yeye anajari nini !! asipopitishwa ataipasua CCM kama ilivyokuwa kwa Lyatonga 1995 na kwa mwaka ndo CCM itakuwa kwa heri.CCM sharti imubembeleze au isambalatike kwa yeye kwenda ACT.anachokosea lowasa ni timing,,angesubiri mda mwafaka na afanye anachofanya sasa angefaulu.
MBONA LOWASA NI KM MBUZI WA SIKUKUU. UPINZANI WALA HATUMSEMI VIBAYA ILI CCM WAMSIMAMISHE NA I SWEAR CCM HAWATOAMINI MACHO YAO KWA KICHAPO TUTAKACHOMPA FISADI Uyu..
Lowasa atakuja kulia kama mwanake mjane aliyefiwa na mume anachofanya ni uvunjifu wa kanuni.
Ni viongozi au wachungaji wa dini ipi hiyo? Si ni kanisa la Gwajima tu hao? Hakuna CCT wala TEC wala Pentecost Council. Ni Gwajima na timu yake tu hao. Pesa sabuni ya roho....Dr Remmy Ongala..........Tena tunawaingiza mpaka viongozi wetu wa dini.....!
Ni kweli mkwere anaweza kukuuwa huku anatabasamu lakini cha kujiuliza huyu mzee mamvi hayajui yote hayo? Je hamjui rafikiye? Je haogopi kuenguliwa? Au hiki kibri anakipata wapi maana kapewa onyo lakini hajali what is he up to?
heeh! kumbe wanafunzi wa UDOM walichoka kula kwa wajas wakaona wabadilishe menu kwa naniliu! njaa mbaya!
Bundi ametamalaki Lumumba. Nape Nnauye anamuunga mkono Membe, Kinana mzew wa futuhi anamuunga mkono Lowasa, misukule ya Lumumba inahaha wakitazama mbele ni mbali, nyuma ni mbali mnara wa babeli unayumba.
yeye anajari nini !! asipopitishwa ataipasua CCM kama ilivyokuwa kwa Lyatonga 1995 na kwa mwaka ndo CCM itakuwa kwa heri.CCM sharti imubembeleze au isambalatike kwa yeye kwenda ACT.
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kitendo cha mgombea mmoja anayepokea makundi ya watu ili wamshawishi kupiga kura huko Dodoma ni kuanza kampeni na yuko hatarini kuenguliwa.
Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassandiye anayeppkea makundi ya watu wakiwemo masheikh, maaskofu na wanafunzi wakimshawishi kugombea.
Akizungumza na radio VOA, Nape alisema: "Labda niweke vizuri hili, mtu yoyote anayekiuka kanuni hatapitishwa labda kamaa anakwenda kugombea kwa chama kingine.
"Kinavhofanyika Dodoma cha watu kuchukuliwa na magari huku wengine wakiwa hawajui, halafu wakifika wanakuta viti vimeshapangwa na vyakula;halafu eti wanamshawishi kugombea, ni kukiuka kanuni na anawezakuondolewa," alisema Nape.
Teh Teh Bavicha mkae mkijua Rais lazima atoke CCM.
Lowassa atagombea kiti cha ura-hisi kupitia ACT..
Ni hayo tu