Mchuja Nafaka G
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 763
- 253
Wana CCM wengi hawakuwa na shida juu ya watu kwenda kwa Lowasa, wenye shida na hao watu ni January makamba na Membe hawa Roho zinawauma sana yaani wanajisikia vibaya pindi wakiona watu kwa Lowasa, Fitna zote juu ya Lowasa chimbuko ni hawa wawili kwani ndiyo wanampatia Pesa Nape ili atumie mwanvuli wa chama kumsakama Lowasa kwa speed kubwa, nape yupo after money huku moyoni anamkubali Lowasa kiaina. Wabaya wa Lowasa kwa 100% ni Membe na January inabidi Lowasa abuni Mbinu kali ya kuwakabili kwani wana Mapesa mengi ya kuhonga watu, Membe ana mapesa ya marehemu Gadafi na January kapewa pesa na Rostam Aziz baada ya kuchepuka na Mdogo wake ni Aibu kubwa Kiongozi kutumia pesa za Mchepuko wa dada yake.
Tatizo hao Nape na Kinana kutofautiana kauli zao, mara Kinana anasema CCM haitofukuza waliojitokeza kugombea urais. Mara Nape aseme Lowasa amejiondoa mwenyewe katika kinyang'anyiro cha kugombea urais. Mara Kinana anamsifia Lowassa kwa uchapakazi na kumwambia Nyalandu ni mzururaji.
viongozi wa CCM pia wana mapungufu makubwa na wameshindwa kutambua nafasi zao kwa chama na wanachama wao, wangali wakijua maamuzi yoyote lazima yapitie vikao vya chama
mwenyekiti wao aliwahi kusema wanaoweza kujipitisha mbele za watu kuonyesha nia ya kugombea urais, Nape anazuia