Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

Mie nasema hivi mkuu tpaul, mamvi hataingia magogoni. Ila nasema hata kama kiongozi atatoka UKAWA basi Makonda atafute pa kujificha kwani bado ana ile kesi ya shambulio la kudhuru mwili dhidi ya Warioba. Kesi ya jinai haina hitimisho zaidi ya mahakama
 
Last edited by a moderator:
ndio maana sie wenzenu tumeanza na kazi za professional kwanza after building up enough experience now we can move into politics in case things go the other way i can always go back to do what i used to do. sasa tatizo kubwa tulilo nalo hivi sasa mtu anatoka chuo kikuu moja kwa moja kwenye politics kama nape, makonda na hata makamba. siasa zikiwatupa nje watasafa sana .

ushauri wangu kwa wanafunzi wa chuo ukkitoka chuoni fanya kazi at least for 10 years ukishajijenga kwenye professional then unaweza kwenda kwenye politiki na hata baadaye kurudia kazi yako ya zamani na kuweza kupata kazi ki urahisi kwa sababu ya uzoefu wako ulionao. sasa mtu kama nape is nearly 40 years old never work a really job in his life.
sometimes you wonder why did he even go to school?? do you need masters to drop lies day in day out.??

Take my advise you will never regret in your life otherwise get ready to kill yourself when your political life is over.
 
Usiseme akitinga WAAMBIE KABISA PPT ZAO ZOWE ACTIVE KWAKUSAFIRIAOCT ELSE TITASHUGULIKA NAO HHILI SISIRI TENA
 
Nnatumai Nape anao ushahidi wa anayoyasema na kutuhumu watu. Kwamba watu wanaoenda dodoma wamelipwa na nani, kwa njia zipi na kwa sababu gani, la sivyo atakiaibisha chama kwa mara nyengine tena! Wananchi wameamua....acheni uzushi na uongo. Kwa nini mnawadhalilisha wananchi kiasi hiki? Waache kazi zao kwa kulipwa na kupewa chakula? Hivi wote walioonekana huko hawawezi kujinunulia chakula? Tena tunawaingiza mpaka viongozi wetu wa dini; maimamu na wachungaji!

Nnaungana na mtu wa Mungu mmoja aliyemtaka aokoke.....atubu na aokoke!!

Siyo mara ya kwanza kwa El kukusanya watu na kuwapa watu chakula na fedha. Waulize wenyeviti wa CCM na wajumbe wa NEC. Ni kawaida kualikwa Monduli juu kula,kunywa,kulala na kusafirishwa kurudi makwao. Ikulu kuna biashara gani? Nape is right!
 
Ni kweli mkwere anaweza kukuuwa huku anatabasamu lakini cha kujiuliza huyu mzee mamvi hayajui yote hayo? Je hamjui rafikiye? Je haogopi kuenguliwa? Au hiki kibri anakipata wapi maana kapewa onyo lakini hajali what is he up to?

Mwandosya nae ataondolewa maana watu walienda pia kwake
 
Kanda ya ziwa wanasema hivi Lowassa au CHADEMA. CCM huku ni rest in peace. Nilijaribu kukudadisi kwa nini hamuitaki CCM wanasema zamani tulikuwa matajiri. Sasa hivi tumefilisika kwa sababu ya CCM.

Tuliendelea upekuzi wetu Simiyu, Geita, Shinyanga Mwanza, Mara na Tabora tukashituka kidogo kwa mini Lowassa. Jamaa yetu akajaribu kusema kuwa Nape amesema Lowassa haendi popote. Majibu: Nape na wenzake ni wasaliti Kama Zitto Kwa CHADEMA walianzisha chama (CCJ) ndani ya chama.

Majibu: Hatutaki tena miaka 10 ipotee bure. Tukawajibu Mengi yamefanyika wakajibu serikali imefilisika na sisi ndiyo usiseme kabisa.

Swali: Huyu Lowassa atafanya mini?
Jibu: Yule ni mtu wa vitendo na siyo wakupiga sofa na kusikiliza umbeya. Unaempelekea umbeya anaweza vilevile kukuwajinisha. Lowassa ni rafiki yetu tuachieni Lowassa wetu. Tutamchagulia wabunge wengi wa upinzani ili apige kazi nchi isonge mbele.

Hayo ndiyo baadhi ya hisia za wananchi!
 
Shauri yenu, msemeni tu EL. Mtapata fahamu mkiwa wodini Apolo, India huku ngozi ikiwa imebabuka!
 
Mie nasema hivi mkuu tpaul, mamvi hataingia magogoni. Ila nasema hata kama kiongozi atatoka UKAWA basi Makonda atafute pa kujificha kwani bado ana ile kesi ya shambulio la kudhuru mwili dhidi ya Warioba. Kesi ya jinai haina hitimisho zaidi ya mahakama
Mahakama ya nini wakati chama chako hakitambui mahakama
 
Last edited by a moderator:
Wamebaki Panya Road kwenda kumuomba Lowassa agombee urahisi (urais atausikia redioni).

Panya Road watafuatiwa na mateja wote.

Kutakuwa na vikundi vingine lakini kikundi cha mwisho kitakuwa na wazee wenye busara zao wakiwemo Wafuatao: Andrew Chenge, Juma Kapuya, Hamisi Mgeja, Sophia Simba, Serukamba, Beatrice Shelukindo,na wengine wanaoendelea kujiandikisha.
Hili kundi la mwisho litaanzia kwenye kaburi la John Komba kabla ya kwenda Monduli.
Mgana Msindai naye anaunda kundi lake kwenda kwa mamvi baada ya kukosa cheo kwenye kundi la nyoka mwenye makengeza.
Utaratibu wa kupata kundi la bongo fleva na muvi umefikia pazuri bado wanajidiliana dau la kulipwa. Hapo kila mtu atalipwa kwa uzito wake.
 
Kwaiyo watz hawana ruhusa ya kwenda kumuomba mtu wanayehisi anafaa kugombea uraisi? Au wakienda kumuomba hawaruhusiwi kumpa taarifa kabla ili ajiandae kuwapokea mf. viti. Au ukiwa mgombea ukipata wageni nyumbani kwako utawaambia wakatafute sehemu ya kula maana ww ni mgombea? Wadau wekeni hapa hicho kifungu cha sheria ya ccm tukijadili.
 
Nape anamuandama mtu mmoja ...Kiasi kwamba kila mtu anaona...,Kama Juzi ...Mbeya ...wanafunzi wamekutana kumtaka Mwandosya ( baba yake wa Kweli ) ..na Arusha wamekutana Huko kumtaka Profesa Muhongo ....
Inapokua imebaki miezi Sita tu kufanya uchaguzi kutaka Kubana tusimjue mgombea Ndio kuleteana WAGOMBEA wenye mambo mengi ya kificho ...infact ingetakiwa mgombea wa chama ajulikane mwaka mmoja kabla ..ili kuweza kutibu makundi kuelekea uchaguzi ...ingekuwa tunaye mgombea urais wa ccm ..toka mwaka Jana October ....hata yeye anapata wasaaa wa kuchangia kwenye Ilani ..Kama ana ya kwake na watu wanapata muda kumjua ..vema .
...hata wale waliokua washindani wanaoata muda wa KUSHUSHA hasira Za kushindwa ...na kurudisha uhusiano mwema na mgombea ...lakini hili la kutupa mgombea miezi mitatu kabla ..madhara yake ni makubwa especially uchaguzi highly contested Kama huu

LAKINI PIA TUJIULIZE MWENYEKITI WA CCM ALIPOTOA AGIZO PALE SONGEA KUWA KAMA KUNA WATU WANAMJUA MGOMBEA NA WANAONA ANAFAA BASI WAMFUATE WAMSHAWISHI...ALITEGEMEA WATAMFUATA WAPI KAMA SIIO KWENYE ANUANI YAKE IWE DAR ,DODOMA AU KIJIJINI .....
 
Back
Top Bottom