana mapesa ya marehemu Gadafi na January kapewa pesa na Rostam Aziz baada ya kuchepuka na Mdogo wake ni Aibu kubwa Kiongozi kutumia pesa za Mchepuko wa dada yake.
 
Je unataka kutuaminisha kuwa Ridhwani sio familia ya Kikwete? Ridhwani ndio mmoja wa wapambe wakubwa wa Membe!! Acha propaganda zako minyoo inakusumbua!!!!

Nipo Tumboni mwako nimekutia njaa mpaka umekariri kuwa Riz Bado yupo kwa Membe, wewe Umekariri ni Vigumu sana kukubalisha, Nakwambia tena kuwa Membe walishamtosa kitambo kama wapo nae itakuwa wanamziuga tu kwa kuwa ni ndugu yao, propaganda unazo wewe mbishi usiyejua kuwa huwa kuna watu wanageuka baada ya kugundua ubaya fulani.
 
Back
Top Bottom