naona sasa hivi lowassa na kingunge ni kama lulu kwa UKAWA, mwaka huu mtajibeba, Huku lumumba ni mbele kwa mbele. mnashindwa kuongelea mambo ya viongozi wenu wachumia tumbo UKAWA mnakesha na CCM, subiri aibu ya karne october 2015.
Hvi hiki kiajuza na hilo lilowasa lake kwa nini wasihame chama kama wanaona wameonewa?
Nape Nnauye anatabia mbovu kama Paul Makonda
Havitumii bunduki.vita vya panzi...........?
kama bavicha yupo kijana mwenye uwezo wakusimama na kubishana na mzee mwenye chama MTEI jaribuni. NAPE NA MAKONDA wanakisema kile watanzania wengi wanakitaka huwezi mchekea fisadi LOWASSA
Ungetoa kwanza boriti kwenye jicho lako mkuu.apo kwenye RED mm ungejifunza kutulia wakati unaandika
HV hii midomo watanzania au HAWAKUZALIWA NA KUFUNZWA NA MAMA ZAO??
HESHMA GANI HZ KWA WAZEE WETU.
JUKUMU LA WAZEE NI KUONDOA DOSARI NDANI YA CHAMA,
MZEE WETU AMEONA DOSARI ....
***ASIIZUNGUMZE KWA HAPA SIYO SAWA.......
**SHORT AN CLEAR CCM IPO MIFUKONI MWA WACHACHE SANA..../ii
Halafu kwenye top 5 eti January Makamba yumo,dah!Nape kakata mpaka jina la Mwandosya? Huyu kijana hatariii sana
Nidhamu ya nape na makonda hazina tofauti
Mkuu kabla ya ku-submit comment yako uwe unasoma kwanza ulichoandika.Kasoro haziondolewi mitaani kwa kuropoka hovyo, hayo sio maadilo ya CCM niijuayo. Mzee Kingunge ana nafasi kubwa ndani ya Chama na anajua taratibu za kutoa kero zake. Anachofanya sasa no uhuni was kujaribu kiyumbisha chama AFANYE ANACHOTAKA kufanya ieleweke moja
Tafadhari wewe mtu, kuwa na heshima kidogo. Unataka kuanzisha uzi mpya?Kwani Mwandosya ni nani kwake?